Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku za hivi karibuni kumekua na haya magari mengi sana yenye namba za kufanana, mwanzo nikajua ni viongozi wa serikali ila sasa hivi ni kama mtindo, hata watu wa kawaida wanaweka tu. Tazama...
3 Reactions
16 Replies
937 Views
Anonymous
Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es...
1 Reactions
0 Replies
216 Views
Ni ndoto ya mchana wa leo Nikawa kwenye sehemu kama chumba hivi nimesimama wima. Yule mwanamke alikuwa wa wastani, sio binti mdogo wala mtu mzima, ni mdada. Alikuwa ni mwenye maziwa makubwa...
3 Reactions
20 Replies
862 Views
LATRA tafadhali haya Mabasi ambayo hayana Choo ndani, yasisafiri usiku. Bus lina abiria 60.. kati ya hao abiria 60 kuna wenye magonjwa mbalimbali. Kusafiri umbali wa masaaa 12-18 usiku bila...
20 Reactions
68 Replies
3K Views
Tokea magufuli amekufa tulisikia hiki kibwagizo kwamba CHADEMA ishakufa. Hadi sasa enzi za malkia kibwagizo ni kilekile kwamba Tanzania hakuna upinzani wa CHADEMA okay Nice nakubali. Sasa kwa...
4 Reactions
10 Replies
478 Views
Mkoa wa mbeya,inatakiwa ugawanywe kipolisi ,idara ya usalama barabarani. Ni mkoa hatari kwa maisha ya binadamu, kupitia ajali za barabarani. Mteremko wa Nzovwe jijini Mbeya umeendelea kugharimu...
0 Reactions
12 Replies
726 Views
Abby na Brittany ni mapacha walio ungana wana miaka 34. Wakati wanasoma chuo walikuwa wanalipa Ada (college fees) kila mtu yake. Baada ya kupata ajira wanapokea mshahara wa mtu mmoja. Abby na...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Kwa hiyo mmeamua kutuondolea wale wanaoongea wakaeleweka mmetuletea Watu wa "Nchi za Ilan na Ilaki" kweli hilo ndilo ninyi mnalofurahia? Kwamba Mwenye diploma hata kama hana uwezo wa kuongea au...
2 Reactions
7 Replies
469 Views
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (RC), Nurdin Babu ameitaka jamii kuendelea kuchukua tahadhari kwa kuacha ngono zisizo salama na kutumia kinga ili kuepuka na au kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya...
2 Reactions
3 Replies
400 Views
Ukweli ni mchungu lakini acha niuseme mwenye HEKIMA atajifunza jambo. Mwanaume aliye na malengo lazima ajue kabla ya kukosea njia sahihi ya kuoa Huna haja ya kulala na mchawi ili umsaidie Kuwa...
16 Reactions
77 Replies
3K Views
Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio watafuta unabii kanisani achaneni na makanisa ya manabii tafuteni ya waabuduo tu Kutwa kuongelea dunia na mambo ya dunia tu Waumini hameni hiyo mikanisa ya...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Waumini wa kanisa la Gwajima ni watanzania wenzetu ambao wametekwa kiimani. Wanahitaji kukombolewa kutoka kwenye kadhia hii. Waumini hawa wanatumiwa kama vitega uchumi na ngao ya binadamu dhidi...
1 Reactions
5 Replies
368 Views
Mimi ni mlozi, tena ni mlozi mzuritu. Nimepata wazo nyumba yangu niigeuza mahakama ya asili (kimila au kichawi) Yaani niweke bango barazani niandike kalibu mahakama ya asili. Majukumu yake...
1 Reactions
7 Replies
366 Views
Wakuu ===== Ajali zimekuwa nyingi Kila siku tunaamka na ajali tunakwama wapy? Je, ajali za barabarani nchini Tanzania zinaendelea kutokea kwa sababu hatujui nini cha kufanya, au kwa sababu...
0 Reactions
12 Replies
777 Views
Mimi sio mjuzi wakuandika uzi JF hii ndo mara yangu ya kwanza na inaweza kuwa ya mwisho kama kuna makosa jitahidini kuelewa. Niende moja kwa moja kwenye mada, nahisi leo inaweza kuwa siku yangu...
21 Reactions
161 Replies
6K Views
Leo nimefungulia ile redio ambayo jina lake linafanana na sabuni, nikitaka kusikiliza habari za magazetini. Kiukweli nimeenjoy sana, kelele zile za Nipasheee🗣️🗣️🗣️ mwanga wa jamiii🗣️🗣️...
38 Reactions
132 Replies
5K Views
Julai 24, 2025, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda, alitoa wito kwa wafanyabiashara wa mitandaoni ambao hawajajisajili na TRA kujisajili mara moja ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Wakati nasoma historia ya ukoo wetu kuanzia mwaka 1890s mpaka 2025. Nimepata mambo yafuatayo Kila MTU aliyejaribu kuvuta Bangi alichanganikiwa na kupoteza mwelekeo. Hii ni historia ambayo...
17 Reactions
37 Replies
2K Views
Anonymous
Kituo cha Mafuta cha Oasis kilichopo Mwenge kimegeuka Kituo cha Daladala na Bajaj kiasi cha kuhatarisha maisha na kuwa kero kwa watumiaji sahihi wa kituo hicho. Mamlaka husika shughulikieni hili...
1 Reactions
3 Replies
473 Views
Ni Kwa mujibu wa Mwalimu Jeff Massawe muinjilisti wa Kisabato ambaye ameasi na kufutwa ushirika na sasa ameanzisha huduma yake maeneo ya Dawasco Bunju. Anadai asili ya fundisho husika ni...
3 Reactions
69 Replies
2K Views
Back
Top Bottom