Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemkuta na hatia na kumuhukumu kifungo cha maisha Mwalimu wa Shule ya Msingi Waja, Josephat Masenema Shikome kwa kosa la kumuigilia kinyume na maumbile Mwanafunzi...
Wakuu wa kaya ni namna gani ya kujitoa kwenye ajira ambayo ni financial security
Na kwenda kwenye mifumo mingine ya kusaka fedha yenye uhuru Zaidi wa kifedha yaani financial freedom
Unashauri...
Ni nyie tunaowategemea kwenye malezi ya wanetu mnapokuwa nao shuleni, ni nyie tunaowategemea kutuandalia kizazi shindani kijacho, hiki nini tena!?
Sasa naanza kumuelewa Mpwayungu
====
Wazazi wa...
Napenda kuwasilisha malalamiko kuhusu huduma duni na usimamizi mbovu katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli.
Mnamo 14/07/2025, abiria alinunua tiketi iliyoandikwa kwa mkono kwa safari ya...
Historia ya Joseph Philippe Lemercier Laroche (1886–1912)
Joseph Philippe Lemercier Laroche alikuwa mhandisi kutoka Haiti, anayejulikana sana kwa kuwa mtu pekee mwenye asili ya Kiafrika...
Kiukweli kipande cha Kondo hadi Kwa Msomali njia ya kuelekea Mbweni wanakoishi viongozi wa Serikali palikuwa panatisha sana kiusalama
Pongezi kwa mwekezaji na sasa tishio la kuokota Watu...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, moja kati ya uwekezaji wa maana na wakimkakati. Pamoja na uwingi wa wagonjwa, hawa jamaa wanafanya kazi kwa weredi, unyenyekevu na kujituma sana.
DR. Tatizo...
https://www.youtube.com/live/TESsdXCNBrU?si=zVojh8cRb2WhaVBx
Mkutano wa Pili wa Mabaraza ya Habari Afrika 2025 umeelezwa kuwa ni fursa ya kihistoria kwa vyombo vya habari barani Afrika...
Kesi ya kusababisha madhara mwilini inayowakabili wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mary Matogolo (22) na wenzake wawili, itatajwa leo Jumatatu Julai 14, 2025 katika Mahakama ya...
Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Magegele Kata ya Kivavi Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe, wameitaka halmashauri kuwachukulia hatua za kisheria walimu ambao wamebainika...
Dkt. ******* tafadhali Tulia ofisini Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), nikueleze.
Madaktari wa OPD Sina neno nao isipokuwa mmoja mtu wa Kagera ana lugha chafu sana.
Tuanze kwenye kupima BP...
Shalom shalom
Kama ukapata fursa ya kwenda kufanya kazi ulaya, uarabuni au Amerika nenda haraka sana hata kama ni kazi ya beki 3 au kubeba box, mlinzi au store keeper, kusafisha vibibi nk, acha...
Watu kadhaa ambao bila shaka walikuwa ni mafundi moja ya jengo pale kariakoo opposite na Jengo la Simba Sports Club wakionekana wakiwa wamepata shida ya kupigwa shioti ya umeme wakati wakiendelea...
Kama mnavojua Kariakoo ni eneo la kibiashara kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Na wafanyabiashara wengi hutegemea eneo hili na pia ni chanzo cha mapato ya Nchi.
Hii wiki inaenda ya pili mara...
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kambarage, Kata ya Igogo, Wilaya ya Nyamagana amekuwa akiwafungia na kuwaamuru Wafanyabiashara kufunga biashara zao akitumia nguvu bila sababu za msingi.
Amekuwa akitumia...
Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira.
1. Computer Science
2. Healthcare
3. Degree of Mass Communication
4. Some engineering courses.
5. Business Management.
Ongezea Degree moja hapa tuone?
Wananchi wa kijiji Cha Kwa Tito mkoani Kilimanjaro wameomba mtuhumiwa wa ubakaji mwenye umri wa miaka 50 aliyekuwa akimbaka na kumlawiti mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka 7 na kumsabibishia...
Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu
Katika zama hizi za mchanganyiko wa mitazamo na hamaki za kimatamanio, watu wengi wanajikuta wanashindwa kutofautisha kati ya upendo wa kweli na tamaa ya kimfumo...
Wakuu, katika kitu kuna Mzee wangu mmoja kila tukikaa anajutia ni kuuza eneo maeneo fulani ya Dar ambapo kipindi hicho palikua ni km Chaka la Simba tu. Enzi hizo kitambo sana akapaona sio kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.