Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama uso ulivyo.. Naomba kujua rate kwa ngazi hizi. C......... D...... E...... F........ G....... H....... I........ Ikumbukwe hizi ni per diem wale wahusika watajua. Kama huhusiki huwezi...
0 Reactions
7 Replies
599 Views
Sio Mimi ni Bibilia. 1 Timotheo 2:1-2 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, Kwa heshima na taadhima, tunapenda kutoa maoni yetu kuhusu baadhi ya maeneo muhimu katika hotuba na maamuzi yako kuhusiana na elimu ya juu—hasa...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Wakuu, especially waajiriwa wa serikali. Hivi na nyie ofisini kwenu pakavu kama kwetu au ofisi yetu ndio imekua mfano? Maana kusema kweli 2023 na 2024 hii miaka imekua migumu sana. Posho...
28 Reactions
173 Replies
9K Views
Sikuhizi wazazi wamekuwa wavivu sana katika uangalizi wa watoto wao. Wazazi wanawaacha watoto wao wadogo wanavuka barabara kuu (high way) pekee yao wakati wa kwenda shule. Right Marker Dar es salaam
2 Reactions
2 Replies
267 Views
Wasaalam wapendwa viongozi wa wafanyabiashara ndogondogo makundi yote. Narejea vikao vyetu na viongozi wenu kuhusu ajenda zinazohusu maendeleo ya biashara zenu kuwa: leo Tarehe 22 Julai, 2025 saa...
27 Reactions
96 Replies
3K Views
Watumishi kuwa na finance literacy ni muhimu ili kutoboa maisha haya, wewe ameajiriwa take home ni 1.5m unamiliki gari IST, unapanga apartment ya 250,000 per month, unaenda bar kila Jumamosi na...
48 Reactions
265 Replies
16K Views
‎Mwaka 2023 kuna jamaa angu aliajiriwa alikua analipwa 600k kwa mwezi, ili mishahara yake haijawahi kukutana, kila mwezi alikua anaanza na zero. Na hapo alikuwa hana mke wala mtoto. Tuongee...
2 Reactions
19 Replies
852 Views
Ni saa mbili na madakika, salaam ndugu wanajukwaa! Uswahilini kuna mengi! Kuna kupigana juju, umbea, majungu, na mengine mengi. Kuna shida moja ambayo huwapata wakazi wa uswahilini, na hii...
0 Reactions
6 Replies
479 Views
Kuna mambo hata siyo ya kwenda kwa mganga wa kutafuta mashaikh na wachungaji ni wewe kujua kwa nini umepoteza wateja. Hii tabia ya kujifanya unamuelekeza nenda kwa fulani basi wateja wakiona...
2 Reactions
1 Replies
263 Views
Wakuu, Mwanamke mmoja nchini Malaysia ameibua hisia kali baada ya hadithi yake kusambaa mitandaoni, ikionesha alivyomhudumia mume wake kwa miaka sita baada ya kupata ajali ya gari...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Nitasema matukio machache yasiyo ya kiweledi ninayoyashuhudia kwenye runinga mubashara. Jumatatu alikuza picha ya wadada walioonekana wamesuka dreads na aliwekeza muda mwingi kuwamulika. Kwa...
7 Reactions
10 Replies
643 Views
Matendo ya Mitume 9 Walilisikia sauti Hawakuona mtu yeyote Aliambiwa Paulo aende Damasko Matendo ya Mitume 22 Hawakusikia sauti Waliuona mwanga Aliambiwa Paulo aende Damasko Matendo ya...
0 Reactions
3 Replies
296 Views
Habari zenyu wana JF Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija...
13 Reactions
70 Replies
3K Views
Katika Mathayo 24:36, neno la Kigiriki "μόνος" lina maana ya peke yake, lakini Wakristo wamelitafsiri kama "Only" mstari unasema hivi: “Lakini kuhusu siku ile na saa ile, hakuna ajuaye, wala...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Kuna Rafiki yangu ana owa kesho. Ametoa Kadi za Mualiko. Sasa Kuna Baadhi ya Rafiki Zetu wanasema angetoa hata kadi za mchango. Naomba ufafanuzi wenu kwani kutoa Kadi za Mualiko au Kuto kuomba...
3 Reactions
6 Replies
311 Views
Katika vitu ambavyo mpaka leo nimejikuta watu wakinionesha wazi hata kabla kuoneshwa kuwa ni adui zangu uwa na ziona wazi wazi hata kabla kuoneshwa wazi.Ijalishi sehemu gani yani na waona wazi...
2 Reactions
7 Replies
340 Views
Katika nchi yetu Viongozi wamekuwa wakianzisha miradi ya kujikwamua kimaendeleo kama taifa lakini je kwanini hiyo miradi hatuoni ufanisi wake badala yake baada ya muda Fulani miradi hiyo inakufa...
0 Reactions
6 Replies
370 Views
Serikali imesema kuwa, mafunzo ya uimarishaji mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Burundi yanalenga kujenga uelewa wa pamoja kati ya wataalamu wa nchi hizo mbili. Hayo yamebainishwa leo tarehe...
0 Reactions
2 Replies
309 Views
Hospitali ya (w) Mpwapwa ni moja ya hospitali ya umma yenye duka lake la dawa. Cha kushangaza zaidi unakuta kwenye dirisha la dawa la hospitali hakuna dawa ila kwenye duka la dawa la hospitalini...
1 Reactions
1 Replies
255 Views
Back
Top Bottom