Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati Rais Samia anaingia madarakani mapato ya mauzo yatokanayo na gesi asilia yalifikia $55.12milioni sawa na TZS.143,313milioni Mwaka 2024 yameongezeka na kufikia $144.10milioni au...
2 Reactions
10 Replies
559 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Kinondoni imemuachia huru Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha mashtaka ya kughushi nyaraka za kiwanja...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mamlaka zilizo chini yake kumsimamia kwa ukamilifu mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa Barabara...
1 Reactions
4 Replies
416 Views
Fedha ya serikali haitoshi kugharamia kila kipengele, hasa kwa wanafunzi wa bweni. Shule nyingi hutafuta njia mbadala ya kupata fedha kwa kuhamishia mzigo kwa mzazi. Hivyo basi, elimu si bure...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali Wilayani Kibondo Mkoani Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Serikali imeazimia kutumia Shilingi Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya nchini ili kutoa huduma bora za afya ya msingi kwa wananchi...
0 Reactions
1 Replies
211 Views
Katika siasa za Tanzania, tumeona mwendelezo wa mapambano ya mamlaka yanayofanana na tamthiliya maarufu ya Game of Thrones. Ingawa hatuna mapanga na mizinga ya kale, tuna hila, mikakati ya...
1 Reactions
0 Replies
325 Views
Ni zaidi ya miaka 5 sasa toka Rais JPM alipoagiza Wizara zote za Serikali kuhamia jijini Dodoma yalipo makao makuu ya nchi. Agizo la rais ni sheria, hibyo lilitekelezwa kwa ukamilifu na sasa...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
MANITA – Maadili, Nidhamu na Tabia: Njia za Kupata Pesa na Kujenga Utajiri Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Maadili, Heshima Inayokuletea Hela Ukionekana ni mtu wa kuaminika, watu...
2 Reactions
3 Replies
567 Views
Serikali imetoa zaidi ya Shilingi Bilioni 98.893 kwa ajili ya kuimarisha sekta ya elimu katika mkoa wa Mbeya na Mtwara. Fedha hizo zimetolewa kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu ya...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Kuna huyu Askari Namba H 2223; Jina halikuweza kupatikana mara moja. Yupo pale Mnazi Mmoja Dar es Salaam kwenye mataa akiongoza magari. Taa za barabarani za kuongoza magari zina shida ya kuzimika...
0 Reactions
2 Replies
510 Views
Naitwa Diana ni msichana ambaye Kwa Sasa Naishi mwenyewe ,lakini mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu watatu JUMLA tutakuwa wanne,nimejaribu kuandaa budget ya chakula, hii itakua kama stock na...
7 Reactions
98 Replies
2K Views
Nisijifanye mjanja halafu nikaishia kuumbuka! Wazoefu mnisaidie tafadhali! Ikiwa unataka kufanya booking ya ticket ya ndege, ukikutana na neno SELF TRANSFER linamaanisha nini? Ni kama...
1 Reactions
2 Replies
446 Views
Sijui ule mwenge unaopitishwa unakuwa na madawa kwa tanzania.Hivi lile eneo kwa haraka haraka silengekuwa hata chuo ili kuongeza elimu.Leo limekuwa kiwanda cha miujiza na sadaka za upako. Kuna...
1 Reactions
2 Replies
287 Views
Shule zote nchini zimefunguliwa jana, hii shule iko Ngaramtoni Arusha, inamilikiwa na Waturuki. Viongozi wa shule wanawarudisha watoto kisa ni ada. Kuna watoto wametoka Manyara wamerudishiwa...
8 Reactions
94 Replies
12K Views
CCM Hoyee... Chama kipo Imara kuliko Jana. Tunajua watu mliomtuma Polepole. Msidhani hatujui mnayoyapanga kwenye vikao vyenu. Tunajua aliyenyuma ya Polepole, alipambana pia na JPM...
9 Reactions
49 Replies
3K Views
Salamu,wadau! Nina umri zaidi ya miaka 45, sina cheti cha kuzaliwa. Nahitaji kitambulisho hicho kwa dharura ili niweze kuomba passport. Nina kitambulisho cha taifa (National ID), kitambulisho...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari wadau,naombwa kusaidiwa mawasiliano (Namba za simu/email) ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,Mh Paul Makonda. Mwenye nayo ani pm tafadhali. Ahsanteni sana.
2 Reactions
9 Replies
21K Views
Ndugu zangu wapendwa huu ndiyo wakati wa kuwa imara zaidi kuliko wakati wowote. Simama na mathayo 10:28 HATISHWI MTU Kumbukeni hili msije kusahau hata siku moja! Mungu yupo pamoja nasi wakati...
3 Reactions
12 Replies
554 Views
Katika muktadha wa uongozi wa Taifa letu la Tanzania, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu namna bora ya kuhakikisha uongozi unaendeshwa kwa misingi ya uwazi, demokrasia, na uwajibikaji. Miongoni...
4 Reactions
10 Replies
443 Views
Back
Top Bottom