Umoja wa Madereva wa Mtandaoni (UMM) umefanya maandamano ya amani leo Juni 26, 2025, katika jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kutangaza na kuhamasisha matumizi ya SwifPack huduma mpya ya usafiri...
Kama kuna swali lolote kuhusu astronomia, ulimwengu, nyota, black holes, parallel universes au hata kwa nini anga ni jeusi—uliza tu.
Naweza kukupa majibu yatakayokuacha ukijiuliza kama kweli uko...
KUTEMBELEA NYOTA YA MTU MWINGINE!
Fuatana nami
Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️
Je, umewahi kusikia watu fulani fulani huko wakisema "fulani anatembelea nyota ya fulani?"
Na je, nini ulikuwa mtazamo...
👁️JINA LA UGONJWA
KUAMKA HUNA HELA MFUKONI.
👁️DALILI YA UGONJWA WA "KUAMKA HUNA HELA MFUKONI"
(a) Mwili kuchoka na kukosa nguvu, ikiwemo kupoteza hamu ya kula.
(b) Kupoteza hamu na shauku ya...
16 June 2025
Waterkloof Air Force Base,
South Africa
Kufuatia vikosi vya SADC vya Tanzania, Afrika ya Kusini na Malawi kuondoka Goma DR Congo kupitia Chato Geita Tanzania
Shirika la ndege la...
1. Boti ile kusafirishwa Kwa semi nadhani ilikuwa sehemu ya kampeni.
2. Kukamatwa Madawa ya kulevya na mtu kupewa biriyani ilikuwa ni kutafuta vya kujazia nyamamyama kwenye hotuba ya Leo ila tukio...
Mwaka 2005 wakati Jakay Mrisho Kikwete akijinadi kuomba kura katika uchaguzi mkuu, siku ya kufunga kampeni alianguka pale Jangwani.
Hii ikaleta mabadiliko makubwa ya kiulinzi katika korido za...
Habari wakuu
Nilijichanganya kumwambia wife kwamba nataka kumnunulia iphone 12 pro ebhana ehee amekataa anasema hio hela Bora tuingize kwenye biashara anataka simu isiyozidi 300,000/=
Naombeni...
Pamoja na kwamba sikubaliani na Lissu kifalsafa ya maisha lakini sipendezwi kabisa na uwepo wake gerezani.
Lissu ni msomi mkubwa.
Alumni wa UDSM.
Ni moja Kati ya think tankers na hazina ya...
(Bright and Genius Land Chronicles)
Utangulizi wa Riwaya
Karibu Bright and Genius Land nchi ya matumaini na changamoto, ambako kila kijana ana ndoto ya kuwa kiongozi, na jamii inaamini viongozi...
Watu wenye akili hapa Tanzania wanapata shida sana kuishi. Kwann nasema hivi?
Wajinga ni wengi sana na kupelekea wenye akili kujikuta hawawezi kuendana na tabia na hulka za wajinga..
Hivyo wenye...
Wenyeji wa KIGOMA naombeni kufahamishwa maeneo yenye hali ya hewa ya ubaridi kwa mwaka mzima Ili nikaishi huko
Lengo langu ni kuwekeza kwenye kilimo kuanzia heka 100 na zaidi,eneo liwe Lina ardhi...
Kama afya yako ya kiroho haijakufa ukiwasikiliza hawa watu wawili kwa makini utagundua tabia zilizo ndani yao kama umeshakufa huwezi kunielewa na utabishana kama pimbi.
Yanga hawakustahili kuchukua ubingwa msimu ila udhaifu wa Simba,Singida Black Stars ndio umesababisha Yanga kuchukua ubingwa,walippteza michezo miwili mfululizo na ile ilipaswa kuwa faida kwa hizi...
Huenda hawa walionzisha hizi siku za amani , sheria , familia , baba ,mama , mwanamke ,mtoto , wapendanao ... wanatuona mafala kwa vile tunavozishobokea hizo sikukuu .
Sababu kuu ni kua maisha yao...
The semen released by a healthy man after intercourse with a woman contains 400 million sperms. So, logically, if that amount of sperm found its way into the uterus, 400 million babies would be...
Je unapenda games ? Unahitaji kucheza games za Playstation 3 kwenye simu yako ? Leo nakuletea maujanja haya kwenye simu yako.
Kuna kitu kinaitwa aPS3e Emulator ni app maalum kwa ajili ya kuweza...
Mchambuzi Alex Ngereza asema Yanga wanatoa Supu kwa upendeleo, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍️
"Yanga wanatoa supu kwa upendeleo,haiwezekani kila mwaka zinatolewa kwa watu wa dar...
🚨 BREAKING NEWS 🚨
Rais wa Marekani, Donald Trump, anadaiwa kufikiria kutoa Dola Bilioni $30 (shilingi trilioni 78 za Tanzania) kwa Iran ili iachane na mpango wake wa nyuklia.
Je, kiasi hiki cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.