NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTAIFANYA TANZANIA KUWA SAFI NA YENYE USTAARABU MKUBWA
Ukweli ni kwamba watanzania sio wastaarabu na wasafi kwa asilimia kubwa sana, wanatakiwa kufundishwa ustaarabu;-...
TANZANIA NA ALMA WASAINI MKATABA WA UENYEJI
Serikali ya Tanzania na Umoja wa Viongozi wa Afrika wa Kupambana na Ugonjwa wa Malaria (African Leaders Malaria Alliance-ALMA) wamesaini Mkataba wa...
Huu ni mwendelezo wa somo letu la kanuni ya ubongo sehemu ya pili.
Ubongo wa kushoto
Kwenye mada iliyopita tuliona vile kazi ya ubongo wa kushoto inavyoratibu viungo vyote vya mwili upande wa...
‼️The new face of Kim Jong Un: North Korea's new tourist gem on the coast of the Sea of
June 28, 2025
North Korea has officially opened its most ambitious tourism project to date – the...
Karibuni wote katika darasa maalumu tuliloanzisha hapa Jamii Forum, lililopewa jina la: Siri za Nyota na Hatima
Katika darasa hili tutajifunza:
Nguvu ya nyota zako na zinavyoweza kuathiri maisha...
NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JUNI 29/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
Twende mbele turudi nyuma haa basi tuende mbele.
Tukiacha siasa hii kitu inatuangusha sana kwenye majukwaa huko duniani. no wonder ndio maana wakenya wanatupiga gepu sana huko kwenye mashirika...
https://youtu.be/dmc-xxRof60?si=AQyC2o1xsr_iCO7m
Bro hebu kaa chini tusimuliane hii ishu ya zamani lakini bado inabamba hadi leo. Kama uliishi enzi za Bongo Flava halisi, lazima utakumbuka ule...
Habarini wana JFwenzangu,
I hope mko gud.
Moja kwa moja niende kwenye mada asilimia kubwa ya mademu wa chuga wanazingua kichizi wengi wao unakuta wanavuta bangi, kuchanja mirungi (veve) na...
Pamoja na kuwa na bandari 3; Tanga, Dar es Salaam na Mtwara kwa mujibu wa kijarida cha CHANZO, kwa mwaka 2024 Watnzania wamepitisha Tani 455,000 za mizigo kwenye bandari ya Mombasa.
Je tunakosea...
▪️ _Umoja wa Madereva wa Mtandaoni (UMM) wamshukuru Rais Samia kwa Mazingira Wezeshi, Wawataka Watanzania Watumie SwifPack
UMM umeendelea “kukiwasha hadi SABASABA” baada ya kufanya matembezi ya...
Habari wadau.
ni mimi peke.yangu ama na wengine.
Sijawai kuona maishani Shehe Chacha ama Ukhty Boke , je wewe umewai muona muislam Mkurya ?
Binafsi najiuliza kwa nini Mungu anaezimiliki hizi...
Shirika la Posta Tanzania leo limepokea ugeni wa wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Gilman Rutihinda iliyopo Wilaya ya Kinondoni, Kata ya Kigogo, walipotembelea banda la Posta katika Viwanja vya...
Sina mengi ya kusema Mungu ni Mkuu kuliko vyote, nawaombea marehemu wote Mungu wa mbinguni awape pumziko la milele, inauma sana sana nasikitika sana Taifa kupitia hali hii ya ajali mbaya zenye...
INTRODUCTON.
Jinsia zote hupata mashambulizi ya kipepo, lakini Leo tuangalie sababu zinazofanya wanawake wengi kupata mashambulizi ya kipepo.
Makanisani tunaona Kila siku ni wao wakiangushwa na...
Aslaam,
Kumekua na tafiti zinazoonyesha wanaume huishi umri mdogo zaidi ukilinganisha na wanawake.
na kumekuwa na sababu kadhaa zinazofanya mwanaume Awe na maisha madogo ya kuishi.
sababu Moja...
Hili suala linatafakarisha.
Katika Kanda zote nchini ni Kanda ya nyanda za juu kusini ndio wateule wengi wa Rais wameamua kukimbilia majimboni kugombea ubunge.
Nawapa kwa ufupi
1. Mbeya. Mkuu...
Uzalishaji wa zao la ndizi umeaanza kuathirika katika baadhi ya mashamba ya migomba katika Kata za manispaa ya Morogoro ikiwemo Kata ya Kauzeni na Mzinga kufuatia mashamba yao kuathiriwa na...
Ndugu zangu, Mungu yupo na amekuwa akiongea na watu wake tangu zamani hadi leo. Katika maisha ya kila siku, Mungu anatumia njia mbalimbali kuwasiliana na sisi. Lakini mara nyingi tunakosa kuisikia...