Ndugu zangu wa JamiiForums, napenda kutumia nafasi hii kuomba radhi kwa yeyote ambaye amekwazika kutokana na mijadala yangu, maombi yangu au namna nilivyojieleza humu jukwaani.
Nimepitia...
KICHAA NISHAKUWA, HESHIMA IFUATE MKONDO WAKE!
Kuna wakati katika maisha unafika mahali unachoka kujitetea, kuchukizwa na maneno ya watu na kujaribu kuthibitisha thamani yako kwa kila mtu.
Siyo...
Sisi tunaoendesha usafiri wa Bajaj na Bodaboda hasa Taksi Mtandao tunaomba utaratibu wa Kariakoo wa kushusha abiria uwekwe wazi na katika mpangilio unaeleweka.
Hatujui ni wapi pakupakia wala...
Yaani sijui ni nini kwakweli unakuta mdada smart kabisa unakuwa unadhani labda atakuwa sio gold digger.
Ila Ukisema tu tuonane shida ndo inaanzia hapo, yaani anataka hela tena wazi wazi bila...
https://www.jamiiforums.com/threads/kanuni-mpya-za-kodi-zinawataka-wafanyabiashara-mtandaoni-kuweka-taarifa-za-tin-kwenye-page-zao.2461782/
Baada ya kukutana na uzi ambao nimeutanguliza hapo ...
Ukiona vyaelea ujue vimeundwa, na ukiona mtu mzima ni upinde basi tambua alianza zamani kidogo.
Mwapaswa kutambua kuwa pembe la ng'ombe halifichiki. Hawa ambao saa hii wanapumuliwa kwa kijificha...
Dr. Kanozo anasema kuwa aliita Bolt, wakiwa njiani akaona ujumbe kutoka bolt kuwa safari yao imesitishwa na alipomuuliza dereva alikana kusitisha safari, akaamua kuwapigia bolt na kuwatumia ujumbe...
Tanzania karibia kila chakula ukiagiza kinakuja na kipande cha limao. Unaweza hata ukaletewa ugali maharage na kipande cha ndimu au limao.
Matumizi ya limao au ndimu zaidi ya kwenye nyama na...
Marekani imeikabidhi Serikali ya Tanzania Mfumo wa Miundombinu ya Oksijeni Tiba ya Kimiminika wenye thamani ya dola za Marekani milioni 5.3, sawa na zaidi ya Sh13 bilioni, katika Hospitali ya...
Dongo la Mtu Necessary (Content Creator wa Kenya) kwa Watanzania: Vipaumbele vyetu viko wapi au tumerogwa? 🧵
Kuna video inayosambaa kwa kasi mtandaoni ya content creator maarufu wa Kenya, Mtu...
Wananchi wa Morogoro Mjini, Kata ya Magadu, tunaomba kupaza sauti kuhusu hali mbaya ya barabara inayoelekea kwenye Kota za SUA zilizopo Kididimo.
Barabara hiyo imekuwa mbovu kwa muda mrefu, licha...
Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia
Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa?
Je, Mtakatifu Paulo, ambaye alidai kuwa mzaliwa wa Tarso na raia wa Roma, kweli alifanya safari...
Serikali iangalie upya hili swala la mashine za efd inakuwa zinafikia kimoko ya ukishatoa jumla ya idadi za risiti Z reports 1850 hivi inakuwa kimoko inakuhitaji kuninua mashine nyingine ambayo ni...
kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination
msitumie ndege Moja ni hatari...
Mwishoni mwa miaka ya 90 kulitokea kesi ya mauaji huko Baraboo Wisconsin iliyomuhusu Peter Kupaza ambaye alituhumiwa kumuua kisha kumchuna ngozi mpwa wake Mwinvano Mwambashi na baadae kuutupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.