Sababu mtu anakukamata kosa lako abiria hajavaa helmet na abiria yeye kaishika mkononi halaf traffic anakuandikia fine inaumiza sana, kama mtu ni boda atanielewa hela yote ya marejesho ya mkopo...
Januari 2023 Mfanyabiashara Gautam Adani ambaye ni mmiliki wa Kampuni za ADAN GROUP alijikuta akiondolewa katika orodha ya Matajiri wakubwa duniani baada ya thamani ya utajiri wake kushuka kwa...
Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa.
Hivi sasa kuna elimu ya kujitoa muhanga elimu hii ipo kwenye dini maarufu...
Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Kakonko mapema wiki hii imeendesha mafunzo ya ki-uhamiaji kwa wanafunzi wa Jeshi la Akiba katika Kata ya Kasanda iliyopo Wilaya ya Kakonko Mkoa wa Kigoma kupitia...
WAJUE MAFISADI NA UOZO WALIOFANYA
FAHAMU UKWELI WA NCHI YAKO KWA MANUFAA YAKO, TAIFA NA JAMII YAKO!!..
Huyu muiran anataka kutwambia nini:
Check haya madudu yanayofanyika.
(1)...
Au wamechanganyikiwa kumbe ndonimeanza kuamini kuwa sio Kila kilichopo mitandaoni cha kuamini nahisi hizi figure Wali wrong. Haiwezekani nyumba tu iwe bei mara tano ya utajiri wa Elon Musk. Hivi...
Kuna video nimeiona hivi karibuni ikizungumzia utofauti wa deni la Marekani na deni la nchi zinazoendelea. Ambapo Deni la Marekani linaweza kuonekana kuwa ni kubwa hata hivyo deni hilohaliinyongi...
SHULE KUMI GHALI ZAIDI TANZANIA.
1- International School of Tanganyika (IST)
— Hii ndio shule ghali zaidi nchini. Iko jijini Dar Es Salaam na hufuata Mtaala wa IB. IST hutoza ada kuanzia shilingi...
Leo nimekuta vibanda vyote huko stendi ya daladala Kawe kwa Mwamposa vilibomolewa. Baada ya vilio vya muda mrefu vya wakazi na wapanda daladala, serikali inaanza kuchukua hatua za kuboresha...
Hivi juzi nilipokea simu kutoka kwa ndugu huko mkoani. Akisema amepata kibarua mkoa nilipo hivyo anaomba aje akae kwangu.
Nilimkaribisha lakini nikamwambia mimi naishi kibachela nyumbani sipiki...
Rais Samia Suluhu Hassan, amejenga viwanda vipya zaidi ya 700 ikiwemo GGR kinachosafisha kilogram 440 za dhahabu kwa siku ajira mpya zaidi ya 14,000 zimezalishwa ndani ya miaka 4 ya uongozi wake...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ziara kituo cha mwendokasi Kimara na kukuta changamoto ya uendeshwaji mbovu wa huduma, ikiwa idadi ya mabasi yanayofanya kazi ni 60 kati ya mabasi 200...
Asee najifunza mengi na ninapenda kujifunza sana. Kumbe haya matangazo ya moja kwa moja ambapo mkuu wa nchi anahutubia na yanapeperushwa kwenye runinga mubashara kumbe yanachujwa kwa ukaribu...
Ni hoja niliyojiuliza, kwamba watu hawatakiwi kuabudu hata sehemu zingine, walau hata kukodi ukumbi ili kujifunza Neno la Mungu bila kwenda maeneo waliyozungushia utepe, kwa hiyo ile haki yao ya...
Inawezekana huwa unajiuliza ni zipi shule ghali zaidi Afrika kwa kipindi kirefu sasa,Hizi hapa shule kumi ghali zaidi katika ukanda wetu wa Afrika pamoja na Ada zake;
10. American international...
Wakuu,
Nadhani saivi ningekuwa na mjengo wangu wa maana huku Mbezi Beach, pamoja na ndinga kaliiiiiii.
Jamani, hakuna taasisi/shirika la kiserikali linakera kama DAWASA Wizara ya Maji na...
Sitaweka vifungu vya biblia lakini kwa atakayetaka apewe na vifungu wapi imeandikwa Tutampa.
Mada ni Taifa la Mungu Israel na Taifa la Mungu Tanzania.
Ushindani kati ya nguvu ya Uchawi (giza) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.