Niulize chochote kuhusu Bukoba

Niulize chochote kuhusu Bukoba

Kuna fursa zipi za kiuchumi kwenye huo mji ?
Kitu kikubwa nilichoona nguo na viatu vinalipa bei ni zile zile za dar wengi wanafuata Kampala kwa bei chee akienda asubuhi jioni karudi wanatumia fedha kidogo
2Biashara ya viungo vya pilau na vitunguu vinalipa ni wachache wanauza
3Mchele unauzika sana usio kuwa na mawe una bei kubwa kilo 2000 mpaka 2200
4Vifaa vya ujenzi pia vinasoko kubwa sana..
 
Ni kweli kwa baadhi ya guest za viwango vya kawaida hii inatokana na ulaji wa ndizi sana mkungu elfu 4
Eti ni kweli guest house za huko magodoro wanashonea kava za mipira ili kuepusha godoro lisilowe kwa sababu wanawake wa huko wamevunja koki?
 
Kitu kikubwa nilichoona nguo na viatu vinalipa bei ni zile zile za dar wengi wanafuata Kampala kwa bei chee akienda asubuhi jioni karudi wanatumia fedha kidogo
2Biashara ya viungo vya pilau na vitunguu vinalipa ni wachache wanauza
3Mchele unauzika sana usio kuwa na mawe una bei kubwa kilo 2000 mpaka 2200
4Vifaa vya ujenzi pia vinasoko kubwa sana..
Vipi ubora wa hizo bidhaa kutoka Kampala. Zinafanana na zile kutoka Dsm ?
 
Ndio zile zile sema Kampala ni nafuu zaidi kwenye nguo na viatu na bidhaa nyingi za hapa Bukoba zinatoka ug yakiwemo mafuta ya kula
 
Back
Top Bottom