Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba akionyesha Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB mbele ya...
0 Reactions
3 Replies
274 Views
Habari wakuu, Sikutaka kupitia kwa dalali hivyo nimekuja kwenu moja kwa moja kama una mjengo unauza tuwasiliane moja kwa moja na mimi tufanye biashara natafuta mjengo mmoja mkali sana, hata kama...
2 Reactions
11 Replies
595 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Humprey Polepole, alilazimika kuongoza magari ili kupunguza foleni Sinza. Siku hiyo kulikuwepo Ajali ya moto katika bar ya Carribean night club Sinza Ilikuwa 12 Ago 2016...
1 Reactions
7 Replies
634 Views
Nashauri wizara ya elimu ifute somo la uraia, badala yake wanafunzi kuanzia chekechea hadi chuo kikuu wafundishwe somo jipya la mama. Napendekeza somo lenyewe liitwe "Mama Samia - Nyota...
1 Reactions
2 Replies
239 Views
Kuna watu humu wanawatusi sana waislamu na uislamu wao. Wanawashutumu mambo mazito mazito. Sasa mimi naomba tufanye hivi... Madrasa tunazijua vizuri mitaani na wengine tunazifikia mpaka kuweza...
16 Reactions
116 Replies
4K Views
Wakuu mkae kwa kutulia , jamaa wa super black anaelekea kuuchochea moto
36 Reactions
96 Replies
7K Views
Kwa wataalamu wa mipango miji na wajuvi wa mambo, ni eneo gani hapa Dar kwa kijana anayejitafuta, mwenye kipato cha kati anaweza kununua Kiwanja kwa lengo la kujenga makazi ya familia ndani ya...
2 Reactions
3 Replies
408 Views
Daktari bingwa wa watoto kutoka Hospitali teule ya Kibosho Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, Magreth Joseph Swai (30) ameripotiwa kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa antena. Akizungumza...
14 Reactions
214 Replies
11K Views
Huu ni Ushauri ninaoupeleka kwa Mamlaka inayosimamia Usafiri Nchini Tanzania. Kwa malengo mema kabisa usafiri wote wa umma kwenye barabara zote kutoka Chuo cha Uhasibu kupitia DUCE, Uwanja wa...
3 Reactions
33 Replies
928 Views
Watu wanatembea na visasi rohoni/moyoni. Nenda X muna alivyojibiwa
36 Reactions
65 Replies
4K Views
Mwenye kuelewa maana ya ndoto hii na anipe tafsiri. Tulikuwa tuna kampeni za uchaguzi mkuu, Mimi nilikuwa Mfuasi wa Chama Fulani Cha upinzani lakini nilikodiwa kufanya kampeni kwenye chama...
6 Reactions
14 Replies
785 Views
Polepole kabla hajawa balozi msimamo wake ni kuwa hii ni awamu ya 5 na Samia hatakiwi kugombea tena baada ya kumaliza hii miaka 4 iliyokuwa imebaki Na amejiuzulu ubalozi kwa sababu mchakato wa...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Fikiria miaka 25 ijayo: Je, maisha yatakuwaje ifikapo mwaka 2050? Teknolojia inakua kwa kasi kuliko wakati wowote katika historia ya binadamu. Leo, tunaona simu janja, magari yanayojiendesha, na...
3 Reactions
7 Replies
689 Views
Wewe Kijana unayejichua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi Fanya hivi Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji. Kisha kajiangalie katika kioo...
22 Reactions
138 Replies
6K Views
Katika mjadala wa nguvu za mataifa na udhibiti wa rasilimali duniani, jamii ya Kiyahudi huibuka mara kwa mara kama kundi lenye ushawishi mkubwa sana hasa katika masuala ya kifedha, kisiasa, na...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Foleni zimekuwa ni jambo la kawaida, hasa kwa wanaosafiri kuelekea maeneo ya Mbagala au Buza, ambako safari inaweza kuchukua hadi saa tatu kufika, sehemu ya kufika ndani ya lisaa limoja hata kama...
0 Reactions
3 Replies
253 Views
Kuna watu wanatumika kama vyombo vya kueneza ubaya na kufanya ubaya pasipo wao kujua kuwa ni vyombo. Katika kitabu cha 48 Law of power .- Ambacho kinazungumzia mbinu mbalimbali za kuwa na Power...
2 Reactions
10 Replies
586 Views
Kesi ya Tundu Lissu imeahirishwa, tena. Sasa ni mpaka tarehe 30 Julai, 2025. Lissu amenukuliwa akisema: “Wanachokifanya hiki cha kurudi hapa na kuomba ahirisho kila mara ni kupoteza muda... Ni...
2 Reactions
5 Replies
301 Views
Mimi namtegemea Mungu pekee, sitegemei binadamu...alisema Ninajiuliza huyo Mungu atashuka kukufanyia wewe jambo fulani? Sio kwamba anapotaka kufanya anafanya kupitia hao watu? Ulipoumwa si mtu...
1 Reactions
0 Replies
139 Views
Kila mmoja anasema pesa zipo kwenye personal brand! Lakini hawasemi maana halisi ya Personal brand. Kwa lugha ya mtaani personal brand ni kama yule dalali ambaye anajulikana mji mzima. Na kila...
2 Reactions
1 Replies
348 Views
Back
Top Bottom