Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kesi ya Jinai nambari 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa imeendelea leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya kilichotokea mahakamani leo. ____...
3 Reactions
7 Replies
797 Views
Huo hapo chini ni mche wa tunda la PASHENI. Inafahamika kuwa katika ukuaji wake, hutambaa juu ya miti au egemeo litakalokuwa jirani yake. Nilikuwa nasubiri ukue vya kutosha ndipo niuwekee egemeo...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Anonymous
Mfumo wa maombi ya leseni za biashara za studio, decoration service n.K zinahitaji kibali cha baraza la sanaa (BASATA), sasa huu mfumo wao unaitwa (AMIS) uko slow na haumalizi hata kujisajili...
0 Reactions
1 Replies
398 Views
Simba, Chui, Fisi na wanyama wengine wala nyama walikuwa wanakula nini katika bustani ya Eden? Chatu alikuwa anameza kitoweo chake katika bustani ya Eden? Mamba alikuwa anakula nini?? Ndege...
6 Reactions
51 Replies
2K Views
Maisha huwa yako na utangulizi kama ambavyo ilivyo kwenye vitabu mbalimbali, na lengo la utangulizi wa kwenye maisha huwa unamlengo sawa sawa na ule ambao upo au unawekwa kwenye vitabu vya...
20 Reactions
29 Replies
2K Views
Anonymous
Jaman wahusika waambiwe tunalitia aibu taifa vyoo vya terminal 3 tayari vinafanana na vya stendi ya zamani ya ubungo. Zile shimo za kutolea maji chini ziko wazi imagine wageni walikuwa wanasifu...
1 Reactions
4 Replies
461 Views
Naandika Kwa masikitiko sana. Kuona taasisi nyeti na yenye heshima kubwa Duniani na Tanzania inaharibiwa na washirika wake wengi. Jeshi la polisi Mara nyingi limehimiza wananchi kutoa taarifa...
7 Reactions
42 Replies
1K Views
Wasalaamu Wapendwa. Kuna changamoto nimeanza kuiona toka Jana,nilikuwa natuma sms kwa wateja wangu ambao nawaombea mikopo kwenye bodi ya mikopo na elimu ya juu(Heslb). Wakati nawasiliana nao na...
0 Reactions
13 Replies
640 Views
Kuna huyu dogo anajiita Raisi wa Tahilso Amekuwa sana kwenye media kujibizana sana. Eti anaweza kumjibu Polepole. Swali langu ni je ?mimi ndio niko nyuma sana kwenye nchi yetuau Yeye ni...
5 Reactions
26 Replies
959 Views
Kuanzaia kesho naanza kuhesabika kuwa mimi sio raia wa Tanzania? Hii imekaaaje kisheria zaidi?
1 Reactions
10 Replies
586 Views
Anaandika Kigogo NYUFA NI KUBWA SANA HATA MFICHE VIPI ,BASHE AMEITIA CCM MATATANI Kitendo cha kuahirishwa vikao vya juu kabisa vya CCM kwenye kufanya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi mkuu wa mwaka...
14 Reactions
40 Replies
3K Views
CCM OYEEEEEE 👉OYEEEEEEEEE CCM SAFIIIIIIIIII SAAAAFIIIIIIIIIIIII Ukweli mtupu ni kwamba anae weza kuitoa CCM madarakani ni Mungu pekeee CCM mitano tena SAMIA SULUHU HASSAN MITANO TENA
1 Reactions
10 Replies
431 Views
Baada ya jeshi la Israel kupiga kanisa na kuuwa watu waliokuwemo ndani, sasa huu umekuwa muda wa watu kufunguka macho na kuanza kuhoji huo utakatifu wa ardhi ya Israeli...
0 Reactions
38 Replies
996 Views
Habari.. Kumekuwa na udanganyifu kwenye baadhi ya ndoa za kikristo. Kwa sheria na taratibu zao imeruhusiwa ndoa moja tu. (Nyingine zitafungwa ikiwa mwanandoa mmoja amefariki au ndoa kubatilishwa...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Sijui wanaweka nini humo ndani, maana ni kama fashion kwa sasa. Juzi wakati nipo Taifa kuna kijana nilikaa nae jirani wakati anafungua nikachungulia, Ajabu katoa headphone ya simu na hamkuemo na...
32 Reactions
773 Replies
106K Views
Hivi kwanini watu/madalali wanauza furniture mitandaoni na katika furniture stores huwa wanaita hili eti ni KABATI ? hivi kweli hawajui KABATI ni nini/likoje ? Wataalamu wa Kiswahili hebu...
1 Reactions
5 Replies
407 Views
Inalilah wainailah rajiun Mtoto amepatikana amefarik akiwa amedumbukia kisimani nyumbani kwao Shukran sana ndugu zangu kwa dua zenu na ushirikiano wenu Pia...
3 Reactions
21 Replies
869 Views
JINSI UNAVYOWEZA KUMVUTIA MWANAUME WA MAANA/BORA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwanaume wa maana ni ndoto ya wanawake wengi waliopevuka, wanawake wanaohitaji kuwa na familia Bora, familia...
3 Reactions
6 Replies
631 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa dini ya Kiislamu katika Dua ya kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Marehemu Salim...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Mwenye kufahamu process za kubadiri matumizi ya ardhi anielimidhe please. Unapitia hatua zipi/
0 Reactions
7 Replies
912 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…