Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sehemu nyingi sikuhizi zina cctv, wezi hupenda kuvaa kofia kama tahadhari, cctv zinafungwa kwa juu, kofia kuna muda zinasaidia kuziba nyuso Huyu jamaa kajifanya ni moja ya wahudumu wa ukumbi...
2 Reactions
7 Replies
568 Views
Wasabato ni moja ya dhehebu lenye waumini wengi wa kikristo nyuma ya Roma na Lutheran. Tofauti na ilivyo kwa waroma na walutheran kwa nini ni vigumu kukuta Wasabato kwenye safu za juu za...
3 Reactions
77 Replies
3K Views
Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOO Jumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto, Vaa rangi ya jumamos ambayo NYEUSI, Pia saa 12 ahsubuhi na saa saba mchana...
3 Reactions
3 Replies
633 Views
Kwema wakuu? Leo, nimepata tukio moja la masuala ya hela ambalo nilifanya na mwanamke mmoja, kazi imekamilika, zimeanza ngonjera. Hili ni tukio la Nne maishani mwangu, so nimejifunza, usifanye...
24 Reactions
75 Replies
3K Views
Miongoni mwa wahubiri NGULI na mahiri kabisa kupata kukaa miguuni mwa Mwinjilisti wa kweli wa Mungu Mch. Moses Kulola, Basi ni Dustan Maboya. Maboya mwenye sauti nzito na swaggz za kufa mtu...
0 Reactions
62 Replies
12K Views
Dkt. Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini amegawa Majiko ya Gesi 150 ya kupikia pamoja na Viambata vyake kwa Wanawake wa Kata 21 za Jimbo la...
0 Reactions
8 Replies
637 Views
Sijawahi kumwambia mtu kuhusu hii hali ambayo imekuwa inanitokea kwa miaka zaidi ya 10 sasa hasa toka nimpoteze Kaka yangu. Tulicheza pamoja, Soma pamoja alikuwa kama best friend japo alinizidi...
17 Reactions
59 Replies
2K Views
Hii naona ndo ina nguvu sana kuliko ya kushoto. Ya kulia sijatumia ila kuna mtu naye analalamika kuwa haina nguvu sana. Hii ya kati nliyozungushia ina speed nzuri kulingana na bundle yako. Wakati...
0 Reactions
9 Replies
460 Views
Kununua viwanja mtandaoni katika mradi wa Nala Zulu, Mkoa wa Dodoma, ni mwelekeo unaoongezeka, lakini unakuja na changamoto nyingi. Kutumia taarifa za mipango ya matumizi ya ardhi (TP) na video...
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Je ni elimu mbovu? Je ni malezi mabovu? Hii product ya shule za kata vipi? Wengi wao wanaamini maisha ni simple Sana wakati 80% wanaishi kwao!! Imagine kijana wa miaka 23 anakimbizana club...
46 Reactions
142 Replies
5K Views
Uwepo wa informal sector na watumiaji wachache wa bank ni changamoto na tatizo kubwa sana Tanzania., Nikiwa Rais wa Tanzania ntafanya mambo yafuatayo kuondoa informal sector, kuongeza formal...
6 Reactions
11 Replies
596 Views
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Sheria ya Bima, Sura ya 394, imeanzisha bima ya usafiri wa lazima kwa wageni wanaoingia Tanzania Bara kwa ada ya bima inayolingana na Shilingi za...
1 Reactions
3 Replies
916 Views
Soko Kuu mjini Singida linawaka moto Muda huu na Chanzo cha moto huo Bado hakijajulikana wakati ambapo juhudi za uokozi zikiendelea kufanyika.
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Nauli kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro yapanda kimya kimya kutoka Sh 13,000 hadi Sh 13,500 – licha ya kutumia umeme badala ya mafuta Soma Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anawasilisha Bajeti Kuu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa ambae hajui Pandora paper ilikua n siri zilizovuja juu ya utajiri mkubwa wa watu walioupata ambao wanaajalibu kuuficha . Kenya ilihusisha familia ya Kenyata. Je hamna tanzania tajiri ambaye...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Tutiririke dhana ambazo zimekuwa zikitumika Kwa maelfu ya miaka iliyopita ambazo hazifahamiki na watu wengi,lakini zinatumika na wachache katika maisha yao.
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Wakuu habari ndiyo ni kwamba kama ilivyozoeleka tangu Mhe. Rais Samia aingie madarakani 2021 serikali ilianzisha Tamasha la Kizimkazi kwa lengo la kuenzi tamaduni za asili,uzinduzi wa miradi ya...
0 Reactions
2 Replies
264 Views
Hali ya ubaguzi na upendeleo katika kila ofisi kuanzia zile za dini, binafsi hata serikali ni kubwa sana. Bila kujulikana au rushwa hupewi huduma Bora zaidi utatoka ukiwa una huzuni na wakati...
2 Reactions
5 Replies
299 Views
Wanawake wa Tanzania bado hawapo tayari kui-practice au hawajaielewa hii ideology ya 50/50. Ukifatilia kampeni zao utaona kimsingi wanachokipigania sio usawa ila wanapigania upendeleo. Fatilia...
7 Reactions
10 Replies
776 Views
Muhimbili ambako maiti zinazuiwa kwasababu aliyekufa alipokuwa mgonjwa hajamalizia malipo. Muhimbili ambako mgonjwa anakaa wiki nzima hajapata huduma kwakuwa hajalipia pesa ya kipimo hivyo...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Back
Top Bottom