Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefika nyumbani kwa Mrisho Mpoto Kijichi Dar es Salaam kumpa pole kwa msiba wa mke wake Bi. Mariam Ally uliotokea Julai 15, 2025 Julai 16.
Mrisho Mpoto ni balozi...
Hivi ninyi viongozi wa Bajaji jiji la Mbeya mna matatizo gani?
Sawa tumekubaliana kuwa madereva wote wa Bajaji tubebe Abiria Kwa nauli ya shilingi 800 kituo Hadi kituo,Sasa Kuna shida gani kama...
Jeshi la Polisi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza kutoka Shule ya Sekondari Mtenga, Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa, Samwel Kayoka (16) kwa tuhuma za mauaji ya mdogo...
Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa.
Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔.
Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha...
London / Dar es Salaam, 20 Julai 2025 – Benki ya CRDB imetangazwa kuwa Benki Bora Tanzania, Benki Bora kwa Masuala ya Mazingira, Jamii na Utawala Bora (ESG), na Benki Bora kwa Biashara Ndogo na za...
Hivi tukifufua kile kiwanda cha Matairi Arusha ambapo miundo mbinu ipo kwa pengine 50% na tukasema tairi zote za magari ya kawaida ya Serikali Mikoa yote wachukue pale na majeshi yetu pia...
Asilimia zaidi ya 99 ya dawa ambazo zinatengenezwa zinafeli kwenye stage mbalimbali nyingine zinafeli kwenye pre Clinical trials, nyingine kwenye Clinical trials nikimaanisha zinakuwa na
Severe...
Setting ya movie hii ni mwaka 2169...wastani wa mwanadamu kuishi miaka hiyo baada ya kuzaliwa ni miaka 25 tu Kisha anafariki..
Lakini walioweka mfumo huo walitengeneza pia teknorojia ya gharama...
Habari wakuu na wadau wa jf,hope mko fine.
Mimi ni kijana mwenye miaka 38+ naishi mkoa wa Shinyanga kunakosifiwa kwa wingi wa madini japo mimi pesa ya madini siifaidi kabisa pamoja na...
Imagine umepewa mafunzo ya karate namna ya kupigana, kukwepa ngumi, maeneo muhimu ya kumpiga adui na mbinu kama zote.
(Picha kutoka mtandaoni
Siku moja mtu anakuchokoza unaamua kumuonyesha wewe...
Kuna watu hawana soni kabisa unawezaje kuwa kwenye daladala ya umma halafu ukipigiwa simu unaongea kwa sauti ya juu sijajua lengo la watu wa aina hii kwamba wote tukusikie au ni kutafuta approval...
Serikali imeazimia kutumia Shilingi Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya nchini ili kutoa huduma bora za afya ya msingi kwa wananchi...
Wakuu najiuliza kwanini mamlaka haziweki miundombinu vizuri Karikoo yote, baadhi ya mitaa miundombinu imechakaa kana kwamba pale si kitu cha Biashara nchini na nchi jirani.
Barabara nyingi mbovu...
Na mstudy Lissu kwenye maabara yangu. Bado sijaelewa ni kiumbe wa namna gani...
Hafanyi vitu vya ajabu sana lakini still bado ana nguvu kubwa sana ya watu wanao mpenda na kumkubali. Watu wa...
Katika siku za karibuni, tumeendelea kushuhudia hali ya wasiwasi na maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu kuzimwa kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, YouTube, na X (zamani Twitter), hasa...
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange Julai 18, 2025 amefanya ziara ya kuagua maendeleo ya Miradi ya umeme ukiwemo wa Njia ya kusafirisha umeme kutoka Zuzu hadi Mbande, Mradi wa...
Sasa ni miezi minne tangu niingie kwenye hii battle ya content creation. Niliona kuna fursa, mpaka sasa nina followers kama elfu 20 . Napata views zaidi ya millioni 1 kwa mwezi. Mambo si mabaya...
Katika kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na tija kwa wakulima, Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imepokea jumla ya pikipiki 50 zilizotolewa kwa maafisa ugani wa BBT Korosho.
Mkuu wa Wilaya...
umelala? huyu anayejenga gorofa hapa barabar ya 8 anavunja mbao za zege Mawe yanaanguka na hajaweka zile kingo. vibarua wake wamekazana kutoa mawe kwa jeuri wala hajali watu.anasimama akiona gar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.