Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Golf Mike Uniform! Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali...
-5 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari Kwenu wote,..Nani hajastushwa na "Trend" ya Kila Mtu maarufu kuchukua Form ya Kugombea Ubunge??.Ni haki ya Kila Mtu ya kikatiba kuchagua au kuomba ridhaa ya wananchi kuchaguliwa kua...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Mawasiliano ya maskini kwa siku nzima asilimia kubwa itakuwa ni habari za umbea, wivu na majungu mpaka akilala usiku anaota MAJUNGU ( MAREJEO YA TAARIFA ALIZOKUSANYA KUTWA NZIMA ) Ukirudi kwa...
1 Reactions
0 Replies
183 Views
Ni mda sana sijaja Moshi kwa sahivi niko Moshi zifuatazo ni sifa ambazo nilikuwa nazimiss Pasafi-moshi paradise sana aisee sio sawa na miji mingi hapa Tanzania Hakuna makelele ni ngumu kusikia...
10 Reactions
31 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu, jamii nyingi barani Afrika, ikiwemo Tanzania, zimejijengea utamaduni wa kuwa na vikundi vya kijamii vinavyolenga kusaidiana wakati wa matatizo kama vile misiba, magonjwa, au...
1 Reactions
7 Replies
453 Views
Nacheka kwa uchungu Embu wanaume tuongee hapa, una kitu umekiona umekitaman na unaona kabisa kitakufaa ama kitaifaa familia yako, na zaidi una shida nacho sana na pengine unamudu garama kabisa...
2 Reactions
1 Replies
266 Views
Hello bosses and roses.... Neno 'KUJIELEWA' hutumika mara nyingi kuonesha kwamba mtu anafanya mambo kwa namna inavyopaswa au inavyotakiwa, mara utasikia 'huyu dem/dogo anajielewa' au kinyume...
5 Reactions
4 Replies
309 Views
Dotto kahamia CCM na anaenda kushinda Bunda na Kulwa nae atahamia CCM soon tu na kuchukua na kushinda Kawe.
2 Reactions
17 Replies
774 Views
Jamaa alikuwa anatamba sana na IST mpya kabisa, apartment kali. Sasa jamaa kajichanganya alikuwa na mtu wake sahihi huyu mshangazi alikuwa anamvuna tu. Swali langu kwenu wakuu kwanini mishangazi...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Kuna Mmoja wao ni Ndugu yangu sana na namjua yuko vizuri ila huyo anayepambana nae ana Mizizi na ni Mafia hatari.
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari Tanzania ! Naomba kuweka wazo langu hapa jukwaani. Nawaomba taasisi za Elimu ya kati na juu kupitia Wizara ya Elimu mkaja na hii huduma kwa hawa vijana wanaohitimu chuo hususani ngazi ya...
2 Reactions
20 Replies
905 Views
Kuna tabia ya baadhi ya watu kuwa wagumu kuomba msamaha wakiwa wamekosea, Huwa ni ngumu kwako kuomba msamaha au huwa ni vigumu wewe kuombwa msamaha, kipi kinatokea mara kwa mara kwa upande wako?
2 Reactions
59 Replies
2K Views
Polisi katika Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi walimkamata mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya mwenye umri wa miaka 32 na kunasa shehena kubwa ya bangi yenye thamani ya takriban Ksh.13.7...
1 Reactions
12 Replies
569 Views
Tarehe 16 Juni 2025, Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mha. Mohamed Besta amefanya Ukaguzi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga na kuagiza Mkandarasi anaetekeleza Ujenzi wa Uwanja...
0 Reactions
1 Replies
402 Views
Aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Daniel Makaka amechukua fomu ya kugombea udiwani wa Bulyaheke wilayani...
1 Reactions
1 Replies
219 Views
Mpaka leo hii kati ya wale waliochukua Fomu kuwania Ubunge kupitia CCM ambao ni wapya kabisa sijaona ambaye anafaa Hivi kwanini CCM safari hii imeamua Kujidhalilisha hivi na kukubali hata kila...
0 Reactions
0 Replies
443 Views
Mbunge wa Jimbo la Mchinga Salma Rashid Kikwete amejitokeza kuchukua fomu kuwania tena kwa mara nyingine ubunge wa Jimbo la Mchinga Amechukua fomu hiyo mapema leo kwenye Ofisi za Katibu wa Chama...
0 Reactions
2 Replies
437 Views
Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
1 Reactions
4 Replies
379 Views
Wakuu, Kwenye heka heka na Polisi leo, muumini wa Kanisa la Gwajima ameonekana akiwa ameumizwa maeneo ya kichwani baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Polisi. Yaani damu zinatirirka kama maji...
20 Reactions
109 Replies
6K Views
Mungu siyo taahira kuumba nywele katika maeneo zinapopatikana. Ameziweka kwa kazi maalumu ktk kila eneo. Nywele za kwapani na katikati ya makalio kazi yake ni kupunguza joto na jasho ili kuepusha...
12 Reactions
100 Replies
4K Views
Back
Top Bottom