Tumewapa wanyama hadhi ya uhayawani kwakuwa hawana utashi wa kibinadamu... Lakini nina hakika tumewaonea Sana
Mnyama anaua tu pale anapohisi hatari kubwa na anafanya hivyo kwa njia ya kujitetea...
Ni wakati sasa wa kuoa nimeona nitoe taarifa na humu oengine wapi au kuna watu mnawajua wenye sifa hizo nili hatimae na mimi nipate mke.
Sifa zangu;
Mrefu wa wastan na mwembamba
Awe muislam...
Herbal tea (chai ya mitishamba) ni chai inayotengenezwa kwa kutumia mimea, majani, maua, mizizi au magome ya miti tofauti badala ya majani ya chai ya kawaida (Camellia sinensis). Hutumika kwa...
Kama taifa kuhangaika kutafuta Pesa za wengine kwa uhai na mustakabali wa taifa letu ni kuwa tegemezi. Sina shida kabisa na watu binafsi / wafanyabiashara kutafuta hizi pesa kulingana na mahitaji...
Mtoto anayemaliza elimu ya shule ya msingi atakua na uwezo ufuatao;-
Uwezo wa kujieleza kwa kujiamini kwa kutumia kingereza na kiswahili
Atakuwa na msingi imara wa kuongea kingereza,
Kutumia...
UNAJIMU (ASTROGEOLOGY)
Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️
Tabia za Nyota
Unajimu au astrolojia ni elimu juu ya uhusiano kati ya nyota na maisha ya binadamu duniani. Wanazuoni wa unajimu...
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church waliokuwa wakisali pembeni ya barabara Ubungo Kibo jijini...
Familia ya Mengi na media zote zinamtaja kama mwanzilishi wa IPP tu bila kueleza lolote kama mke wa kwanza wa Mengi.
Hata kama ndoa ilivunjwa, waligombana vipi lakini kumnyanyapaa hivi unajifunza...
Dar es Salaam, Juni 28, 2025: Kampuni ya Vodacom Tanzania ikishirikana na Benki ya Stanbic imezindua jezi ambayo itatumika kwenye msafara wa Twende Butiama ya 2025.
Akizungumza wakati wa uzinduzi...
Mat18:23Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyeamua kukagua hesabu za watumishi wake.
Mat18:24Ukaguzi ulipoanza, akaletewa mtu mmoja aliyekuwa na deni la fedha talanta elfu kumi...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa rasmi ya hitilafu kubwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa, iliyotokea majira ya saa 2:36 asubuhi na kusababisha kukatika kwa huduma ya umeme katika...
Ingawa mimi si muamini sana wa ndoto niotazo,nikiamini kuwa ni mambo ya kawaida tu ila juzi juzi hapa kuna jambo limeniacha na maswali.Niliota ndoto nimekutana na Nyoka wa kijani uso kwa...
Inasemekana ndege ya B-2 Spirit imetengenezwa kimya kimya na Marekani, na inachukuliwa kuwa ni “ndege isiyoonekana,” yaani haiwezi kugundulika na rada za kawaida wala za kisasa kabisa.
Kwa nini...
Hebu wenzangu na ninyi angalieni UPENDO TV muda huu.
Ni kampain zaidi ya kampeni.
KKKT tunakwama wapi?
https://www.youtube.com/live/WlGZ2ocj6Bk?si=C2R94OQyjKIPMvuC
Chawa ni zaidi ya mpambe.
Napenda kuzungumzia hawa chawa wa kiume, kuanzia kwenye siasa, music industry hata mtaani.
Chawa wanapenda lifestyle la wanaume wenzao wenye pesa, ili kuweza na yeye...
Hili redio sijaielewa pamoja na kuwa na vipindi vizuri. Cha ajabu hii redio kuna wakati haipatikani hewani hata masaa masaa mawili ukifungulia redio utasikia inafoka tu.
Kila saa nne asubuhi kuna...
Mtu kama alifeli darasa la saba asipewe cheti Cha udereva na hasa kama alifeli somo la hisabati! Unawezaje kumpa leseni ya udreva mtu aliyefeli hisababi yenye vipengele vya kujua ,distance ,speed...
Inatia aibu na fedheha kijana umeshamaliza shule kwa ngazi yoyote na bado unakaza chogo na komwe nyumbani kwa wazazi wako. Kwa sifa hizi beba begi au mfumo wa Jero ukapambane mbele kwa mbele;
1...