musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 588
- 905
Wasalaam
Kutokana na kuaminiwa kwenye maisha ya watu wakati mwingine baadhi ya watu wa kada hizi mmekuwa na mambo ya ajabu
Mwalimu na polisi wengi wenu sio wote...huwa ni wajuaji kuliko... polisi au mwalimu,anaweza kumbishia fundi gari...Fundi nyumba ...daktari masikini na hali hajui chochote kati ya hayo...nilishuhudia ukuta wa nyumba ukianguka baada ya kujengwa hovyo kisa...polisi alimuamuru fundi kujenga anavyotaka sio kuzingatia kanuni za fundi
Sasa hii tabia yenu ya kupiga piga watu kama mnapiga mahindi...unampiga mtu kama umemfumania na mkeo ...itaendelea kuwadharaulisha na kuonekana uelewa wenu ni wa chini msiojitambua na zaidi kubeba laana
Unapata mshahara fuata kanuni na taratibu za kazi uwe na mwisho mwema