GT
Jamani jamani mambo ya asili yabaki kuwa ya asili miaka nenda rudi bulabo ni Tamasha lilioasisiwa na kanisa pamoja na kabila la wasukuma hapo Mwanza.
Leo nimeshangaa mno kuona hali ilivyokuwa...
Kwenye Video hapo chini Kiongozi mkuu wa Iran supreme leader Ayatollah Khomenei akitumbuizwa na chawa wake mbele ya majenerali ambao wanabubujikwa Na machozi kama Lucas.
Pia ukitizama kwa makini...
Tunaomba msaada wa haraka kutoka kwa viongozi, Afisa Elimu, Mkuu wa Wilaya Ilemela, Mkuu wa Mkoa mje muokoe Watoto wetu.
Sasa Ibungiro Secondary School wameamua kuua Watoto wetu, Watoto migongo...
Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano...
katika uchambuzi wa Bajeti Kuu ya Serikali 2025-2026 uliofanywa na ACT Wazalendo, leo wameonesha namna ambavyo bado serikali haijaweka wazi namna wanaenda kulitibu suala la kikokotoo kwa wastaafu...
Watumishi wengi wanadai taklibani miaka 10, wengine nane wengine Moja. Wengine wameamua kuziacha na wakurugenzi huwa wanawacheleweshea ili tu wazile kwa maslahi yao. Waziri husika achukue hatua...
KAWE KUTOKUWA NA STENDI RASMI YA DALADALA: NANI ALAUMIWE NA NINI KIFANYIKE?
Kawe ni moja ya maeneo yanayokua kwa kasi katika Jiji la Dar es Salaam. Watu wengi wanaishi, kufanyia kazi au kupita...
Jaji Mkuu ameyasema hayo leo mara baada ya kula kiapo.
Amepend2keza kuwepo kwa Mahakama ya Rufaa kwa kuanzia na Mikoa ya DSM, Mbeya na Arusha ili kurahisisha upatikanaji wa haki kwa wakati kuliko...
Wasalaam!,
Nimekaa wiki 1 nzima sijawasiliana na wazazi wangu nikipambana na purukushani na namna ya kulipa hili deni la mama yetu.
Leo napokea simu ya baba yangu, baada ya salamu mzee ananambia...
Nikiwa Rais kutajengwa hospitali kubwa za kisasa zisizopungua nane (8)
Zitakuwa na sifa zifuatazo;-
7t (7 tesla) MRI machine @4 kwa kila hospital kwa kuanzia na baadae zitaongezeka kulingana na...
Watu Huwa wanasema malipo ni hapa hapa Duniani
Kwa Sasa kati ya Gaza na Israel hakuna anayemchaka mweziwe
Na ndio kwanza mashambulizi Yana wiki Moja ikifika mwezi mmoja sijui itakuwaje
Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo.
Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanaume pale wanapoishi Pàmoja.
Zingatia, Wanaume wengi hujiona...
For those who want to know deep or more about angelic beings you are welcome.
Uliza swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu.
Nalogout sasa, someni kwanza hayo ya chini. Nitakuja kuendelea kujibu...
Nimekubali maombi ya wengi wenu kwamba niongee chochote kuhusu huu mgogoro wa wapalestina na waisrael ili kuweka sawa hali ya hewa iliyochafuka kwa maoni yasiyoeleweka. Nikiwa kama mzalendo kwa...
No reforms no election!
Iran piga hao Israel!
Nilikuwa form five ambapo siku moja nilipewa kazi ya kudeki choo cha walimu, bila kufanya ajizi nikachukua ndoo zangu mbili nikaenda bombani kuchota...
Waendeshaji watalii nchini Tanzania wanaiomba serikali kuacha bima ya lazima ya kusafiri iliyowekwa hivi karibuni kwa wageni kwa mwaka mmoja ili kuokoa biashara zao.
Muswada mpya wa Fedha...
Habarini,
Hapo ndiyo ujinga wa Wafa dini ulipo sasa yaani yesu aje aweze kuwaokoa wao ashindwe kuwaokoa waisrael na kichapo kutoka kwa Wairan
Mungu wape nguvu zaidi Wairan ili wawafungue macho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.