WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,616
- 3,799
Nashuhudia maajabu ya Dunia katika Mahakama za Tanzania.
Askari wasio wa ki mahakama walio jaa silaha za visu, mabomu na bunduki wame tanda siyo nje tu ya mahakama bali ndani ya chumba cha mahakama.
Kwa nchi za wenzetu hata kwa majirani tu Kenya, hakuna utaratibu kama huo. Na ni kawaida ya Mahakama kuwa na askari wao siyo hawa wasio kuwa na mafunzo ya taratibu za kimahakama.
Je lengo lake ni kutia uogo au hofu kwa mshitakiwa au Hakimu? Jeutaratibu huu upo kisheria?
Je hii ni viashiria kuwa kwa sasa Mahakama za Tanzania hazipo huru na ni sehemu ya chombo cha serikali? Siyo mhimili tena unao jitegemea?