Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Zamani ikifika mwaka wa uchaguzi mkuu serikali ya CCM ilikuwa ikiwahadaa watanzania Kwa kulegeza maisha vitu kama kushusha bei ya mafuta, chakula N.K kutafuta kura. Lakini kipindi hiki Wala...
2 Reactions
5 Replies
298 Views
Wasukuma wana mioyo ya plastic Wao kila kitu ni " no taabu" CCM Jana wameenda wakawajaza kwenye malori kama mifugo kwenda kwenye mkutano wa Hangaya Kwenye malori wamepakia hadi watoto wa shule...
10 Reactions
41 Replies
2K Views
Macho ya mtanzania hayawezi kuona vitu in details, ndio maana atahukumu mara moja kitu atakachokiona in terms of mazoea yake au kiasi cha tabu yake. Tofauti na kuchambua matako makubwa kwa...
5 Reactions
7 Replies
696 Views
Uongozi wa kweli unahitaji kusikia sauti zote — hata zile zinazokosoa. Ukizima sauti za watu kwa woga au kiburi, unajenga ukuta wa upweke unaokuandalia maanguko. Uongozi bila ukosoaji ni...
1 Reactions
2 Replies
187 Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza kuwapandishwa vyeo wahadhiri wake watatu kutoka cheo cha Mhadhiri hadi Mhadhiri Mwandamizi. Waliopandishwa ni: Dk. Mamta T. Pandey – Idara ya Sosholojia...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Katika tukio la kushangaza na kuogopesha nchini china hii ni moja wapo ya matibabu ya kutisha ambapo mgonjwa mmoja anajulikana kwa jina la Bwana Li (pseudonym name) alipokea pua mpya ilipandikizwa...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Akizungumzia umuhimu wa kuwa na Watu wanaohusika na suala la uhakiki wa taarifa, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura amesema “Uwepo wa Wadau kama JamiiAfrica...
1 Reactions
2 Replies
491 Views
Mama mjane aliyezaa watoto wanne wote wakawa masista katoliki na padre mmoja akawa padre katoliki apewa daraja usisita katoliki.Usista zio lazima uwe bikira Habari kamili hiyo Tangu kifo cha...
3 Reactions
8 Replies
651 Views
Ulaya matumbo joto, matumbo yanawakata chini ya mkanda kutokana na vita hii mbaya sawa kudunia kwenye upatikanaji wa nishati, hakini huenda ni mbaya sana kwa Ulaya Magharibi kutokana na utegemezi...
2 Reactions
10 Replies
668 Views
Nimemskia rais samia akisema kuwa ufaransa wapo tayari kuendelea kutupa mikopo zaidi kwa maendeleo ya nchi yetu. Mpaka sasa deni la taifa limeshavuka trillion 107 na bado tunaambiwa nchi yetu...
3 Reactions
11 Replies
579 Views
Huko brazili kuna kituko sio cha Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa Fikiria hili kama sinema ya vichekesho isiyoandikwa kuna Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 54 huko Brazil alienda hospitali baada...
0 Reactions
2 Replies
474 Views
Mimi nadhani kuendelea kuzungumza swala hili ni kulifanya liwe gumu zaidi badala yake kwakuwa tayari kanisa limesha toa msimamo wa kwenda mahakamani kupinga kinacho daiwa kufungwa Kwa kanisa Sasa...
1 Reactions
6 Replies
614 Views
Iran [emoji1130] sio nchi ya Kiarabu; wakazi wake wengi ni Wapersia. Israel [emoji1134] si taifa la Kikristo wakazi wake wengi ni Wayahudi. Wayahudi wanafuata dini ya Uyahudi, si Ukristo...
24 Reactions
66 Replies
3K Views
Habari wapendwa, Nina shida katika ya majina kitambulisho cha (NIDA) na (NSSF) majina sawa ila katika barua yangu ya ukomo wa (ajira) na (certificate) majina tofauti na ya hivyo vitambulisho cha...
4 Reactions
86 Replies
11K Views
Habari wana jamii wenzangu, Wa DSM poleni kwa mvua zinazoendelea kunyesha, nasikia mlipuko wa magonjwa ya tumbo na vifua (vichomi, nimonia, kukohoa, n.k) vinawaandama, poleni sana. Pia kuweni...
25 Reactions
77 Replies
24K Views
Ninapenda kutoa malalamiko kuhusu huduma duni niliyoshuhudia katika Hospitali ya Aga Khan Iringa. Nilimpeleka mke wangu siku ya Jumamosi majira ya saa 10:30 jioni. Tulipofika, tulikuta dada wa...
2 Reactions
2 Replies
402 Views
Tuweke hapa orodha ya mashujaa ambao wanafaa kuingia kwenye Jumba la Taifa la kumbukumbu. 1.Julius Nyirenda. 2.Mtwa Mkwawa 3.Kleruu 4.Babu Yangu My Take. Strictly no politicians...
2 Reactions
51 Replies
1K Views
Taifa ambalo redioni ahsubuhi wanajadili michezo.Mchana hadi jua linapo zama wanarudi kwenye michezo,usiku wanajadili ngono hadi pakuche.hakuna vipindi vya taaluma ujasiriamali,Kilimo,Midahalo...
11 Reactions
48 Replies
2K Views
Wadau wa JamiiForums, Habari za wakati huu. Natumaini mnaendelea vyema katika shughuli zenu za kila siku. Leo ningependa tujadili mada yenye umuhimu mkubwa katika maisha yetu: "Ndoto 20...
11 Reactions
114 Replies
15K Views
Wana Jamii, Tunaongea sana kuhusu "fizikia ni rahisi", au "hesabu za shule zinatosha kuelewa dunia"... lakini leo twendeni mbali zaidi kidogo. Kuna equation moja ya dunia...
0 Reactions
1 Replies
286 Views
Back
Top Bottom