Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Namna ya kufungua na kumiliki akaunti benki kuu ya Tanzania ,namna ya kununua na kumiliki bondi ,faida zake nakadhalika!Nimeuliza hivi kwa sababu ninataka nimshauri kaka yangu afanye nini hasa...
0 Reactions
2 Replies
241 Views
Binadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3. 1. Jenetiki alizorithi 2. Mazingira aliyokulia 3. Mazingira aliyomo. Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa...
22 Reactions
222 Replies
8K Views
Habarini wadau Mimi nimejiuliza sana , kwann wavulana katika shule za serikali wavae kaptula? Mbona wasichana wanavaa sketi kuanzia chekechea mpk high school? Mimi upande wangu naona kama kuna...
2 Reactions
10 Replies
531 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Hussein Mohamed Omar ametembelea Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) Makao Makuu Dar es Salaam leo tarehe 22 Julai, 2025...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
MDAU Mimi kama mwana chama wa ccm na kiongozi mwakilishi wa uvccm ngazi ya wilaya Bukoba vijijini , Natoa Rahi kwa Ndg KARAMAGI kuwa tabia zake za kuvuruga Jimbo letu la Bukoba vijijini...
0 Reactions
3 Replies
299 Views
Dodoma inakuwa kwa kasi nzuri lakini kumekuwa na changamoto ya washamba wengi. Kutokana na kuwa Makao Makuu kuna watu wengi wanahamishwa kutoka vimiji vidogo wanakuja na ushamba mwingi sana. Mtu...
2 Reactions
1 Replies
232 Views
NSSF WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 Tanzania National Social Security Fund (NSSF) wamempongeza sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
1 Replies
265 Views
Anonymous
Tukiwa Watumishi wa NSSF, tulisimamishwa kazi na kisha kufukuzwa kabisa bila Sheria kufuatwa, lakini ajabu ni kwamba wapo wenzetu ambao na wao walikuwa na makosa kaka sisi tuliofukuzwa lakini...
0 Reactions
1 Replies
364 Views
KAMPUNI ya Mawasiliano hapa nchini, Yas imetangaza rasmi kudhamini Mashindano ya Ndondo Cup kwa mwaka huu wa 2025. Yas na Mixx, inajivunia kuwa sehemu ya mashindano hayo ya kihistoria...
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na mfumuko wa frame za maduka zinazojengwa karibu kila pembezoni mwa barabara zote nchini iwe ndogo au kubwa, Kibaya zaidi watu hawa wamekuwa wakijenga hata...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
RC ZAINABU TELACK: KASIMAMIENI KWA WELEDI MIRADI YA MAENDELEO Na, Hilarry Shuma OR-TAMISEMI Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Zainabu Telack, amewahimiza Maafisa tarafa na watendaji wa kata nchini...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Habari JF Naomba mtafute ile post tulituma kupitia jukwaa la malalamiko / fichua uovu Hatimaye tunawashukuru DAWASA wameanza mchakato wa huduma ya maji Kibaha-Pangani Pia soma ~ Mradi wa Maji...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Huu ni Ujumbe wa Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele kuhusu huduma ya Kituo cha Treni ya Mwendokasi (SGR) Mkoani Morogoro. Afande ameandika "Time is Money. 🔨Muda ni Pesa.. Muda ni Mali.. Muda ni...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Vyoo vya hii stendi jirani na kituo cha Polisi cha Simu 2000 ni vichafu sana. Unapoingia tu unakutana na masinki yale ya wakati wa COVID-19 ya kunawia mikono yana maji machafu yaliyotuama humo ni...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Wasomi wengi wameishia kuwa na huzuni ya ndani, hali ya kisaikolojia inayoitwa existential frustration, kwa sababu waliaminishwa kuwa vyeti ni tiketi ya maisha bora. Ukweli ni tofauti – dunia ya...
1 Reactions
3 Replies
342 Views
Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP katika Mkoa wa Lindi imetoa Shilingi Bilioni...
1 Reactions
0 Replies
203 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameweka Shada la Maua katika Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa wa Jamhuri ya Belarus. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Belarus, Alexander Turchin...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Kuna mfanyakazi mmoja mapokezi mofisi za NIDA Kibaha maili Moja mama mmoja mweupe amejichubua anakaaga nje mapokezi maili Moja mkoani ofisi za nida anajifanya kama ofisi yake binafsi...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Mathayo 12:20 “Mwanzi uliopondeka hatauvunja, Wala utambi utokao moshi hatauzima, Hata ailetapo hukumu ikashinda. 21 Na jina lake Mataifa watalitumainia.” Wakati nautafakari huu mstari...
1 Reactions
1 Replies
247 Views
Back
Top Bottom