Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi limeimarisha ulinzi katika maeneo ya Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, kufuatia taarifa za uwepo wa hatari ya vurugu baada ya ibada. Hatua hiyo imekuja baada ya Kamanda wa Polisi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kusema ukweli Binaadamu kuyafurahia maisha kunaambatana na utimamu wa mwili.Mtu unapokuwa Mgonjwa hoi unapoteza kabisa hamu ya kuishi. Mara kadhaa nimewasikiliza Watu wanaopitia wakati mgumu...
1 Reactions
3 Replies
211 Views
BAADHI ya wakazi wa Kata ya Tungi katika Manispaa ya Morogoro wameeleza namna kisima cha maji kilichojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Abdulaziz Abood, kilivyokuwa mkombozi wa...
0 Reactions
4 Replies
372 Views
Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa...
20 Reactions
121 Replies
5K Views
Nasubiria uchambuzi wa kutukuka na wa kitaalam
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Na; Joseph Malekela, Dar es Salaam, Tanzania - Mei, 2022. Miaka ya hivi karibuni, kumeibuka tabia ya kulalamika katika jamii ambapo kundi moja hunyoosha vidole na kutupa lawama kwa kundi jingine...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Wasalaam Kutokana na kuaminiwa kwenye maisha ya watu wakati mwingine baadhi ya watu wa kada hizi mmekuwa na mambo ya ajabu Mwalimu na polisi wengi wenu sio wote...huwa ni wajuaji kuliko...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari wakuu, Uzi huu unatokana na maisha anayoishi shemeji na mdogo wangu lakini pia naamini wapo wengine wanaoishi maisha kama ya hawa madogo. Ikumbukwe nimeleta uzi huu siyo kwa lengo la...
12 Reactions
47 Replies
3K Views
Katika kilele cha maadhimisho ya uzinduzi wa kanisa la mtume mwamposa! Mbele ya Rais mwakilishi mufti amesema anaunga mkono watu kupotezwa, kutekwa na kukatwa vichwa ili amani iendelee kuwepo...
6 Reactions
76 Replies
3K Views
Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro...
1 Reactions
0 Replies
273 Views
Hello wazee,ni kitambo kama maajabu kutowaona katika pilika pilika za polisi hawa makamanda maana kama wengekuwa ma RPC basi tungesikia tu au kama wanapewa au kuhamishwa vitengo maana kiutaratibu...
5 Reactions
107 Replies
6K Views
Ukimya wao kwa maovu ni ushahidi wa kushiriki mpango mchafu Katika historia ya dini, manabii wa kweli waliitwa kuwa sauti ya Mungu mbele ya mataifa. Walikemea dhambi, walipinga dhuluma, na mara...
3 Reactions
15 Replies
682 Views
>>Bilonea John McAfee>>>> John McAfee, ambaye alijulikana kama mjasiriamali maarufu katika sekta ya teknolojia na mwanzilishi wa programu maarufu ya antivirus, alikuwa na msimamo wa kipekee...
0 Reactions
4 Replies
433 Views
Injili lazima ihubiliwe kwa viumbe wote! Yesu alisema; Msiogope hawa wanaowatishia kuuwa mwili peke yake, Bali mwogopeni sana Mungu ambaye anauwa vyote yaani Mwili na roho na hao wanaowatisha...
3 Reactions
17 Replies
684 Views
1. This is very disturbing, very stupid indeed! Ni vurugu tupu...... leo kuna salary advance, pension advance, nisogeze loan etc etc kesho vimefutwa/hakuna...na ujinga kama huo mwingi. Kibaya...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Kuna jamaa mmoja mtaani is very humble man Hapendi kugombana na MTU , Sasa Kama mnavyojua wanawake walikuja wakajipanga wakasema yule jamaa anatabia za kucheza na watoto wadogo. Hii ilikuwa...
4 Reactions
2 Replies
346 Views
Kwenye ukristo na katika Uyahudi huko agano la kalii nabii alichukuliwa kama ni mtu muonaji/seer wa mambo ya yajayo mbeleni, pia katika agano la kale na Uyahudi hakuna mtume au mitume. Katika...
0 Reactions
6 Replies
746 Views
📍 SABASABA, Dar es Salaam 🗓️ 5 Julai, 2025 “ROYAL BAGGIES” ZAVUTA HISIA SABASABA 2025 – UBUNIFU WA POSTA WAZIDI KUPAA Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA...
0 Reactions
5 Replies
554 Views
Basi la Channel one na Costa Mwami yamegongana na kuwaka moto. Cheki Point wilayani Same, umbali wa kilomita tatu kutoka Same Mjini. Ajali hiyo ambayo imethibitishwa na Mkuu wa Wilaya ua...
3 Reactions
154 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…