Seminary na vyuo vya Biblia na theologia ndiko hupika viongozi wa dini.Wakipikwa vibaya wanakuwa liability au mzigo kwa jamii au Nchi .Wakipikwa vizuri wanakuwa Asset kwa Jamii
Sio vizuri kupika...
Habari!.
Fikisha kwa jamii.
Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa...
Marilyn Monroe ni moja ya wanawake wanaotajwa kuwa na IQ kubwa kuwahi tokea duniani alikuwa na IQ ya 165 kubwa kuliko ya Albert Eisten ambaye alikuwa na 160.Ila cha ajabu licha ya maarifa makubwa...
Watu wameshituka na baadhi ya matukio ya kusikitisha yanayotokea Geita kama mauaji ya Mirembe, Eneck, Albino n.k, Kwa tuliowahi kuishi Geita haya ni matukio ya kawaida mno
Geita Kuna uharifu wa...
Anaandika Edgar Mwakalebela (Sativa) kupitia ukurasa wake wa X:
Kwamba bila video kusambaa mtandaoni mngekaa kimya na hii taarifa ili mfanye vile mnafanyaga siku zote kwasababu waliofanya huu...
Mimi ni mtumishi wa umma,nina miaka 4 kazini ila nataka kuacha kazi.
Nataka kuacha ili niendeshe biashara zangu ndogo ndogo, lengo langu ni kua mfanya biashara na sio mfanyakazi. Najua mshahara...
https://www.instagram.com/reel/DKXY9NGtTdT/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Samahani wakuu, Kwa anayejua lina la huu wimbo naomba anisaidie ili nikaupakue.
Natanguliza shukrani
Naibu katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati Jadidifu, Dkt Khatibu Kazungu leo 04 Julai, 2025 amepokea magari mawili yatakayotumika kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha na...
Matatizo na changamoto za maisha si jambo la kupambana nalo kwa nguvu peke yake.Mara MatatizoHuja kwa sababu, tofauti tofauti mara nyingi sababau hizi sio sababu za kawaida matatizo hujitokeza...
SADC: SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI
📌 Yasisitiza utekelezaji wa miradi ya kipaumbele ya Nishati
📌 Kapinga ataka SADC kuweka dhamira thabiti na mikakati...
Serikali imewatoa hofu watanzania wote wanaoishi na virusi vya ukimwi, kuwa dawa zipo na serikali tayari imesha andaa bajeti ya fedha zitakazo tumika kuhakikisha watanzania wanapata dawa hizo...
Na Mwandishi Wetu - Kilimanjaro.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watu saba wanaodaiwa kuhusika na tukio la utekaji na mauaji ya Bernad Masaka (43), mfanyabiashara wa maduka ya nyama na Katibu wa Wachinjaji wa Nyama...
DAR ES SALAAM: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, ametangaza mpango wa Tanzania wa kuingiza nishati ya nyuklia kwenye gridi ya taifa kama sehemu ya juhudi za kukidhi...
Jambo Ambalo nimekuwa nikiwaambia watu Kama una uwezo usiishi kijijini wala uswahilini hizo sehemu zina watu ambao roho zao zimeshachafukwa.
Ona Kijana Enock anauliwa Kama Nguruwe so sad.
Na Mjumbe wa Nafsi za Watu
Kuna jambo moja ambalo halijawahi kunishangaza kama binadamu alivyo na jeuri ya kuamini anajua kila kitu – huku akijua jambo moja tu: kuwa haelewi hata kile anachodhani...
Nilichokiona Kawe kinashangaza. Hivi kweli eneo hilo bado halina stendi ya daladala?
Eneo la Kawe, maarufu pia kwa 'huduma za Mwamposa' ni kitovu cha usafiri ambacho kinahudumiwa na daladala...
Na Mwandishi Wetu.
Msafara wa baiskeli wa Twende Butiama Cycling Tour 2025 umeanza rasmi Julai 3, 2025, ukiwa na waendesha baiskeli zaidi ya 180 wakiwa njiani kuelekea Butiama. Safari hii ya...
Geti la kutokea Daladala kwenye Stendi Kuu ya Nyegezi kwenda Barabara Kuu (highway) ndilo hilohilo linatumika kama njia ya abiria kupita wakiwa wanaingia kutoka upande wa barabara kuu, kibaya...
MPOPOMA - Mti usio na kazi
Wazaramo walipoona haufai kwa mbao, mkaa wala kwa kuni, wakaususa na kuuita mti usio na maana.
Popote ulipomea, haukuguswa wala kushambuliwa na wavunaji wa miti, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.