Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

"Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011, jina litakuja: Chaelmi Majuu. Simu yangu ya kawaida inadaiwa." Ukipokea meseji zenye ujumbe kama huo, usikasirike, usimtukane...
14 Reactions
61 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Mlimba 2015-2020 kupitia Chadema, Susan Kiwanga ambaye sasa ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) amechukua fomu kuomba ridhaa ya chama chake kipya kuwania...
0 Reactions
4 Replies
389 Views
1. Kinondoni - Ushoga,Ushoga,Ushoga Umalaya na Madawa ya kulevya, uhalifu 2. Magomeni na Mwananyamala - ushoga, umalaya na madawa, uhalifu 3. Ilala - ushoga , madawa, umalaya,uhalifu 4. Sinza -...
9 Reactions
58 Replies
8K Views
Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee...
4 Reactions
108 Replies
27K Views
Katika maisha ya ibada, mahubiri na mafundisho ni nguzo kuu za kukuza imani na kuwaelekeza waumini jinsi wanavyopaswa kuishi au kuenenda. Hata hivyo, muziki wa kwaya hutoa ladha ya kipekee...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari Tanzania ! Naomba kuweka mawazo mseto kwa maendeleo ya nchi yetu. Naomba paanzishwe " Vijana Village Funds" huu uwe mfuko wa ukopeshwaji kwa vijana kwenda kuishi Vijijini na kuhakikisha...
3 Reactions
25 Replies
879 Views
Mliongalia mshahara je serikali imeongeza chochote kitu? Au ndiyo yale yale ya kutufanya Sie ni watoto wadogo?
0 Reactions
2 Replies
290 Views
1. Kama mnataka kutoa service wapeni wateja wenu taarifa. Pension/salary advance/nisogeze loan /jihudumie hakuna..is now ON/OFF. Kuweni na msimamo, consistency, kama haipo mwezi fulani waambie...
0 Reactions
4 Replies
310 Views
Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake ameshamchorea Ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!. Kumbuka Jay Z katoka familia za kimasikini...
15 Reactions
70 Replies
3K Views
Watu wawili kati ya watatu walisema wamekutana mara kwa mara na maneno ya chuki, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ipsos kati ya Agosti 2022 na Septemba 2023. Utafiti huo ulihusisha jumla ya...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Habari wanajf Kuna rafiki yangu ni mwajiliwa mahari flani , anamuda mwingi wa ziada baada ya kazi, anataka huo mda wa ziada ajifunze kozi nzuri online ambayo ipo sokoni Ili imsaidie kupata pesa...
0 Reactions
1 Replies
237 Views
DAR ES SALAAM: Yas Tanzania has stepped up as one of the key sponsors of Ndondo Cup 2025, signaling a new era where sports and technology intersect to drive positive social change. This...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Miamba ardhini inatekenyana na kusuguana friction na kutokwa na jasho. Sasa hilo jasho ndio maji.
10 Reactions
19 Replies
662 Views
Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Ahmed Said ametoa rai kwa watumishi wa umma kubadilisha mtazamo kuhusu maisha, akisisitiza kuwa kazi, elimu na ndoa ni...
0 Reactions
3 Replies
502 Views
You can have extraordinary power of concentration, strong will and a perfectly healthy and strong body by practicing pranayama. When you advance in your concentration and practice you can cure...
1 Reactions
2 Replies
889 Views
Kwa wale wataalam naomba msaada. Nina gari yangu aina ya mitsubishi RVR ambayo nimeipark kwa muda mrefu kutokana na matatizo yake ya gear box. Kuna mtu alishawahi kunidokeza kuwa inawezekana...
1 Reactions
46 Replies
10K Views
Inashangaza na inasikitisha kuona kijana ana miaka karibia 35 na hajawahi miliki hata gari la million nne, ukweli ni kwamba kwa dunia tuliyopo usafiri binafsi hauepukiki. Sijamaanisha ununue gari...
48 Reactions
358 Replies
15K Views
Habari tena! Leo kijiweni mzee mjuaji sana (Kamugisha) alikuja na jibu baada ya kuulizwa jana kuwa kwanini hawajawahi kusikia Mzee yeyote anaitwa KELVIN. SABABU! Baada ya mzee kufikiria akaja na...
11 Reactions
31 Replies
2K Views
Watendaji wa Uchaguzi Mkuu wametakiwa kuitumia ipasavyo elimu waliyoipata katika mafunzo ya siku tatu yaliyoandaliwa na Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi ikiwalenga waratibu wa uchaguzi, wasimamizi...
0 Reactions
1 Replies
223 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amesema Taifa linahitaji Bunge lenye wabunge makini, mahiri na wenye uelewa wa kina wa masuala ya kikatiba, ili kuhakikisha...
0 Reactions
1 Replies
250 Views
Back
Top Bottom