Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aisee hiki kinyang'anyiro cha foleni hapo korogwe NI hatari kwanin tahmini haikufanyika kuhusu ujenzi utakavyoathiri hii Barabara yaani kutokea maji chumvi ikifika saa moja unaweza ukashanga...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Kwa mara ya kwanza simu hii inatoka ilikua mwaka 2021 inaitwa Samsung Galaxy S21 Ultra, ikiwa ni moja ya simu toleo Bora kuachiwa na kampuni hiyo kwa Miaka 4 Sasa. Hii simu bado unaweza kuleta...
4 Reactions
7 Replies
701 Views
https://youtu.be/DfwL5QaP64Q?si=VfdAw3erDx0hThYP Uchambuzi wangu UTV Azam media- morning trumpet juu dhana ya viongozi wengi Afrika kusalia madarakani kwa muda mrefu kwa kofia ya demokrasia na...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Kwa mfano mtu alie fanya Masters in Psychology vs mtu alie soma let's say vitabu elfu moja about psychology. Nani anakuwa nondo zaidi katika kwenye eneo husika la kitaaluma kwenye nyanja hiyo ya...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Mfumo wa anwani za makazi umekua changamoto kwenye kufanya application za HESLB, changamoto tunayokutana nayo nikama ifuatavyoo; 1. Mfumo unataka taarifa za mmiliki wa eneo(Nyumba) husika,, hii...
5 Reactions
63 Replies
7K Views
Katika dunia ya leo yenye kasi na mitazamo ya haraka, mara nyingi tumekuwa wepesi wa kutoa hukumu dhidi ya watu kwa misingi ya taswira au taarifa za juu juu. Mojawapo ya maeneo haya ni matumizi ya...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
👉 Jesus News Radio Katika jamii nyingi, hasa zile za Kiafrika, wanawake wamekuwa wakichukuliwa kama watu wa pili ndani ya familia au ndoa. Lakini ukweli usiopingika ni kwamba wanawake ndio nguzo...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500 Ila ajabu bei imeshuka Jana mnada bei...
1 Reactions
3 Replies
548 Views
Naona watu mnazungumza bila kuwa na taarifa za kutosha kuhusiana na kifo cha daktari, na wengi mnazungumza kwa hisia. Kwa kifupi iko hivi , Mzazi wake Dr Magreth pengine ndiyo chanzo cha haya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nipo njia panda kabisa aisee wakuu hivi kati ya Yesu na yehova nani ni Mungu? Maana kuna watu wengine wanamtaja kama yehova ni mungu wao na pia kuna wengine wanamtaja yesu kama ni mungu wao...
1 Reactions
7 Replies
347 Views
Kumaliza chuo ni kuzaliwa upya, labda kama uliandaliwa mazingira na wazazi wako. Mwanachuo ukifanikiwa kumaliza chuo usirudi nyumbani
0 Reactions
3 Replies
282 Views
Kwa hili Serikali imefanya jambo jema Sana . nasikia Chumvi amelimwa kichwa.
2 Reactions
24 Replies
1K Views
PESA NI SILAHA; VITA YA MAISHA. MBINU ZA KIMEDANI. CHUKUA MOJAWAPO! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna mahitaji yanayoleta kuhitajiana. Kuhitajiana kunakoleta mahusiano. Mahusiano mchezo wa...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Kuna matukio ya kuokotwa kwa miili ya wanaume watatu na mwanamke mmoja katika maeneo tofauti ya Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga. Kati ya miili hiyo, mwili wa mwanaume mmoja, kutokana na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Tangu nikiwa mtoto wa daasa la tano nimekuwa nikisikia uwepo wa shule za vipaji maalumu yaani kwa wanafunzi wanaodhaniwa kuwa na upeo mkubwa wa akili, binafsi Mungu alinijaalia kusoma mojaya...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Nashuhudia maajabu ya Dunia katika Mahakama za Tanzania. Askari wasio wa ki mahakama walio jaa silaha za visu, mabomu na bunduki wame tanda siyo nje tu ya mahakama bali ndani ya chumba cha...
4 Reactions
21 Replies
854 Views
Hakuna pahala tunakwenda! Naona tena tukiwa nafasi ya chini ya namba 10 ikifika hadi december. Glazers wamefyonza pesa, sasa hivi roho iko juu juu katika financial Fair play (FFP), Tuna move...
0 Reactions
3 Replies
251 Views
Hebu soma hizi kelele MASHARTI NA VIGEZO KIBAO NA VIKUBWA VISIVYO NA UHALISIA na UONE JINSI LINAVYOFOKA (kuwa utajitegemea kwa kila tu)...Kumbe ni VOLUNTEER tu... Internship and Volunteer...
0 Reactions
1 Replies
498 Views
Asalaam alykhum. Tumsifu Kristu. Kuna lile tukio lilitokea kule Serengeti (kama sijakosea) la simba dume kutongozana na kuanza kufanya ufuksa. Basi leo siyo Serengeti ni mjini kabisa hapa...
6 Reactions
182 Replies
7K Views
Kampuni ya Mabasi ya Abood mnatukosea sana Abiria wenu,haiwezekani tumekata tiketi ya bus la kwenda Mbeya lililotakiwa kuondoka saa Tisa na nusu lakini mpaka muda huu hakuna bus. Wafanyakazi wenu...
8 Reactions
89 Replies
4K Views
Back
Top Bottom