Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna video imetrend kijana anapigwa magongo na watekaji wake porini huyo kijana anaitwa enok Sasa amefariki taratibu raia wanaanza kukopi na kupest mfumo wa wasiojulikana. Mungu ampumzishe enoki...
2 Reactions
10 Replies
703 Views
Yaani ni kama vile wao hawakosei na ukiwakosoa utashambuliwa sana humu JF kuna muda tuwe na fikra huru na sio za uchama.
8 Reactions
32 Replies
927 Views
Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini Je jina gani lingekua sahihi United States Of Africa (USAf). Jina linalo...
1 Reactions
7 Replies
476 Views
Nimeshangaa kusikia wananchi wanamuua MTU kwa kosa la kuiba lap top ya lakimbili . Na najiuliza hawa jamaa ni kweli hawana akili .Ila hata kufikiria hawawezi?.
8 Reactions
61 Replies
2K Views
Naendelea na mada za Kuwafahamisha Miradi mbalimbali ya Maendeleo ambayo inatekelezwa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mwanamama jasiri na mtulivu Madam Samia. Leo ni zamu ya Mkoa wa Katavi...
2 Reactions
54 Replies
3K Views
Please mwenye soft copy aniwekee hapa!
1 Reactions
1 Replies
254 Views
Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi yanayozidi kuvutia wawekezaji wa kigeni kuja kuwekeza hapa nchini hususani katika sekta ya usafirishaji. Akizungumza na wandishi wa habari kwa...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Ndugu Watanzania, hususan Wakristo Wakatoliki, salaam za haki, amani, upendo na uadilifu kwenu. Awali ya yote, napenda kusema kuwa sisi Watanzania hatukufunzwa wala kulelewa tangu utotoni kuelewa...
7 Reactions
13 Replies
771 Views
Napenda kuongelea Ukumbusho wa kifo cha Yesu ambao Yesu aliwaagiza wanafunzi siku ile anafanya nao Karamu ya mwisho (Alhamis Kuu baada ya jua kuzama) NB kwa kalenda ya Kiyahudi, tayari waliisha...
0 Reactions
2 Replies
622 Views
Leo mtoto hatumwi dukani. Wote tunaelekea KAWE kwenye uzinduzi wa Hema la uponyaji. Karibuni Wagombea (waliochukua fomu) wote. https://www.youtube.com/watch?v=pAiducssxYs
0 Reactions
2 Replies
391 Views
Kama unafikiri haiwezekani basi utakua bado huko nyuma sana 😛!!! Anaitwa Alyssa Carson atakua mwanadamu wa kwanza kuweka historia ya kukanyaga Ardhi ya sayari ya Mars. Mwanadada huyu mdogo...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Kuna wale jamaa hela alizotafuta yeye ni zakufanyia maendeleo ila ulizotafuta wewe anachukulia kama ni zakunywea pombe. MNASHINDA MAZINGIRA YENYE FURSA SAWA KWENU, NA AU MDA MWINGINE YEYE MDA...
2 Reactions
4 Replies
361 Views
Baada ya kuwa Muhamad na watu wake kupora mali. Walikuwa wanakaa kumuuliza sasa mgawanyo wake unakuaje kila mtu afe na chake. Hapo Muhamad alikuwa anapata wahyi haraka haraka na kuwajibu kuwa hizo...
17 Reactions
180 Replies
5K Views
Inawezekana hakuna kati Yetu ambaye atakuwepo ila 😁wape taarifa wajukuu au vitukuu vyako, kuna jiwe kubwa litashuka na kuigonga Dunia mwaka 2182. Septemba 24, mwaka 2182 Dunia itaweza kukumbwa na...
2 Reactions
14 Replies
747 Views
Hivi ni mimi tu naona haya au Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez...
18 Reactions
333 Replies
9K Views
Tumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na...
21 Reactions
358 Replies
10K Views
Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe. Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala...
15 Reactions
457 Replies
13K Views
KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi. Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida. Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka. Mungu...
15 Reactions
49 Replies
2K Views
Kama ulikua huzijui haki zako ukikamatwa na POLICE wacha nikufahamishe;- Watu wengi hawajui haki zao wakikamatwa na polisi, Sasa kama huzijui haki zako ni hizo hapa;- 1). Askari akikuweka...
15 Reactions
32 Replies
2K Views
Nyie mnaojiita wahudumu wa hayo MABASI ya VVIP ,pamoja na baadhi ya abiria wenu mnakosa ustarabu. Inakuaje muhudumu wa basi hutulii sehemu moja, Kila muda unajipitisha pitisha na kuleta migusano...
4 Reactions
4 Replies
611 Views
Back
Top Bottom