HAMJAMBO WADAU
Leo ni siku ya furaha duniani je wewe unaiazimishaje siku ya leo.
Je ulishawahi kupata furaha maisha mwako? je unayo furaha hata kama ukipitaka hali ngumu.
Je unafurahia kila jambo...
Miongoni mwa mambo machache mazuri ambayo yaliwahi kufanywa na Magufuli basi kumteua Salvatory Mabeyo kuwa CDF.
Hapana shaka utumishi wake jeshini na Taifa ni wa kutukuka. Moja ya jambo kubwa...
Hivi sasa ni saa 4 usiku na madakika! Salamu kwenu wanajukwaa!
Katika jamii tunazoishi tunashirikiana na watu wengi sana, kila siku inapoanza maisha yetu yanahusisha kukutana na watu mbalimbali...
Utajiri una mambo mengi magumu na mwisho wa siku unakuja kuangukia pua au kupoteza watu wako wa muhimu.
Ukienda kwa mganga usimwabie nataka utajiri ila mwambie nataka mambo yangu yaende kila...
Wakuu embu tujuzeni ulipitiaje kipindi ukiwa huna hela maisha yamekupiga total knock out and huna kula kulala ya uhakika?
Mie nimejaribu mishe za udalali ila hailipi kabisaa na ni majanga bin...
Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba...
Mzazi anakopa kwenye vikoba au taasisi ndogo bila kuwashirikisha watoto wake, na anaposhindwa kulipa, mzigo wote wa deni unahamishiwa kwa watoto.
Hili kwangu mimi ni kutojitambua na kutojitambua...
Wakuu
====
Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa...
Je umekua ukisumbuka kutafuta Namba yako ya Nida kupitia simu yako? Leo nimekuletea Habari njema sana Kuna darassa jepesi sana la kuweza kupata Namba yako ya Nida kupitia simu kwa urahisi sana...
Tunaendelea na mada yetu ya utekelezwaji wa miradi mbalimbali mikoani.
Baada ya Kigoma,Leo nakuletea List ya miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Rais Samia Mkoani Mbeya.๐๐๐...
Leo katika pitapita zangu humu nakutana na mada mbalimbali zinazohusu mambo ya kiroho ..mambo ya majini, n.k, lakini kwa namna ya ajabu mada hizo ama stori hizo mtu anayesimulia ambazo husema ni...
Wakuu hili ni swali kwa wahusika au kama kuna mdau hapa mwenye ufahamu asaidie ufafanuzi.
Nina jamaa yangu hapa ana tiketi ya safari ila alitaka kubadilisha tarehe ya safari ili asafiri siku za...
KUULIZA KWELI SIO UJINGA AISEE
JANA NILIKUTANA NA MATE MMOJA AKATAKA KUNIPA MAMBO YA KUWEKEZA
NKAONA NIULIZIE HUKU JAMAA WANAITWA LSSC
BAADA YA KUPATA MAJIBU HUKU NILIJIONGEZA KWA JAMAA MMOJA...
Hivi ili uwe muandishi wa habari, mtangazaji au mhariri unapaswa kupitia hatua zipi??
Wiki iliyopita king'amuzi chetu cha Azam kiliisha. Nikawasha redio kuisikiliza mechi ya Simba na Singida...
Uislamu unatofautisha kati ya maandiko ya asili yaliyo teremshwa kwa Mitume (Taurati kwa Musa na Injili kwa Isa) na maandiko yaliyobadilishwa au kuchanganywa baadaye na wanadamu. Hii ni sababu...
Mwaka 2015, stori kubwa huko Columbia ilikuwa ni mkulima asie na makuu alie gundua kiasi cha pesa dola za kimarekani milioni 600 zikiwa zimefukiwa katika shamba analo miliki.
Inadaiwa kuwa hizo...
Uingereza
India
USA
Russia
Ndege ya abiria ya Urusi iliyokuwa na watu takriban 50 imeanguka eneo la Amur, mashariki mwa nchi hiyo, huku watu wote waliokuwa ndani wakidhaniwa kupoteza maisha...