Hello.
Kumeibuka wimbi la wadada wengi mjini Instagram kuwa na mafanikio ya haraka sana.
Umaarufu mdogo ndani ya mwaka mmoja au hata miwili unakuta tayari anamiliki gari nyumba bila kuwa na...
Hellow Great Thinkers...
The LORD is good....
Mimi kama Mzaburi nimekuwa nikijiuliza kwanini
Uzah alikufa alipolishika sanduku la BWANA....
Wakati akitaka kuliokoa baada ya kutaka kuanguka?
Kwa...
Najua umewahi kusikia kuna sehemu za mikoa kama Manyara, Singida, Mara, Arusha, n.k. kuna jamii zinahusishwa kukeketa wanawake ikiwa kama sehemu ya mila na tamaduni zao.
Ila leo nataka nikujuze...
Habari za muda huu wakuu.
Kuna jambo limekuwa likinitokea hivi karibuni na ningependa kupata maoni yenu.
Nimegundua kuwa kwa sasa sipendi kabisa mtu kuniita jina langu halisi. Nimezoea sana...
Jehoram alikuwa na miaka thelathini na mbili alipoanza kutawala; alitawala miaka minane Yerusalemu. (2 Nyakati 21:5 (NRSV)
Akakufa pasipo kupendwa na mtu yeyote. Wakamzika katika mji wa David...
*Zechariah Wakili Msomi (UDOM)*
KESI YA JAMHURI NA MWALIMU RESPICIUS PATRICK MTAZANGIRA PAMOJA NA HERIETH D/O GERALD, KWA LUGHA YA KISWAHILI (TAFSRI ISIYO RASMI)
*THE REPUBLIC*
VERSUS
*1...
Wakuu,
Fao la Kujitoa kwa waajiriwa lilifutwa toka mwaka 2018 kipindi cha Magufuli ambapo likabadilishwa na kuwa Fao la Kukosa Ajira, kikokotoo kikaingia kazini ambapo mtu akiachishwa kazi au...
Tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, eneo la Mipeko maarufu kama Msikiti wa Kipati, kutokana na tatizo la umeme hafifu (Low Voltage ya takriban 133V).
Tumeshatoa...
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Abel Charles, Mkazi wa Mtaa wa Mambi, Kata ya Mafisa, Manispaa ya Morogoro amefariki dunia baada ya kudaiwa kushambuliwa kwa panga na Mke wake wakati wakiwa...
Kila mwezi kuna matangazo ya udereva ajira portal kupitia halmashauri.
Hata kama una degree na bado hujaupload Jitahidi sana utumie udereva itakuwa rahisi sana kwako kuingia kwenye system na...
Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga(Mb), Leo Oktoba 3, 2026, amezindua Kitabu cha mwongozo wa upangaji bei za keki kilichoandaliwa na mmoja wa wajasiriamali hapa nchini bi Tahya au...
Hivi kumshikilia jela miaka 50 mtu unaemdai shilingi milioni moja tu, ilihali huyo mtu ukimwachia huru uraiani anapotential ya kuingiza hiyo pesa kwa wiki 1 tu na akakulipa yote, ni matumizi ya...
Sekta ya utalii inatarajiwa kunufaika na ujio wa wajumbe wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), unaotarajiwa kufanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026, huku imeelezwa...
Tunafahamu fika spare parts nyingi za magari aina mbalimbali zinatengenezwa china kwa asilimia kubwa sana
NIKIWA RAIS WA TANZANIA SPARE PARTS ZA MAGARI AINA ZOTE ZITAKUWA ZINAZALISHWA HAPA...
Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi.
Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama...