Kama hutaki kupimwa usipewe majibu yatumike kwenye takwimu.Kwanini hospital ya msongola ilala Ina wapima VVU wamama wenye watoto wenye mwaka 1 bila ridhaa yao?
Kwahiyo wanapima bila kutoa ushauri na nasaa?Kama hutaki kupimwa usipewe majibu yatumike kwenye takwimu.
Au nenda private.
Kupima VVU bila ridhaa sioni kama ni jambo baya. Hujaburuzwa sokoni ukapime, umepimwa mazingira sahihi.
ungepimwa presha bila ridhaa ungelalamika? au kwa sababu kupata ukimwi kunanasibishwa na ngono?Kwanini hospital ya msongola ilala Ina wapima VVU wamama wenye watoto wenye mwaka 1 bila ridhaa yao?