Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mama mmoja anayefahamika kwa jina la MAGDALENA ZABRON NTONELA Mwenye umri wa miaka 65 mkazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma, ameomba kulipwa mafao ya Serikali Kuu, kupitia mfuko wa...
3 Reactions
2 Replies
305 Views
Wajuzi wa mambo wazoefu ,tupeni uzoefu kwaliofanya kazi za tenderza serikali hasa zakusuplly materia katika mashule na zahanati pamoja na ujenz wake,zikoje nazo zinakujuana nakucheleweshewa...
0 Reactions
30 Replies
970 Views
Kila unachokifahamu kuhusu wewe na kuhusu dunia ni taarifa kutoka kwa Wazazi, Ndugu, Pastor au Shehe, Mwalimu. Binadamu anapozaliwa huja duniani na kuwekwa kwenye Mwanga, Mwanga ni kitu muhimu...
1 Reactions
2 Replies
469 Views
1. Mwalimu wa kiume anayefundisha shule za wasichana -Huyu muda wowote kinaumana 2. Mwanajeshi anayefundisha au kusimamia kuruti wa kike -huyu pia mambo yanaweza kwenda kombo muda wowote kama...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kwenye video ya YouTube mara nyingi hutengenezwa ili kuvutia macho ya watazamaji, si lazima kiwakilishe ukweli wa kilicho ndani yake. Watu wengi wanaweka vichwa vya kushangaza...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe akiangalia mdoli wenye muonekano wa binadamu (Manikin) ambao umeunganishwa na teknolojia inayowezesha mdoli huo kujieleza namna inavyoumwa wakati huduma...
0 Reactions
1 Replies
235 Views
Leo hii majira ya saa 11 jioni katika Block Namba 4 ghorofa ya Saba, Kota za Magomeni Jijini Dar es Salaam imeungua moto ambao chanzo chake, kwa mujibu wa Jeshi la Polisi na Uokoaji Mkoa wa...
0 Reactions
5 Replies
501 Views
Nimesikitishwa kuona maoni ya dhihaka na kejeli kwa mtu aliyefiwa na mkewe kisa chuki na visasi vya watanzania waliokwazwa na kauli zilizowahi kutolewa na baadhi ya viongozi. Ninawaomba viongozi...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Dar es salaam Vijana wengi ni Maskini ila wanamiliki iPhone na wanajua kunyoa na kuvaa vizuri and that's what give them confidence.. If you visit here hangaika na kilichokuleta. Ukishaanza...
3 Reactions
6 Replies
479 Views
Na Jackson Isdory, CMU Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeendeleza rekodi yake ya ubora katika nyanja za elimu, utafiti na ubunifu baada ya kutangazwa Mshindi wa Kwanza katika kundi la...
1 Reactions
6 Replies
401 Views
Ni huyu Mkuu wa mkoa Mh Makongoro na nduguye John Tunakumbushana Uzalendo uliotukuka siyo tu kumsifia Polepole kwa kujiuzulu Ukarani wa diplomasia Mlale unono 😁🙏
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Baada ya kujitolea kufanya kazi kwenye taasisi fulani binafsi kwa miaka si chini ya miwili nimepewa mkataba. Nimelazimishwa kutumia cheti cha kidato cha sita wakati nina elimu ya chuo(degree)...
2 Reactions
21 Replies
864 Views
Kila siku wananitumia SMS kwamba wana huduma inaitwa MGODI na wanaweza kunikopesha kiasi cha shilingi 530,000/= halafu wananipa menu ya huduma hiyo na kunitaka nikope haraka. Leo nimejaribu...
4 Reactions
11 Replies
794 Views
Wadau salam. Kipengele cha E Loan kwenye ESS,kimekuwa disabled ,ni muda sasa.Je serikali imeamua kuachana na mfumo huu na kurejea mfumo wa awali. Ni vyema serikalinikatoa tamko kuliko kukaa kimya.
0 Reactions
9 Replies
778 Views
I will be short South Africa maji ya bomba na mito ni mwendo wa kunywa ARV TU.
1 Reactions
3 Replies
351 Views
"Usalama wa chakula kwa kuanza tunaanza kufuatilia uzalishaji wa chakula ili kujua ukoje katika maeneo mbalimbali ya nchi. Tunapozungumzia usalama wa chakula huwa na mihimili Minne "Kwanza...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
Msongo Wa Mawazo ni tatizo kubwa barani Afrika, lakini bado haupewi uzito unaostahili. Watu wengi wanateseka kimya kimya kwa hofu ya kuhukumiwa, wakibeba maumivu ya kiakili yanayoharibu afya zao...
4 Reactions
8 Replies
463 Views
Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu...
2 Reactions
37 Replies
942 Views
Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi inakukumbusha kuwa kabla ya kuamini na kusambaza Taarifa unayokutana nayo ndani na nje ya mtandao ni muhimu...
0 Reactions
3 Replies
298 Views
Back
Top Bottom