Nakumbuka nilikuwa nauza mtumba, mtaji wangu ulikuwa 50k nikiyumba unapungua kidogo nikiwa vizuri unaongezeka kidogo. Kimsingi faida yangu ilikuwa kati ya 6,000 hadi 12,000.
Basi bwana nikampata...
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), marehemu Anastazia Mwamongi (72), aliyekutwa ameuawa kikatili ndani ya nyumba yake na watu wasiojulikana, amezikwa katika makaburi ya...
Moderator wiki jana sio jana.
Wiki iliopitia Wife kanipigia simu saa kumi umeme umekata na gesi imeisha, ila akili yangu ilikuwa settled katika kutuliza koo kidogo koo kwa dakika 10 alafu...
Kauli hiyo imesema na Coaster Kibonde Mgombea Uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Demokrasia MAKINI katika kipindi cha MORNINGBANTU cha Star Times Bongo
Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayeongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arumeru, Albert Elias Mollel, amewaonya viongozi...
Mshiriki wakala Richard Malisa akipokea hundi ya fedha ya kiasi cha Tsh 200,000 kutoka kwa timu ya M-Pesa ya Vodacom baada ya kumaliza mafunzo na maadhimisho ya miaka ya 25 ya kampuni ya Vodacom...
Ni vilio na simanzi katika mtaa wa Mkimbizi D, kata ya Mkimbizi, manispaa ya Iringa, kufuatia kuuawa kikatili kwa mjane Anastazia Mwamongi, maarufu kama Mama Mwamongi, ambaye pia ni kada wa Chama...
Jamani, naandika kwa majonzi makubwa. Jana nilishuhudia ajali mbaya ya mtoto mwenye umri wa miaka sita akigongwa na gari na kufariki papo hapo. Hii si mara ya kwanza kutokea katika eneo la...
Katika kuadhimisha robo karne ya uwepo wake nchini na mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwake, Vodacom Tanzania PLC imeanzisha kampeni kabambe ya nchi nzima ijulikanayo kama "Tupo Nawe, Tena na...
Kila nikitafakari sana kuhusu hili swala la maisha baada ya kifo katika Angle ya hizi dini zetu nagundua sisi wanadamu hatujui hatma yetu baada ya maisha haya. Muislamu anasema hili mkristo...
Kila mtu ambae ana plan ya kujenga nyumba baasi lazima ajenge na flame kadhaa za maduka bila kujali eneo halilpo wala thaman ya nyumba yake!!
Juzi nimeona nyumba iko porini ambako hakuna hata...
"Haya madini hayaozi yaacheni siku watu wetu wakiamka na kutambua jinsi ya kuyachimba watayachimba". Hiyo ni kauli ya hayati Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kiongozi aliyetanguliza...
Cha kushangaza zaidi madhehebu haya yote kudai kuongozwa na "Roho mtakatifu" na husoma kitabu kimoja, (Biblia)ila hamna maelewano kuhusu Mungu wao, tatizo ni nini?
1. Mashahidi wa Yehova.
Wao...
Wasalaam,
Mwaka 2019 nilipanga nyumba mpya sehemu nzuri sana hapa jijini Daslaam nilichukua nyumba nzima kwa kodi ya laki 9 kwa mwezi. Nililipia miezi sita kwa cash na hiyo ilikuwa mara ya...
Habari wana JF
Kuna changamoto ya taa za kuongezea magari eneo la Serengeti (Temeke), Taa ya kuongoza upande wa usalama kuvuka kwenda keko, taa ya kijani (Green light) haiwaki kwa muda.
Watu wa...
Bandari Kavu ya Kwala iko katika eneo la Vigwaza Wilayani Kibaha-Mkoa wa Pwani, kilomita 15.5 kutoka barabara kuu ya Morogoro kwa kutokea katika Mzani wa Vigwaza na kilomita 105.5 kutoka Bandari...
Wakuu,
Katika pitapita zangu mtandaoni, nimepitia tovuti ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) nimekutana na takwimu hizi za wahitimu wa vyuo nchini kwa mwaka 2024 ambapo fani za Biashara, Elimu...
Huduma hii ya mobile banking inayotolewa kwa ushirikiano baina kampuni hizi mbili kwa kiasi fulani imegeuka kero na zaidi ni huduma inayogharimu hela za wateja bila kujali mteja amepata huduma...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la Viwanda vingi huku kwetu maeneo ya Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Taarifa ambazo sio rasmi inadaiwa kuwa mpaka sasa kuna jumla ya viwanda 57...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.