Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika pitapita na ulizauliza zangu nimegundua hiki ni moja ya chakula kinachopendwa na wengi wa hadhi zote. Mimi binafsi niko tayari kula ugali dagaa mwaka mzima bila kunikifu. Sababu kuu ni...
23 Reactions
83 Replies
14K Views
Miaka flani niko Bongo sielewi mambo hayaeleweki, nina sista angu yuko U.S nikaongea nae kuhusu kwenda Marekani kujaribu maisha anakubali, mipango inakamilika kijana nikatua Jackson Heartsfield...
126 Reactions
691 Replies
108K Views
Like in previous elections, the 2020 General Elections saw an unprecedented number of journalists seeking nominations from political parties for parliamentary and councillorship positions, with...
0 Reactions
1 Replies
283 Views
Ama kweli dini ni njia.. Yani anaitwa mume na hajawai kula tunda. Na akapata mimba Haya..
-1 Reactions
27 Replies
792 Views
Habari TRA ! Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini? "MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX" Karibu.
3 Reactions
137 Replies
4K Views
Vijana vijana vijana! Nimewaita mara 3 kumbe hali ndiyo ipo hivi kuwa umiliki wa video za ngono ni mkubwa kuliko kumiliki maarifa mazuri na pesa. Mbona hii ni balaa sana! ===================...
0 Reactions
7 Replies
982 Views
Kuna wizi unafanywa na mawakala wanaokata gate pass za kukuruhusu wewe abiria kuingia kwenye stendi hiyo. Kawaida ukifika kituo hicho inabidii ukate gate pass yenye thamani ya Tsh 200, na unapewa...
1 Reactions
1 Replies
367 Views
Mara kadhaa Masikini tumekuwa na kauli mbali mbali za kuonyesha kuwa Umaskini ni haki yetu na moja wapo wa kauli ni hii MASKINI JEURI, Yaani Maskini pia Jeuri . Na kweli ukiwaona MASKINI jeuri...
2 Reactions
4 Replies
622 Views
Watu wasio na ajira Nchini Tanzania wakiwa wamejikusanya kuhangaikia mapokezi ya timu ya Yanga ikitokea Zanzibar baada ya kutwaa kombe la CRDB. Ikumbukwe kwamba leo ni Jumatatu, ambayo ni...
5 Reactions
22 Replies
788 Views
Habari zenu wapendwa. Mimi Niko salama. Ninakuja kwenu nikiwaomba wote wenye uzoefu wanisaidie ushauri. Ninatamani kuhamia maeneo ya migodini nikafanyie biashara huko. Nimechoka pia Kuishi...
3 Reactions
10 Replies
602 Views
Wakuu, Afya ni mtaji,unatamba mtandaoni,kazini kwako na upo hapo ulipo kwa ajiri ya afya bora uliyonayo,kumbe sasa kuna umuhimu mkubwa wa kuzitunza,kuzilinda na kuzidumisha afya zetu. Moja ya...
3 Reactions
13 Replies
685 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Esther Bulaya amechukua Fomu ya Kugombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia chama cha mapinduzi (CCM) leo...
2 Reactions
4 Replies
402 Views
Hello wana JF,, Je ushawai sikia watu wakisema "Ujana ni maji ya moto"? Huu uzi ni kwaajili ya kutoa mawazo yako juu na mada husika, je wewe unaelewa vipi katika ilo! Je ujana huo kuwa wa moto...
6 Reactions
9 Replies
667 Views
Wakuu habari! Kutoa ni moyo, tenda wema nenda zako, ukimpa mtu kitu usitegemee malipo. Kila mtu anajua hizi kauli za kijamii Lakini ktk maisha watu ni wabinafsi sana na hawana huruma, wao chao...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari Wakuu. Juzi nilienda Ubungo maji kumsalimia rafiki yangu alikuwa anaumwa. Kwakuwa nilienda mida mibovu na story zilikuwa nyingi ikanibidi nilale. ilipo fika asubuhi nikamsindikiza rafiki...
76 Reactions
302 Replies
12K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. William Vangimembe Lukuvi ameongoza uzinduzi rasmi wa Biblia iliyotafsiriwa katika lugha ya Kihehe, akilitaja tukio hilo kama hatua ya kihistoria na...
0 Reactions
2 Replies
409 Views
Sijui nianzaje ila salamu ikianza sio mbaya angalau nionekane na heshima kwa wakubwa😊 Shikamooni wakubwa na wazee watu wa kila rika natumai mu wazima na wengine muda huu tunakula ugali(japo kuna...
0 Reactions
10 Replies
616 Views
UMELIA KWA BIDII NA WELEDI MKUBWA? Jikaze kiume! Wanaume hawalii!! Usilielie kama mwanamke!! Na kauli nyingine nyingi zinazoendana na hizo kimekuwa ni kitu cha kawaida sana katika mazingira...
0 Reactions
0 Replies
271 Views
Habari Tanzania ! Naomba kuuliza. Hivi ni lini tutaweza kutoza Kodi Mikoa, Wilaya, Kata na Kijiji/ Mtaa? Ili wanavyopelekewa fedha za Umma kwaajili ya maendeleo wanapaswa waonje uchungu, wawe...
0 Reactions
2 Replies
212 Views
Wanajamvi, Ni mwezi mmoja sasa tangu nimefiwa na rafiki yangu wa karibu sana (jinsia ni mwanaume) na pia alikuwa mfanyakazi mwenzangu. Tangu mpendwa huyu atangulie mbele za haki, nimeshindwa...
3 Reactions
68 Replies
8K Views
Back
Top Bottom