Wasifu (CV) ya Kamanda Simon Sirro

Sirro ni kamanda mkubwa.

Bila shaka atakuwa anamiliki shahada ya kwanza

Ana uzoefu mkubwa kwenye kazi yake kama alivyosema yeye mwenyewe juzi kuwa yeye ni kachero mzoefu.

Ukiona mtu ana cheo kwenye haya majeshi ujue ni kweli anastahi na wala hutakiwi kuhoji. Kuna sehwmu za kufoji vyeo ila sio kwenye majeshi..

Kwa hiyo sirro ni kamanda wa uhakika mwenye uzoefu na kazi yake.
 
Sio kamanda makini.
 
Moja ya CV yake ni baba wa familia ya watoto na wategemezi kadhaa, na mnyenyekevu!
 
Duh> Hebu tuleteeni hii CV basi. Mi nakumbuka aliwahi kuwa mkuu wa kitengo cha operesheni. Nilianza kumsikia kwenye operesheni kimbunga, ya kukamata wahamiaji haramu. Kuna watu waliita operesheni Siro
 
cv ya raia unaweza kuipata lakini cv ya askari ni kwa matumizi ya ofisi tu na ni confidential...

hili ilitakiwa ulijue kabla hujauliza hili swali kama ulikuwa hulijui na kama wewe ni graduate nina wasiwasi na elimu yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom