Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tanzania sio kisiwa na pamoja na sio kisiwa bado ni nchi masikini duniani na ivyo Kiswahili chetu bado hakitatupaisha sana duniani sio kama Kichina, Kijapani au lugha zingine duniani kwenye nchi...
3 Reactions
14 Replies
644 Views
Baada ya misukosuko ya kidini yaliyowakumba Waprotestanti katika karne za 18 na 19 huko Ulaya, wengi walilazimika kukimbilia Amerika kutafuta uhuru wa kuabudu. Katika mazingira hayo mapya...
2 Reactions
10 Replies
701 Views
Habari ndugu wanajamvi, Binafsi ninaomba msaada kwa anaetambua jinsi au ni hatua gani rahisi, halali na za HARAKA kuweza kupata visa ya kwenda china kibiashara, Napenda kutanguliza shukrani...
1 Reactions
15 Replies
10K Views
Wanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa. Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3...
42 Reactions
212 Replies
9K Views
Huyu jamaa harakati zake za kusaka tonge si mchezo, ninashawishika zaidi kuamini kwamba ana pesa zaidi kuliko Diamond Platnumz. Kama Samia atashinda uchaguzi huu, huyu jamaa utajiri wake utazidi...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Heppi Iddi. Yaani mpaka sasa sijapata mualiko popote pamoja na kukariri aya za Koran wiki nzima. Mpaka mchepuko wangu haujanialika. Anyways. Ukiachana na hayo safari toka Zanzibar kwenda Dar ndio...
3 Reactions
13 Replies
939 Views
Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) wameonesha kuridhishwa na huduma zinazotolewa na wizara...
1 Reactions
7 Replies
442 Views
Jamani ni nini hiki mbna sikielewi.
8 Reactions
53 Replies
2K Views
"Ni imani yangu hema hili litatumika kujenga jamii yenye maadili na jamii yenye hofu ya Mungu. Ni kupitia tu hofu ya Mungu na ndiomaana Mungu akatushushia dini na miongozo ndiyo mwanadamu...
1 Reactions
6 Replies
447 Views
Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje? Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini? Je, jina gani lingekua sahihi; - United States Of Africa (USAf). Jina...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Taasisi ya Jamii Africa kupitia jukwaa lake la JamiiForums @jamiiforums imeandaa mjadala maalum uliowakutanisha wadau kutoka serikalini, asasi za kiraia, pamoja na wananchi, kwa lengo la...
3 Reactions
3 Replies
318 Views
Mimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo Nikisema jamaan watu tujiandae...
4 Reactions
24 Replies
782 Views
Kwa mujibu wa ngano za Biblia na Quran, Mfalm Suleiman alikuwa na vipaji 666, wake 700, nyumba ndogo 300, na zaidi, alijenga hekalu lake au "nyumba ya Mungu" kana kwamba alikuwa Mungu au...
16 Reactions
229 Replies
7K Views
Isa 4:1 SUV [1] Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu. Ukisoma...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Uhai ni safari ya nafsi inayojitahidi kugundua maana ya kuwepo. Hatua za kutatanisha, ambapo mtu anajikuta akitafuta majibu, macho yake yakitafuta mwangaza katika kivuli cha kutokujua. Ni dunia...
2 Reactions
2 Replies
263 Views
Ni binti mtoto wa Single Mother masikini mama ntilie. Kasoma kayumba kuanzia primary hadi Six..Kaenda UDSM kapiga first class kapata full scholarship ya Masters in a prestigious University in the...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
Binadamu tupo busy na mambo ambayo hayana msingi tunawaza kula kufanya mapenz kulala Tabia zote za mnyama kupigana kuuana Dunia ina kila kitu lakini imekosa upendo hatuna upendo kuanzia kwenye...
2 Reactions
17 Replies
550 Views
Nimeona mada nyingi hapa JF zina makosa ya tahajia (spelling) za maneno ya Kiswahili. Na watu hawaoni kuwa hilo ni tatizo. Matatizo wanayoona ni ya kisiasa! Hii ni dalili ya ulegevu wa kiakili...
8 Reactions
28 Replies
993 Views
Sio tuu kwamba tuko top 10 ya Nchi Zenye Amani Zaidi Afrika Bali tunaongoza Afrika Mashariki. https://www.instagram.com/p/DLt5zTFt0fz/?igsh=MXR5djI1MHJtNzhrcQ== My Take Hongera SSH Kwa...
1 Reactions
21 Replies
798 Views
Pikipiki za umeme za magurudumu matatu (bajaji) zilizoanza kutumika kwa mara ya kwanza katika Maonyesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), zimerahisisha usafiri kwa wageni na...
1 Reactions
3 Replies
451 Views
Back
Top Bottom