Shughuli za magendo na zisizotozwa kodi sasa zinachangia asilimia 11.8 ya Pato la Taifa Duniani (GDP), ikiwa ni punguzo kutoka asilimia 17.7 mwaka 2000, lakini bado zinawakilisha thamani ya...
Kwa umri huo hata matangazo MENGI ya ajira serikalini yanataka umri wa chini ya hapo.
Una umri mfupi tu wa kufanya kazi baada ya hapo utastaafu ukiwa na Mafao kiduchu.
Kama huna uzoefu wa...
Mwili wa aliyekuwa Mwanachuo wa chuo cha Sokoine University of Agriculture (SUA) Magreth aliye hitimu mwaka huu mwezi wa 11 tarehe 26 waokotwa katika mashamba ya chuo hicho.
Magreth alipotea...
Jambo Tanzania.
Kwanza kabisa niseme hivi natamani kuishi miaka mingi nione watoto wa watoto wa mtoto wangu pia natamani kuona teknolojia itatufikisha wapi miaka 50 ijayo ila kikubwa ni kuwa...
Kumbe watu wameongezewa mshahara na hamsemi.
CWT friji lao haligandishi, tayari washawekewa pesa kama walivyohaidiwa.
Watumishi wengine vipi na nyie hamjatoa shukrani?
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya Alptekin Zeynelabidin Aksoy, mwenye umri wa miaka 52, ambaye ni raia wa Tanzania mwenye asili ya Uturuki, aliyeuawa...
Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro, Magreth Mashuwe aliyeuawa na watu wasiojulikana...
Mke alikuwa na maumivu usawa wa tumbo pembe tangu akiwa mjamzito, baadae akajifungua mtoto anamwaka na miez4
Baada yakujifungua Hadi Sasa mtoto ana 1.4yrs Hali ya maumivu mkalii usawa wa pembeni...
SAFARI YA AKILI HURU: Mwaliko wa Kufikiri kwa Uhuru
Na: Mwandishi Wako
"Ndugu yangu, jiulize tu swali dogo: kwa nini unaishi? Sio kwa nini unakula, kulala na kufanya kazi. Hapana. Nauliza, kwa...
Habari Tanzania !
Nauliza swali. Hivi hawa Raia wanaojihusisha na hizi kazi mbona wanatoza ushuru binafsi pasipo mamlaka husika kujua, je hii ni sawa kwa maendeleo ya nchi?
Karibu
Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee...
Ndio hivyo tena mwanaume utajitetea na kujipigania mwenyewe.
Mara moja ilikuwa ni jambo lisilo la kawaida, wanawake kufanya kazi kama wahudumu wa mabasi ya masafa marefu nchini Tanzania, lakini...
Nikiwa Rais wa Tanzania kutakua na mpango wa kuzalisha dawa hapa Tanzania, je wajua njia za kutengeneza dawa???
Zifuatazo ni njia za kutengeneza dawa
Kama nchi tutategeneze library kubwa...
Shalom wapendwa,
Hizi salamu za wasukuma nimeamua kuzifyekelea mbali baada ya kuokoka, kila siku nina enjoy na salamu mpya ambayo ni SHALOM ikiwa na maana ya AMANI IWE KWENU/KWAKO naipenda sana...
Kule marekani huwa wanaitwa donors, mtu anajiandikisha kwenye orodha maalum ambapo anatoa ridhaa yake mwenyewe kwamba pindi atakapofariki basi immediately viungo vya mwili wake kama ini, moyo...
Je, mdau unadhani wako sahihi kuomba radhi kwa jambo la mteja?
The Cask Bar and Grill wameomba radhi baada ya kuona video ya wateja wao wakiwa wametumia banner ya the Cask kuweka ujumbe...
Wenye uelewa watujuze hii kitu,inafanywaje?,mazingira gani mazuri kwa biashara hii?, vyumba vya aina hufaa kwa biashara hii?je banda zuri la manyasi linafaa kwa biashara hii?vibali vyake...
Njoo na hoja yenye mashiko. Majina yao ni Simon Peter, Andrew, James (son of Zebedee), John, Philip, Bartholomew, Thomas, Matthew, James (son of Alphaeus)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.