Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtu anaunda group la Whatsapp, anajaza picture za bidhaa alafu bei tukiuliza anasema njoo inbox. Ukienda inbox anasoma message kimyakimya alafu anachagua za ku reply. Yale maswali magumu hajibu...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Watu wanashindwa kutambua kuwa Marekani ilishaachana na sera za kujenga mabarabara na shule, ajenda yao kuu ni kuwa na nguvu Duniani, kuitawala Dunia, kuiweka Dunia kiganjani. Ulaya yote hakuna...
2 Reactions
4 Replies
487 Views
Katika mazingira ya sasa ambapo maisha ni magumu mno kwa vijana na wananchi wa kawaida mitaani, hali ya kushikilia madaraka au nafasi yoyote yenye fursa imekuwa ya kawaida. Watu wanapambana si kwa...
3 Reactions
1 Replies
338 Views
Aisee kuna appartment hapa ziko 6 kwenye compaund, Kuna nyumba ya faza house pia. Alijenga hizi apaartment akiwa kashajenga nyumba yake tayari. Issue inakuja hizi appartment zina tank za maji na...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Achana na swala kutafuta ajira, unaweza kutembea na bahasha hadi ukahisi una mkosi au umelogwa ili usifanikiwe, Kuna wengine wana bahati, Baada ya kuhitimu wanapata ajira on spot, but wale...
3 Reactions
12 Replies
637 Views
Niwatakie jumapili (siku ya kwanza ya juma) njema. " Uraia wetu uko mbinguni" Wafilipi 3:20 Ni hayo tu Mtumishi Matunduizi
4 Reactions
4 Replies
262 Views
Wazee kuna watu wanaofanya kazi mbulu TC humu..au yeyote yule mkazi wa mbulu
0 Reactions
2 Replies
283 Views
Na Historians akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE alias "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" tunajua kuwa Taifa la Kwanza kwa Kujitambua Afrika ni Ghana na Taifa la...
4 Reactions
25 Replies
985 Views
KWANINI SUALA LA MIPANGO YA MIJI LINATUSHINDA WATANZANIA? Katika kila taifa linaloendelea, upangaji wa miji ni nguzo muhimu ya maendeleo endelevu. Miji inapopangwa vizuri, maisha ya wakazi huwa...
0 Reactions
5 Replies
449 Views
Kwenye mitandao ya kijamii leo, kumekuwa na habari kuhusu Kampuni ya Mabasi ya Ratco kuingiza barabarani mabasi mapya mawili na kuelezwa sasa mabasi hayo yatakuwa yanapishana nusu saa kuanza...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Hallelujah, Jambo usilolijua utaliona kama mlima, possibility utadhani impossibility. As a upcoming prophet of these bad days leo nitakuonyesha kusudi la Mungu maishani mwako, kwasababu watu...
13 Reactions
222 Replies
6K Views
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Milka Joseph Mkazi wa Chato Mkoani Geita, amejikuta katika wakati mgumu yeye na familia yake na watoto sita baada ya kutapeliwa Fedha kiasi cha Shilingi...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi wa JamiiForums, Kwa heshima na taadhima, naomba kuwasilisha rasmi pendekezo la safari ya kipekee ya adventure na utalii wa ndani (Domestic Tourism) inayolenga kutuvusha kutoka...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Mnada wa kampuni inayoitwa KC GLOBAL unaoendelea pale Bunju mianzini jamaa anajinadi anauza tv 43 inch smart laki tatu na 55 inch laki tano laptop laki moja monitor 24 inch elfu 50 nimefika pale...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna kitu hapa nimeelezwa kama ujanja fulani unaofanyika ambao kama ni kweli basi Tanzania bara tuna kila sababu ya kupiga kelele. Nimeambiwa hii mikopo mingi tunayomshangilia mama, kimsingi ni...
8 Reactions
65 Replies
3K Views
poteza cheo, filisika au kama una mzazi au ndugu mwenye hivyo vitu afariki, ndipo utapowajua watu vizuri
0 Reactions
2 Replies
218 Views
"Niwakati tulipokuwa mafunzoni Monduli Machi, 1976 hadi Januari, 1977 ndipo nilipomfahamu vizuri Yusufu Rajabu Makamba na tukawa marafiki tangu wakati huo mpaka sasa. Nikatokea kuutambua vizuri...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Sioni sababu ya kuendelea kupata hasara hii, TRA na Polisi wamepiga kambi wakiranda, kutwa faini za TRA zisizoisha wakikagua bidhaa/simu kudai lisiti za uingizaji mzigo. Sasa rasmi nafunga duka...
94 Reactions
177 Replies
32K Views
Takribani yapata kama wiki 4 zilizopita nikaaamua kuwa mzalendo kupeleka kahawa zangu zilizokauka kwenye Amcos moja wapo wilayani Missenyi . Karani alinipokea vizur akanisajili kwenye mfumo...
3 Reactions
4 Replies
317 Views
Kwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum. Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata...
43 Reactions
235 Replies
10K Views
Back
Top Bottom