Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Nina wasiwasi mkubwa kuhusu utaratibu wa baadhi ya wanaojitambulisha kuwa ni Askari Polisi kufanya doria za usiku wakiwa wamevaa nguo za kiraia badala ya sare rasmi za jeshi hilo. Mimi ni dereva...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Leo secretarybird ameachia uzi wenye mafundisho murua juu ya baba wa kambo . Lakini kama kawaida mmekua wenye kiherehere na kihoro cha kufuta Kila mara nyuzi zenye mafundisho maridhawa...
3 Reactions
7 Replies
74 Views
Mim nipo Banana ,hapa Dar Ni kijana wa miaka 24 nipo na 900k naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar ilimradi niwe napata kwa siku angalau 10,000/= na zaid . Mwenye wazo naomba
3 Reactions
49 Replies
609 Views
Anonymous
Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa tunakumbana na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi. Kwa sasa, maji yanapatikana mara moja tu kwa wiki, na hata yanapopatikana hutoka kwa saa chache pekee...
0 Reactions
1 Replies
80 Views
03 Mei, 2026 TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linachunguza kifo cha mtu ambaye tarehe 30 Aprili, 2026 saa 09:00 Alasiri mwili wake ulikutwa unaelea kwenye maji...
1 Reactions
11 Replies
612 Views
Happy Sunday Wakuu Namtafuta member wa zamani Sana humu jamvini alikuwa anaitwa Deception wale wakongwe nadhani mnaweza mkumbuka Miaka 12 iliyopita alikuwaga active Sana Mwenye taarifa zake...
14 Reactions
93 Replies
1K Views
Mwili wa James Temba aliyepotea siku kadhaa umeokotwa katika mto Msimbazi Dar es Salaam ukiwa hauna kichwa. Wakuu! Huu ukatili umepitiliza,, nini kipo nyuma ya pazia?! James Temba ni ndugu wa...
9 Reactions
132 Replies
6K Views
Leo Oktoba Mosi ni Siku ya Kahawa Duniani na kwa Tanzania ina maana kubwa sana. Umuhimu wake kwa Soko la Ndani: 1. Kutoka Kulima kwa Wazungu kwenda Kunywa kwa Watanzania Ukweli mchungu...
0 Reactions
1 Replies
138 Views
Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3...
0 Reactions
4 Replies
73 Views
  • Featured
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mussa Mohamed Makame amsema, Gesi ya mitungi tunayotumia majumbani kwa sasa yote inatoka nje, bei yake hupanda kulingana na...
5 Reactions
73 Replies
2K Views
A port that can accommodate an 8,000-TEU vessel instead of a 4,000-TEU vessel has fundamentally different possibilities for regional trade. Tanzania is expanding the scale at which its maritime...
0 Reactions
1 Replies
49 Views
Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3...
1 Reactions
1 Replies
88 Views
Apigia chapuo utekelezaji wa DIRA 2050 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema bado kuna fursa nyingi za ushirikiano wa kiuchumi baina ya Taifa la Qatar na Tanzania ambazo zikitumiwa vizuri...
0 Reactions
0 Replies
34 Views
Binafsi unajisikia furaha sana... I kudhani kuna wa hivi basi utakuwa Umekosea njia Ila hu upepo na uvumi umetufungua sana, kumbe mali za humu ni mbovu kiasi hiki?
0 Reactions
0 Replies
36 Views
1: Mfano sasa hivu binti hasemi anafanya umalaya, anasema ana danga, na akisema anadanga inasikika kikawaida kwa jamii kuliko akisema anafanya umalaya ila ni kitu kile kile. 2: Wazee wa...
3 Reactions
4 Replies
57 Views
Look, kabila gani? Kesho kuna rais wa nchi hapa hapa!
4 Reactions
8 Replies
197 Views
Anonymous
Wananchi wa eneo la Iduda, Jiji la Mbeya, hususan maeneo yanayozunguka Shule za Msingi na Sekondari Iduda, tunakabiliwa na tatizo kubwa la kukatika kwa umeme mara kwa mara. Kwa wastani, tunapata...
1 Reactions
1 Replies
253 Views
Bandari ya Dar es Salaam imefankiwa kuwa kinara Afrika Mashariki ikiipita rasmi Bandari ya Mombasa ya nchini Kenya katika viwango vipya vya ufanisi wa makontena duniani. Kulingana na ripoti mpya...
0 Reactions
1 Replies
67 Views
Wakazi wa Kigamboni wanatarajiwa kupunguza gharama za uondoshaji wa majitaka baada ya DAWASA kukamilisha ujenzi wa mitambo miwili midogo ya kuchakata majitaka katika Kata za Vijibweni na Gezaulole...
0 Reactions
0 Replies
31 Views
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU),Balozi Anda Filip, amewasili nchini Tanzania usiku wa kuamkia jana kwa ajili ya Kuhudhuria Mkutano wa 153 wa IPU unaotarajia kufanyika jijini Arusha...
1 Reactions
2 Replies
103 Views
Back
Top Bottom