Naomba mamlaka inayosimamia mawasiliano nchini itusadie kuzungumza na makampuni ya simu kutatua changamoto za kimawasiliano. Maana unaweza kutuma ujumbe wa maneno(sms) leo ikaonesha ujumbe...
Ndugu zangu tegeni masikio hapa!
Katika enzi za mfalme mwenda zake!
Kuna kijana aliibuka kama chipukizi kutoka umoja wa vijana!
Kijana yule ni moja ya vijana wanaojua sana kujipendekeza!
Ni...
WAZAZI "PARENTS =PAIR RENT
Katika ulimwengu mzazi ni yule aliyemleta mtoto duniani β mama na baba
Hiyo ni tafsiri ya kijamii na kibiolojia. Lakini katika ulimwengu wa kiroho na hekima ya ndani...
nina ndugu yangu aliewahi kunidanganya vitu vingi ili ajipatie pesa kilaini kwa matatizo hewa nikiwa mbali, maana kama mnavyojua kwa utamaduni wetu watanzania ni kawaida kusaidiana hasa kifamilia...
Moja ya wilaya yenye usimamizi mbovu katika sekta ya mafuta ni Namtumbo, inaonekana ni kwa makusudi watu wameamua kuwahujumu wananchi kwa sababu mafuta yamekuwa yanapatikana kwa nadra sana na mara...
Wazazi wetu walitulea vyema,hata kwenye upande wa kula na kukiheshimu chakula.
Walikuwa hawal uhusu watoto kuongea wakati wa kula,hili lilikuwa ni jambo jema,kiafya na nidhamu,kwani ukiongea huku...
Kila kazi hata kama mshahara ni laki mbili KWA mwezi yupo mtu analia maisha magumu wakati huohuo hapohapo Kuna mtu anamshukuru Mungu KWA mshahara huo na anendesha familia KWA furaha kubwa.
Kuna...
Habari wana jukwaa! Mimi sijawahi kufuatilia kesi yoyote nchini ila nilikuwa naskia kuwa mahakama ndio chombo cha kutafsiri sheria na kutoa haki.
kupitia mwenendo wa kesi ya Lissu ambae ni...
Hamjambo!
Imekua desturi kumsikia MTU akisema Kabila Fulani Malaya Sana. Au kabila fulani wachawi Sana. Au kabila Fulani Wana roho mbaya.
Kabla ya kutoa hitimisho kuhusu tabia za watu wa jamii...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inatarajia kuendesha kliniki maalum ya kibobezi ya matibabu ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya...
Oya wahuni tusogee mitaa hii tupige Vitu vya baridi mpaka majogoo, njooni tu join wadau wa jamiiforum tujuane zaidi
Fika manzese kituo kinaitwa manzese darajani uliza bar ya mkwere, panaitwa Kwa...
Nilifahamiana na Mnyakyusa Ipinda mwishoni mwa mwaka 2021 kwenye ishu za kushirikishana fursa za biashara mtandaoni.. Hatukuwahi kuonana ana kwa ana lakini tulikuwa na mawasiliano ya karibu sana...
Ni dhahili tumeona sehemu nyingi hao waandishi wa Injili wa nne wana kinzana katika tukio lile lile ila ushahidi na simlizi zina tofautiana unajua kwa nini:?
Kwanza, ni kwa sababu hakuna hata...
SOMO: AKASHIC RECORDS NA SAFARI YA ROHO KATIKA DIMENSION TOFAUTI
(Somo hili linawafundisha wanafunzi kuhusu Akashic Records, jinsi ya kuzifikia, na mchakato wa safari ya roho katika viwango...
Napenda kuwasilisha malalamiko yetu sisi wakazi wa maeneo ya jirani na Kiwanda cha Bakhresa Food Products Limited kilichopo Mwandege, Wilaya ya Mkuranga, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam...
Orodha ya Makabila 125 ya Tanzania na Asili Zake!
1. Wahehe - Iringa
2. Wazaramo - Dar es Salaam, Pwani
3. Wasukuma - Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu
4. Wanyakyusa - Mbeya
5. Wairaqw...
Mimi ni Mkazi wa Mtaa wa Mabomu, Mvuleni β Msongola, Dar es Salaam, nina kilio ambacho naomba nikiwakilishe kwa Mamlaka yoyote inayohusika kwa kuwa nguvu yangu ya kupambana na hiki kinachotukabili...