Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

2 Reactions
30 Replies
1K Views
Shalom! Naomba kwa yeyote mwenye mbegu za microgreens kama leek, radish n.k tuwasiliane anipe specifications na bei.
2 Reactions
5 Replies
350 Views
Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kinaendelea kuhuisha mitaala yake ili kukidhi mabadiliko ya uhitaji wa soko kwa kuandaa wataalam wa sekta ya Ardhi kwa maendeleo ya chuo na taifa kwa ujumla...
1 Reactions
1 Replies
302 Views
Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi Tufanye ni billion 16 kwa...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia na kusoma comments nyingi humu. Nimegundua kama kuna chuki au sijui ushindani au ujinga baina ya waislamu na wakristo. Rejea matusi kama makobazi na wagalatia. Je tunaanza...
12 Reactions
90 Replies
3K Views
Ni mongoni mwa majiji sita ya nchi hii. Inajulikana pia kama Geneva ya Afrika na pia kitovu cha utalii Tanzania. Lakini ukweli ni kuwa, ni miongoni mwa miji mibovu na ya hovyo hapa Tanzania...
54 Reactions
255 Replies
16K Views
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza, Ajira nyingi zinazotangazwa na Serikali na Taasisi Mbalimbali huwa na Vigezo Vikubwa Viwili 1. Huwa Uzoefu Wa Kazi, Mara nyingi huwa wanataka mtu alie na uzoefu...
2 Reactions
17 Replies
7K Views
Hiki ni kichwa cha kitabu cha Bart D. Ehrman. Wasomi wengi wa kikuristo wana theolojia hasa wanao tumia mbinu za uchambuzi wa kihistoria, ambao wanadai kuwa Injili hazikuandikwa na mashuhuda wa...
0 Reactions
7 Replies
563 Views
Mfanyakazi wa ndani aliamua kumrekebisha mtoto wa boss wake mwenye umri wa miaka 7 kwa kumpa adhabu ya kupiga magoti kwa dakika 20. Baada ya mtoto huyo kupigana na binti wa jirani. Lakini adhabu...
4 Reactions
25 Replies
795 Views
Jibu ni greenhouse gases ndo raw material zilizotumika kutengenezea ozone layer hii ya dunia na hata za sayari nyingine Greenhouse gases zinazotumika kutengeneza ozone layer za sayari tofauti...
3 Reactions
23 Replies
718 Views
Naanza la kwanza 👇👇👇 1.Mussa 2..... 1000..
2 Reactions
35 Replies
1K Views
swala la karma ni kwamba Kila tendo tunalofanya lina matokeo yake. Ukimuumiza mtu leo, huenda ukasahau, lakini ulimwengu hautasahau. Maumivu uliyosababisha yanaweza kurudi kwako kwa njia...
18 Reactions
96 Replies
4K Views
Hii familia nimeona sasa inataka kunipanda kichwani na kutaka kunipangia kila kitu as If mm ni kijana mdogo wa secondari, kila kitu wanataka niwafatilizie wao bila kujali mm nataka nini Mfano...
4 Reactions
23 Replies
964 Views
Hail the Prince, "Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji."...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Habari Tanzania ! Ujambo; NBAA, TRA na Wizara ya Fedha !. Makondakta wa magari ni Maafisa Hesabu wanaofanya miamala ya fedha kwenye Daladala na Mabasi ndani na nje ya Mikoa; na nje ya Nchi ni...
4 Reactions
26 Replies
963 Views
Leo asubuhi niliandika uzi kuhusu maisha yangu wako waliosifia, wako walioponda na wako waliosoma tu hawakutoa maoni yeyote - Point ni tulidiscuss na moderator tukakubalian ule uzi ufutwe ili...
12 Reactions
30 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Vipindi wa Clouds Media amezungumza leo kupitia kipindi cha Clouds 360 kuhusu suala la uvamizi uliofanyika ofisini kwao ijumaa usiku. ====== Ruge: Niliwambia SHILAWADU siku ya...
49 Reactions
1K Replies
132K Views
🏛️ 1. Kujiuzulu kwa Spika Job Ndugai Mnamo Januari 2022, Spika wa Bunge, Job Ndugai, alijiuzulu kufuatia kauli tata kuhusu mikopo ya nje. Nafasi yake ilichukuliwa na Dk. Tulia Ackson, ambaye...
3 Reactions
6 Replies
475 Views
Katika maisha yako jitahidi kuweka mipaka usiruhusu watu wakujue sana , hata urafiki uchoree mstari uwe na mipaka yake kuna maeneo usivuke. Kuna nguvu kwenye kuwa msiri, Adui anayekufahamu ana...
22 Reactions
41 Replies
2K Views
Back
Top Bottom