Funzo kutoka kifo cha Mke wa Reginald Mengi, Marehemu Mercy Anna Mengi

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Familia ya Mengi na media zote zinamtaja kama mwanzilishi wa IPP tu bila kueleza lolote kama mke wa kwanza wa Mengi.

Hata kama ndoa ilivunjwa, waligombana vipi lakini kumnyanyapaa hivi unajifunza nini?

Karibu
 
Kwani watu bado wanadanganywa kuwa ukristo unakataza kuwa na mke zaidi ya mmoja.Nadhani wameshuhudia kwa Mengi
 
Unayoyajua baki nayo tu kwa sababu hayawezi kusaida lolote! Jambo la maana ni kuishi kwa kuzishika amri kumi za Mungu wako.
 
Mtu anapokufa hakuna ndoa tena.
Sasa akiwa hai hamkumpigania akatambulika kama Mke halali wa Mengi .
Leo amekufa mnampigania atambulike kama mke halali.
Awe halali ili iweje wakati ameshakufa?

Acheni Chuki na Majungu.
Tatizo la jamii hasa wanawake ni kuamini kuwa wanaume watatangulia kufa na wao watarithi mali. Inapotokea kinyume chake watu wanabaki kuchonga wakati ni mapenzi ya Mungu.
Na wanaume tangu wakati wa Neno la Kweli la Mungu waliishi miaka Mingi sana. Wakati huo walikua wanaoa wake wengi na kuishi maisha halisi sio maigizo ya sasa hivi ,ambapo wanawake wanalenga mali tu na kuwatumia wanaume kama kitega uchumi huku wakiwasubiri wafe ili wabaki na mali. Ndio maana Maskini na wakulima wa vijijini wasio na mali nyingi za kistarehe zaidi ya mali ngumu kama mashamba ,mifugo na mitumbwi ya kuvulia wanaume wanaishi miaka mingi sana kwa sababu wanawake hawanauwezo wa kutawala hizo mali na miundo mbinu yake hata kama wana vibenteni. Hata waganga wa kienyeji wanaishi miaka mingi kwa sababu wanawake hawawasumbui kutamani kuwaua ili wakimbilie mali mana mali ni uganga wake mwenyewe.

Lakini Tabu inakua mali za kisasa zenye kuleta starehe kama majumba ,magari ,maduka ,Pesa benki n.k. Wanawake watajenga bifu na wivu wa ajabu na hata kuwaharakisha waume zao kufa ili wabaki na mali hizo zitakazo wafanya waishi maisha ya starehe. Mmama amefikisha miaka 55 lakini Bado ana jifanya ana wivu wakati hata kibiolojia mwili umepoa. Mara nyingine wivu wa kufikirika tu kuwa amechokwa unamfanya kuwaza kumuua Mumewe ili abaki huru.

Zamani Kwa asili za mwafrika Mama akishakua mzee anatafutiwa binti mdogo ili amsaidie kazi. Na hata kama ni kule kijijini anakua sasa ndiye anayepambana na mifugo na shamba.

Tuache kumbughudhi Mzee Mengi.
Anajua Mwenyewe nini kilitokea mpaka wakatengana.
Na kama hawakurudiana walipokua hai ni kosa kabisa kuwaunganisha mmoja akiwa amekufa. Ndio inakuwepo wakati wa uhai tu.

Naamini kutaja kuwa alikua Mwasisi wa IPP ilikua ni jambo la msingi mana inaonyesha kuwa Bado alikua ni share holder na share yake itakua urithi wa watoto na wajukuu zake.
 
Umeongea mengi na naona yana manufaa
 
Kwani watu bado wanadanganywa kuwa ukristo unakataza kuwa na mke zaidi ya mmoja.Nadhani wameshuhudia kwa Mengi

Mke zaidi ya mmoja pamoja na talaka vimesharuhusiwa tayari katika UKRISTO. Inasubiriwa itangazwe RASMI. Kwa sasa ni watu maalum tu ndiyo wameanza ku-practice (hii Siri) kama kima Mengi.....
 
Back
Top Bottom