Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela Hili tatizo linakera sana imepelekea baadhi...
3 Reactions
8 Replies
619 Views
Katika karne ya watu waliostaarabika na welevu wa Mambo mipaka ya nchi iliyogawanywa kila nchi na mipaka yake na itikadi au falsafa zake vita zanini? Kama ni kigezo cha dini kila nchi au taifa...
12 Reactions
110 Replies
3K Views
Jumla ya miradi 52 yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 84 inatarajiwa kukaguliwa, kuzinduliwa au kuwekewa mawe ya msingi wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru zitakazofanyika katika halmashauri...
1 Reactions
0 Replies
256 Views
Unaposema wewe nimwanamapinduzi basi uwe na uwezo wa kufanya hayo mapinduzi kwa vitendo na ionekane hivyo. Unaposema wewe ni mpinzani basi uwe na uwezo na kukosoa/kupinga kila baya wanalofanya...
2 Reactions
3 Replies
217 Views
China imejenga barabara kuu bila kuharibu mashamba na mabwawa ya wakulima, kuhakikisha maendeleo na asili vinaenda sambamba. 🌿🚜 Mfano kamili wa jinsi miundombinu inaweza kukua bila kuharibu...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Hawa watu ni wapotoshaji hatari sana kwa taifa. Kwa mfano kwanini mtu anayesapoti ukeketaji kwa mabinti aendelee kuwa uraiani? Wanazo post nyingi za kipumbavu ila hii ya UKEKETAJI inatosha kabisa...
0 Reactions
8 Replies
799 Views
Habari ndugu. Ningependa kufichua uovu wa rushwa unao endelea katika vituo vya ukaguzi wa mazao ya kilimo na mali asili vilivyopo njia ya kutoka Segera kuja Dar kupitia Bagamoyo. Wale mabwana...
3 Reactions
5 Replies
614 Views
Mratibu wa Mradi wa Kumuimarisha Mwanamke katika Masuala ya Ungozi SWIL kutoka Jumuiya ya Wanawake Wenye ulemavu Zanzibar JUWAUZA Zakia Shabani Daudi amesema wataendelea kuwahamasisha wanawake...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
WATUMISHI WA MAGEREZA MANYARA WAPATIWA MAJIKO YA GESI 📌Mifumo ya uzalishaji wa bayogesi 126 mbioni kuanza 📌REA, Jeshi la Magereza kununua mashine 61 za mkaa mbadala 📌REA kuwajengea uwezo...
1 Reactions
0 Replies
366 Views
Akili mnemba kwa lugha adhimu ya kiswahili ndivyo unavyoweza kuiita Artificial intelligence na hua haidanganyi na kwa sasa hakuna kitu ambacho utamdanganya mtu kwa chochote akina walakini kwenye...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Mkutano wa Mhe. Balozi Mobhare Matinyi na Watanzania Waishio Nchini Norway Lengo: Kufahamiana na kujadiliana kuhusu masuala ya Diaspora. Washiriki: Diaspora wa Tanzania waliopo nchini Norway...
0 Reactions
1 Replies
343 Views
"Kijana, ukiyakimbia maisha kama mkimbizi, jiandae kupokewa na maafa. Maana mwisho wa safari unaweza kuwa mzee wa hovyo asiye na hadithi ya maana." — Alloyce, P.R.
2 Reactions
11 Replies
686 Views
Zanzibar Na, Zurima Ramadhan Waandishi wa habari wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kutetea haki za wanawake wanaowania nafasi za kisiasa kwa kuhakikisha kuwa vitendo vya ukatili dhidi yao...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wananchi kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani huku akiwahakikishia kuwa serikali itatekeleza wajibu wake ipasavyo "nitoe rai kwa kila mmoja wetu...
1 Reactions
4 Replies
349 Views
PICHA HII ILIPIGWA JANUARY MWAKA 2010. ,, Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya wakati huo akiwa Waziri wa maji na...
14 Reactions
16 Replies
1K Views
1: HOFU YA KIBINADAMU Hii ni hofu ya Asili ya mwanadamu. Historia ya kiroho inaonyesha hii hofu haikuwepo kabla ya Adam na Eva kula tunda. Iliibuka tu baada ya wao kuanza kumkimbia Mwenyezi Mungu...
3 Reactions
5 Replies
447 Views
Maisha ya mwanadamu ni mazuri sana but only if you believe on " Likud's philosophy of life". If you actually want to be happy in this world, then your life should move in the direction of...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Baba Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam ameteuliwa kuwa mmoja wa wajumbe wa wizara (Dicastery) ya Mashirika ya Kitawa ya Maisha ya Wakfu na Mashirika ya Maisha ya Kitume...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habarin wakuu Kwanza kabisa mimi ni mkatoliki pure, nimekulia na kulelewa katika misingi ya imani.. Kama ujuavyo tena sisi wakatoliki sio watu wa kusoma biblia, mara nyingi tunaskiliza tu...
10 Reactions
105 Replies
3K Views
Jamaa wanatuzidi kila kitu. Viwanda, majengo, democracy, elimu, wananchi kujitambua sio kuwa makondoo, airforce, thamani ya pesa ndio Usiseme. Sisi tujifananishe na Burundi labda na Uganda. Ila...
15 Reactions
72 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…