Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KICHAA NISHAKUWA, HESHIMA IFUATE MKONDO WAKE! Kuna wakati katika maisha unafika mahali unachoka kujitetea, kuchukizwa na maneno ya watu na kujaribu kuthibitisha thamani yako kwa kila mtu. Siyo...
1 Reactions
10 Replies
123 Views
Anonymous
Sisi tunaoendesha usafiri wa Bajaj na Bodaboda hasa Taksi Mtandao tunaomba utaratibu wa Kariakoo wa kushusha abiria uwekwe wazi na katika mpangilio unaeleweka. Hatujui ni wapi pakupakia wala...
2 Reactions
5 Replies
126 Views
Yaani sijui ni nini kwakweli unakuta mdada smart kabisa unakuwa unadhani labda atakuwa sio gold digger. Ila Ukisema tu tuonane shida ndo inaanzia hapo, yaani anataka hela tena wazi wazi bila...
24 Reactions
336 Replies
3K Views
https://www.jamiiforums.com/threads/kanuni-mpya-za-kodi-zinawataka-wafanyabiashara-mtandaoni-kuweka-taarifa-za-tin-kwenye-page-zao.2461782/ Baada ya kukutana na uzi ambao nimeutanguliza hapo ...
0 Reactions
0 Replies
35 Views
Ukiangalia IQ za hawa watu watatu wanaweza kweli kupiga kura kwa utashi kumchagua kiongozi hata wa ngazi ndogo tu kama diwani ?
1 Reactions
0 Replies
28 Views
  • Redirect
Ukiona vyaelea ujue vimeundwa, na ukiona mtu mzima ni upinde basi tambua alianza zamani kidogo. Mwapaswa kutambua kuwa pembe la ng'ombe halifichiki. Hawa ambao saa hii wanapumuliwa kwa kijificha...
2 Reactions
– Replies
– Views
Dr. Kanozo anasema kuwa aliita Bolt, wakiwa njiani akaona ujumbe kutoka bolt kuwa safari yao imesitishwa na alipomuuliza dereva alikana kusitisha safari, akaamua kuwapigia bolt na kuwatumia ujumbe...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Tanzania karibia kila chakula ukiagiza kinakuja na kipande cha limao. Unaweza hata ukaletewa ugali maharage na kipande cha ndimu au limao. Matumizi ya limao au ndimu zaidi ya kwenye nyama na...
5 Reactions
11 Replies
142 Views
Marekani imeikabidhi Serikali ya Tanzania Mfumo wa Miundombinu ya Oksijeni Tiba ya Kimiminika wenye thamani ya dola za Marekani milioni 5.3, sawa na zaidi ya Sh13 bilioni, katika Hospitali ya...
0 Reactions
0 Replies
42 Views
Dongo la Mtu Necessary (Content Creator wa Kenya) kwa Watanzania: Vipaumbele vyetu viko wapi au tumerogwa? 🧵 Kuna video inayosambaa kwa kasi mtandaoni ya content creator maarufu wa Kenya, Mtu...
1 Reactions
5 Replies
110 Views
Moja ya makosa makubwa unayoweza kuyafanya hapa duniani ni kuamini kuwa una rafiki kazini kuwa makini ndugu. You Better Watch your Back.
4 Reactions
9 Replies
143 Views
Anonymous
Wananchi wa Morogoro Mjini, Kata ya Magadu, tunaomba kupaza sauti kuhusu hali mbaya ya barabara inayoelekea kwenye Kota za SUA zilizopo Kididimo. Barabara hiyo imekuwa mbovu kwa muda mrefu, licha...
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa? Je, Mtakatifu Paulo, ambaye alidai kuwa mzaliwa wa Tarso na raia wa Roma, kweli alifanya safari...
2 Reactions
16 Replies
134 Views
Mashine Ina miezi 4 ,wlcom pm
0 Reactions
1 Replies
52 Views
Serikali iangalie upya hili swala la mashine za efd inakuwa zinafikia kimoko ya ukishatoa jumla ya idadi za risiti Z reports 1850 hivi inakuwa kimoko inakuhitaji kuninua mashine nyingine ambayo ni...
0 Reactions
1 Replies
179 Views
kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination msitumie ndege Moja ni hatari...
20 Reactions
84 Replies
1K Views
Mwishoni mwa miaka ya 90 kulitokea kesi ya mauaji huko Baraboo Wisconsin iliyomuhusu Peter Kupaza ambaye alituhumiwa kumuua kisha kumchuna ngozi mpwa wake Mwinvano Mwambashi na baadae kuutupa...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Jamani tuendelee kumpigia kuta JIHAN hawa viumbe wa humu hawafai kabisa. #jf hakuna pisi
1 Reactions
36 Replies
288 Views
Anonymous
Wiki ya pili sasa wakazi wa Kondoa Mjini, Mkoani Dodoma, hawajapata huduma ya maji. Hadi sasa hakuna taarifa wala sababu rasmi iliyotolewa kuhusu kukosekana kwa huduma hiyo. Wananchi wanaomba...
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Back
Top Bottom