Nahitaji usafiri wa gari binafsi kutoka Ngara Kagera kwenda Dar es Salaam.
Nasafiri mimi na mke wangu
Natamani usafiri uwe Jumatano au Alhamis.
Nitachangia nauli.
Wakati wa wizi wa benki katika jiji la New York, jambazi mmoja alipiga kelele akiwaambia wafanyakazi wa ndani ya benki:
“Msiondoke! Pesa ni mali ya serikali, lakini maisha yenu ni mali yenu.”...
Nashangazwa Sana yaani utakuta jitu kubwa au au mtu mtu mzima kabisa na ndevu sake anaenda kwa mchungaji au padri eti kuungama dhambi zake yaani unaenda kuconfess dhambi zako kwa mwanadamu mwenzio...
Maonesho ya sabasaba yamefikia tamati jana rareh 13 July kuashiria kilele cha kumalizika kwa shughuli hizo.
Ukiachana na pilikapilika za sabasaba mwaka huu kuna jambo hilo limekua desturi kama...
Katika maeneo mengi mkoani Kilimanjaro nyumba nyingi zimeonekana kuwa zimefungwa baada ya kukosa watu.
Maeneo ya Rombo, Machame, Kibosho, Lyamungo pamoja na maeneo mengine mengi ndani ya mkoa...
Kwanza tufahamu utaratibu wa milo mitatu(breakfast, lunch na dinner) ni utamaduni wa magharibi ulioibuka karne ya 17 kutokana na mambo mengi mojawapo ikiwa ni mapinduzi ya viwanda yaliyowafanya...
Wanajamvi salaam
Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii habari ya mbongo muvi mmoja kununua gari angalia picha chini
Swali langu ni je filamu za bongo zinalipa au ni showoff tu...
Wasaalam.
Tarehe 14 Julai, 2025 nimekuwa sehemu ya Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Sita tangu iingie madarakani, kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe...
1. Tangaza haraka Kuzuia vile Vijiwe vyote vya Kukodisha Mapira / Matairi ya Kuogelea
2. Kisha amrisha wanaotaka Kufanya hiyo Biashara Kwanza wajisajili Kwenu (Serikalini) na wekeni Ada / Tozo...
Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu.
Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda...
Kesi nyingi za ubakaji Tanzania zinawekwa kapuni na polisi. Kama zingetangazwa zote wananchi mngeogopa. English medium schools na madrassa ya Elimu akhera kuna mambo ya hovyo sana.
Je, nini...
MAANA YA MURTADI
Murtadi ni mtu ambaye alikuwa Muislamu kwa hiari, kisha akaamua kutoka kwenye Uislamu kwa kauli au vitendo vya wazi.
ONYO:Hii video inatisha,Murtadi akichinjwa kwa jina la Allah...
Salaam. Nembo niliyoibuni (nembo A) ilifanikiwa kuingia 3 bora shindano la Rajamu ya Taifa (Nation Brand Mark) - MADE IN TANZANIA. Shindano lilikuwa na jumla ya washiriki 83.
Kama member wa...
Historia inaonyesha Ijumaa kuadhimishwa kama siku muhimu kidini ni muendelezo wa karne nyingi sana wa utamaduni wa kiarabu ambapo siku hii hapo mwanzo ilikuwa ikitumika kama siku ya soko kubwa kwa...
Dini yangu mimi Ni Muislam,ila wazazi wangu Baba ni Muislam na mama ni Mkristo , walifahamiana mwaka 1989 kipindi wanafanya kazi serikalini wakapendana na 1992 wakaoana kwa ndoa ya kiserikali na...
Habari
Kama Heading inavo sema, hii ni kwa watu wa safari tuu ikiwa wew huamin katika safar na upambanaji katika nchi za watu basi pita kushoto hii haikuhusu
Kwa wale wenzangu wenye ndoto za...
Naandika habari hii nikiwa na kumbukumbu ya kuwakumbuka marafiki zangu dogo Chiko, Wamisujo, pamoja na Topha.
Hii ilikua 2015, leo ni zaidi ya miaka 5 imepita tangu washkaji zangu hao watangulie...
Dah huyu jamaa anakula almost kila kiumbe kinachopita mbele yake, iwe chatu, paka, panya, kenge nk
Japo asilimia kubwa video nyingi anapost anakula kenge na panya.
Anakuja kwa kasi sana kwa sasa...
Katika mambo ya imani ambayo kwangu yamekuwa ni magumu mno kuyaelewa ni kuhusu mungu kuruhusu kuteseka kwa watoto.
Watu wazima wakiteseka unaweza kusema labda wamestahili kwa sababu hadi mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.