Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Miamba ardhini inatekenyana na kusuguana friction na kutokwa na jasho. Sasa hilo jasho ndio maji.
Kwamba yenyewe ikihenyeka kwa kusuguana inatoa jasho ambalo ndio maji? Sasa yenyewe inakunywa wapi maji maana kama inatoa jasho miaka yote itaishiwa maji 😆Miamba ardhini inasuguana friction na kutokwa na jasho. Sasa hilo jasho ndio maji.
Hakika tafiti hazipingwi..Miamba ardhini inatekenyana na kusuguana friction na kutokwa na jasho. Sasa hilo jasho ndio maji.
Yale maji ya bahari ndio hayo maji ya maziwa mito fresh water Kwa ujumla. Kwasababu hadi yafike ziwani au mitoni yanapitia filtreshen ya hatarii hadi yanakuwa fresh Chini kwa chini tens of thousands of kilometres. Halafu tena tunaona yanarudi baharini. Kama ziwa victoria linarudigi baharini kupitia Nile. It's a cycle.Huu ni utafiti wako au umecopy sehemu?
Hujaweka link ya ulipocopy mkuu nasi tukajigunze mengi.
Kama ni utafiti wako umefanyia kwenye miamba ipi nasi tukajionee namna jasho la miamba linavogeuka maji.
Maswali:
1.kama maji yanatokana na miamba sasa maji ya bahari yanapungui wala kuongezeka na ingali miamba bado ipo na itakuwa bado inatoa jasho?
2.mvua inatokaje juu nawakati umesema maji hutokana na jasho la miamba ya aridhini?
Inatoa maji ya chumvi, ndio zinapatikana bahari.Imagine ikizagamuana..
Binadamu tukifa tunageuka mafuta na madini. Na hi process si ya kitoto maamae inachukua billions of years. Haya madini na mafuta na gesi salsa hivi ni ya watu waliokufa billions of years ago. Na Sisi sasa hivi tukifa process ya kuwa mafuta na madini itakuwa billions of years after. Ila tafiti zinaonesha jua limebakiza 5 billion kuexist.Hakika tafiti hazipingwi..
Na ukute Binadamu tukifa ndo tunageuka hiyo miamba..
Mhm😂😂😂Miamba ardhini inatekenyana na kusuguana friction na kutokwa na jasho. Sasa hilo jasho ndio maji.
Sasa mtu unajiita BUSU LA KENGE unafikiri utaanzisha mada gani..??Miamba ardhini inatekenyana na kusuguana friction na kutokwa na jasho. Sasa hilo jasho ndio maji.
Bangi ya ngapi unavuta mkuu?Miamba ardhini inatekenyana na kusuguana friction na kutokwa na jasho. Sasa hilo jasho ndio maji.
Hahahahahah.....Imagine ikizagamuana..
Huyo sio bhange ni akili yake imesuguana!Bangi ya ngapi unavuta mkuu?