Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukiiuliza Quran tukufu ya Muhammad na Allah kwa nini Allah hana mwana wakati mwenzake Yehova anaye wake anamuita Yesu Kristo? Quran inajibu, 6:101 Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke...
9 Reactions
99 Replies
2K Views
Walalamishi wote nawaona wamejaa Wivu kama WATOTO wa Chekechea tu Ikumbukwe eneo la Buguruni hadi Msimbazi Center lilikuwa la Kanisa lakini kilichotokea itabaki kuwa historia Juzi kati Bakwata...
4 Reactions
24 Replies
929 Views
Hakika Tunawashukuru sana ndugu zetu katika kristo! Kanisa la KKAM kwa ukarimu wao kufurahi pamoja nasi katika kuitangaza injili leo. Waswahili husema jirani yako ndiye nduguyo, Nyumba ya mwenzio...
12 Reactions
31 Replies
1K Views
Wadau niko mkoa kwa likizo fupi ya mafuriko ya mjini Daslam mpaka hali itapotengemaa. Huku mkoa niliko mjengoni kuna tabia ya ajabu ya mchwa wanaojenga na udongo ukutani kama ramani flani hivi ya...
3 Reactions
35 Replies
37K Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imeitaka sekta Binafsi Tanzania kutumia fursa ya maboresho yaliyofanyika katika Bandari ya Dar es Salaam kuitumia...
0 Reactions
2 Replies
487 Views
Hapa ni Salary slip ya mdau, Nilikuwa nabisha lakini baada ya kutumiwa nimebaki hoi Nimeamini kuwa uyaone, kuna wafanyakazi wa serikali wanalipwa House allowance? Hizi taasisi zina sheria...
9 Reactions
119 Replies
24K Views
Mimi kama mdau na mnufaika wa mafao napata changamoto. Niliacha kazi na nikaandika barua kwamba nakwenda kujiendeleza na masomo nikitegemea kutumia mafao yangu katika elimu kama kujilipia ada na...
0 Reactions
2 Replies
294 Views
Mange Kimambi ana a mini kuwa ana nguvu kubwa sana mtandaoni. ( Of course anazo) Nguvu ambayzo angeweza kuzitumia either against Samia's Government or in favour of Samia's Government kipindi...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba. Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia...
30 Reactions
125 Replies
5K Views
Katika maisha ya kila siku, wengi wetu tunapuuza nguvu ya maamuzi madogo tunayofanya—hasa siku za wikiendi. Hii ni nafasi ya kipekee ambayo wengi huitumia kwa mapumziko, burudani au kukutana na...
1 Reactions
17 Replies
622 Views
Sijui kwa nini watu wasio na hofu ya mungu wanaoenkana watu wabaya sana ukizingatia watu waliofanya na wanaofanya maovu makubwa katika jamii ni wenye dini na inayoitwa hofu ya mungu. Nafikiri...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Kama unabisha kasome vitabu vitakatifu vyote viwili Shehe wa Mwamposa alikuwa sahihi Kwenu Malaria 2 na THE BIG SHOW 😁
2 Reactions
14 Replies
569 Views
Habari mpya kwa wanafunzi wa theolojia ni kwambaMistari 42 imebadilishwa Maelezo ya chini kadhaa yamehaririwa Maneno yamebadilishwa. Mfano: Mwanzo 3:16 – Imebadilishwa Tena Toleo la 2016: "Tamaa...
2 Reactions
50 Replies
2K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) Askofu Maximilian Machumu Kadutu (Mwanamapinduzi) amehoji juu ya kutumika kwa mabomu ya machozi na Jeshi la...
1 Reactions
9 Replies
637 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Salim Ramadhani Msangi akipata maelezo kutoka kwa wataalamu wa Shirika la Reli Tanzania alipotembelea banda la Shirika la Reli...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani. Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa...
12 Reactions
128 Replies
4K Views
Children sio Sawa na kids. Kids ni watoto wa Mbuzi. Children watoto wa Bin adam. Children of Israel sio Sawa na Kids of Africa. Standard. Priest ikiwa na maana ya Mchunga Ng'ombe jiulize wewe ni...
0 Reactions
2 Replies
219 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa onyo kali kwa kundi la watu wanaodaiwa kufanya vurugu mara baada ya ibada katika maeneo ya Kibo, Ubungo, likisema halitavumilia vitendo...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Muda huu, waumini wa Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) Ubungo Kibo wameanza kutoka baada ya kumaliza ibada kwa utulivu, huku polisi wakiendelea kusimamia usalama bila kuwabugudhi wala...
2 Reactions
9 Replies
780 Views
Tuambizane Binafsi sitapiga kura
14 Reactions
197 Replies
6K Views
Back
Top Bottom