Sijui ndoto zina maanisha nini, ila nikiwa mdogo Sana, nadhani darasa la tano au sita niliota ndoto mbaya sana kwenye maisha yangu. Nililia usiku kucha, asubuhi mama akanipa rosari na bibi akanipa...
Ni mbinu inayotumiwa na baadhi ya serikali au vyombo vya mamlaka pale wanapotaka kutekeleza ajenda fulani bila kukumbana na upinzani mkubwa kutoka kwa wananchi.
🔹 Problem: Wanaanzisha au...
Wasalaam,kuota ni kawaida kibinadamu.Ila natamani nijue maana hii ndoto.
Nimeota nimeshika Hot Pot ina Pilau nzuri sana.Nikawa napita njiani watoto wadogo wananifuata wanataka niwape.
Nikawa...
Nimesikitika baada ya kusoma thread ya member humu anayeitwa Marry Diana jinsi anavyoilalamikia jamii forum na member wake kwamba watu wengi humu ni wabaya kusema ukweli nimeumia sana hivi...
eti wanaume wangapi wenye nguvu wanaweza shindana na gorrila na kumshinda kwa kumpeleka chini? nimesikia mpaka wanaume 100 eti ndiyo wanaweza mpeleka gorrila chini, nini maoni yako ? …
kama...
Awali, Mdau wa JamiiForums.com aliandika kuwa Walimu wa Halmashauri ya Arusha wanatarajiwa kupewa mafunzo kwa ajili ya mitaala mipya ya Kidato cha Kwanza kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku ikiwa ni...
Kwa mujibu wa makadirio ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa mwaka 2025, Sudan Kusini ndiyo nchi masikini zaidi duniani, ikiwa na pato la taifa kwa kila mtu la Dola za Kimarekani 251 tu kwa...
Benki ya CRDB imeshinda tuzo ya dhahabu ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Jamii (International CSR Awards 2025) kupitia mbio zake za kimataifa ya CRDB BANK International Marathon.
Tuzo hii ya...
Wakuu ukifatilia huu upuuzi tulioletewa na hawa watu wa nje ya afrika, utagundua kuna mambo mengi ni ya uongo uongo sana. Tunahitaji kukataa kuwa manipulated.
Nimekuwa nikifatilia uongo wa Biblia...
Barabara ya Segerea-Tabata, ambayo ni miongoni mwa njia muhimu za mawasiliano katika Jiji la Dar es Salaam, imegeuka kuwa chanzo kikubwa cha usumbufu na kero kwa maelfu ya watumiaji wake wa kila...
Wakoloni walitusafirisha kwa majahazi kama watumwa kwenda kwao kuwafanyia kazi bure (manamba) kwenye mashamba, viwanda na majumbani kwao, history mbaya sana hii kukumbukwa, maana sio tu kwenda...
NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba
1.Nikiambiwa nichague kati ya...
Sijui kama watanielewa, nahisi watachukia. Ila kama posho zao zimeongezwa, labda watacheka tu. Lakini ukweli ndio huu, na nimeamua kuusema wazi hapa JF -where we dare to talk openly! Kila...
Salaam Members!
Huyu kijana ni nani?
Ningependa kujua mawili matatu kuhusu yeye maana siyo kwa jinsi anavyojieleza alivyofanikiwa chini ya SSH.
Vijana wengine kumbe tunasindikiza tu.
Baadhi ya Wananchi wanaoishi jirani na eneo ambako limejengwa Kanisa la Arise and Shine linaloongozwa na Apostle Boniface Mwamposa, wamewasilisha malalamiko yao wakidai kuwa ujenzi wa miundombinu...
Kwema?
Likizo yangu inakuja mwezi wa nane. Nilipenda nitembelee Morogoro, Milima ya Udzungwa.
Nilishawahi kupaona nilivyokua naenda Ifakara, lakini sina taarifa za taratibu na gharama za...
Endapo utafanikiwa kumla samaki huyu mwenye gamba gumu anayekwenda kwa jina la Oyster basi utakuwa na asilimia 99 ya kuongeza nguvu za kiume ndani ya dakika 10.
Samaki huyu atakurudishia uwezo...
Diogo Jota amefariki wakati ambao alikuwa anaendesha gari kuelekea Kaskazini mwa Hispania kwenye Mji wa Santander akiwa na Mdogo wake Adrian, ambapo wangefika Mji huo wangevuka kupitia Ferry...
Habari zenu wakuu.
Naomba msaada wa kuelezwa mti mzuri unaoleta kivuli lakini usio chafua mazingira kwa majani/vitunda.
Kwa sasa tuna hiyo miti pichani,ina kivuli na inaleta hewa nzuri ila...
Mkuu wa idara ya biashara manispaa ya ubungo una shida gani? unakaa na maombi ya leseni wiki nzima? mbona hii hali tulishaisahau hapo manispaa ya ubungo. wananchi tunataka kuichangia serikali yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.