Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!! Watu wabaya sana na uchawi upo..unaambiwa alafu unajibu namtegemea MUNGU..unasema unamtegemea MUNGU wakati...
12 Reactions
60 Replies
3K Views
Hospitali ya Amana imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwananchi aliyeandika kupitia JamiiForums.com kuhusu changamoto ya Huduma ya Ambulance ambapo alisema zipo mbili lakini Dereva ni mmoja na hivyo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
VITO - MADINI - DHAHABU - UTENDAJI WAKE. MOONSTONE : JIWE LA THAMANI LINALOSAIDIA WANAWAKE KUSHIKA MIMBA! Sehemu ya nne Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Ukisoma Elimu ya Vito, utagundua jinsi...
0 Reactions
2 Replies
416 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Tume ya Ushindani wa Haki (FCC) imechukua hatua madhubuti kuimarisha uelewa wa sheria za ushindani miongoni mwa wajasiriamali wadogo na wa kati kwa kuzindua...
0 Reactions
1 Replies
204 Views
Katika hadithi ya jinsi waumuni walivyopatiwa kuswali sala 5 kwa siku inasemwa kwamba mtume akiwa katika safari yake mbinguni alipokutana na Allah alianza kwa kupewa sala 50 kwa siku, mtume...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Jamani wanajamvi kuna jamaa alinialika kwenye group niseme la maombi amenialika siku nyingi niende leo nikaamua kwenda katika mambo aliyonihubiiria ni kama yafuatayo: 1.Ulazimishwaji wa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
238 Views
Mwaka 4 huu yanga bila bila serikali ya Samia imekwamisha vibari na eneo kidogo la kuongezwa kujenga uwanja Je Mwamposa ni special kuliko taasisi zingine za umma? Vibali vya ujenzi wa uwanja...
0 Reactions
2 Replies
510 Views
RC Chalamila kwenye Uzinduzi wa Kanisa la Mwamposa amesema; Mwaka jana Askofu Maboya alipendekeza awe Shemasi wa moja ya Kanisa la Mwamposa
0 Reactions
9 Replies
655 Views
Salute! Haraka haraka bila kupoteza muda niruke kwenye mada husika ndugu zangu... Siku kama 2 zilizopita nilipost uzi hapa JF forums, LINK: Ontario's mere prediction about the future, yajayo...
82 Reactions
442 Replies
61K Views
Nyakati hizi, kuna watu wengi wanaobubujikwa na machozi ya huzuni kwa sababu ya magonjwa yanayowasumbua. Katika kutafuta chanzo cha magonjwa, watu wengi huelekeza macho yao kwenye vyanzo kama vile...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Anonymous
Habari, Ipo tabia ya wahudumu wa afya wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika iliyopo katika Kijiji cha Majalila hasa katika Idara ya Maabara (majina nayajua) na baadhi yao wapo Wodi ya Wazazi na...
0 Reactions
2 Replies
423 Views
Aisee nimiaka kama tisa hivi toka nifeli form kidato nimepambana sana hapo katikati sasahivi mambo mazuri Nimeenda kijijini nikakutana nawale manguli wa sayansi wamekua walimu wa sekondari hiohio...
5 Reactions
18 Replies
698 Views
Bangi haimfanyi mtu kuwa na tatizo la afya ya akili isipokuwa bangi Ina mreveal mtu ambae alikuwa na tatizo la akili lakini jamii haijui kama analo. Meaning what? Kama una vuta bangi na haupatwi...
23 Reactions
50 Replies
3K Views
Aliyekuwa diwani wa Kata ya Mahuninga amefariki dunia siku chache baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama chake cha Mapinduzi (CCM), kuwania nafasi hiyo kwa mara nyingine...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Jamaa karudi na milioni 80 nyumbani, kiunoni ana bastola lakini kakuta majambazi wameshafika kwake tena wapo chumbani na mkewe wameshamfunga kamba na plasta mdomoni. Jamaa kaingia na begi lake...
15 Reactions
50 Replies
2K Views
Wanafika kuazia saa 11 alfajiri kila Ijumaa kumsubiri tajiri wa Oilcom. Naye anawagawia Tsh 2,000/= kila mtu. Mtaa huu ni maarufu kwa vile una migahawa miwili maarufu Chef Pride na KT Shop...
6 Reactions
92 Replies
3K Views
Jinsi ya kujua Toleo la Biblia ni la kweli au uongo angalia Mwanzo 1:1 ukiona haisemi Mungu aliumba au God Created jua ya uongo Kuumba ni making something out of nothing witthout any tangible...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Kuanzia mdhari ya ukumbi, stage, mavazi yaka kiulaya sana burudani zote live band MC hawana ule ujinga wakina mpoki na matusi Tanzania kuna la kujifunza hapa sio kina majizo wanakuja na ndala za...
2 Reactions
8 Replies
504 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya leo Julai, 4, 2025 ametembelea banda la kutolea huduma la taasisi hiyo katika maonesho...
2 Reactions
2 Replies
295 Views
Vijana njooni machimboni tupige ela, mnangangania daswamu(Dar) kutwa kuzurula mitaani tu Kunengua mauno kama dada zetu kweli?? Kijana mdogo dhahabu sio shida ata ukitaka nakugawia mtafute ela...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom