Ndugu wa Jukwa mko poa.
Binafsi nimemisi kuona Raisi Wa JMT akisafiri kwenda mamtoni.
Sijui kwanini ameacha kusafiri
Lucas MWANSHAMBWA SIUKO IKULU
kuna shida gani kwani mbona anakaimisha tuu...
Kama mbwai na iwe mbwai . Imagine mtu nimepaki mkoko kwenye parking lot ya fremu ya biashara niliyolipia mwenyewe kitaa, Tena ndani ndani afu mtu na reflector yake ya kijani inakuja kuscan chuma...
Kama ulikua hujui basi nakujuza Gharama ya Game mpya ya Grand thefts auto 6 yani GTA 6 ni zaidi ya Jengo la Burj khalifa lililopo falme za kiarabu.
Kampuni hiyo ya Rockstar Games imeweza kutumia...
Kuna watu wanaosema kwamba Mungu alishusha Torati, Zaburi na Injili lakini wanadamu wakavichezea na kuvipotosha vitabu hivyo. Kwa sababu hiyo ikabidi Mungu ashushe kitabu kingine baadaye, ili...
Habari za wakati huu ndugu zangu,
poleni na mapambano ya kila siku ya maisha. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 30 na Uzi huu utawafaa sana vijana wenzangu wa umri kama wangu au chini yangu.
Mnamo...
Katika mambo ambayo yanashangaza sana ni uwepo wa matofali yenye ubora mdogo sana huku mtaani ni aibu kubwa sana kwa nchi mamlaka ziko wapi
Mimi nilisoma umbwe miaka flani hivi ile shule imeanza...
Chuma ulete ni aina ya uchawi unaoaminika kutumiwa kuharibu mazao au kuiba mazao shambani kwa njia za kichawi. Katika tiba asili na mila za Kiafrika, kuna dawa na mbinu mbalimbali zinazotumika...
Kuna nchi nimeenda, wana madhehebu mengi sana ya Kikristo, na kila mtu katika nchi hiyo anajisikia vizuri sana kuitwa Mkristo. Kama huna habari, kuna faida nyingi madhehebu yanapokuwa mengi. Hizi...
Mfalme ameandaa sherehe kubwa ya arusi. Amewaalika watu wote bila upendeleo. Lakini ajabu, wote walioalikwa wamekataa mwaliko!
Huyu anasema: "Samahani, naenda kuzika." Yule anasema: "Lazima...
Wakuu sijawahi kula nikasema hiki chakula kitamu na kinazidi na chakula cha nyumbani.
Niseme ukweli chakula cha nyumbani kwetu hata kama kimepikwa na mama yangu mwenye umri wa miaka 74 bado huwa...
Huduma ya choo ni muhimu kibinadamu na hongera kwa kuweka vyoo pande zote mbil, shida inakuja mnavifunga kwa kusema vibovu. Sio sawa, kama vibovu vikarabatiwe na ili kuweka hali maridhawa chaji...
NASISITIZA, ITUNGWE SHERIA KUBEBA MIMBA BILA RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwanasheria wa Tibeli.
Andiko hili liwafae wale wapendao HAKI. Andiko hili...
Kiwanda cha magari hakigharimu fedha nyingi sana mfano ukiwa na tsh billion 300 unaweza fungua kiwanda cha magari kizuri cha kisasa navyosema ni ndogo ni pale navyo-compare na smelting na refining...
Wakuu, nimeamua kujiBabu Tale. Nimefikiria mbali sana kimaisha, ikanibidi nitafute wasanii chipukizi wanaopanua makoo yao kwenye viwanja vya mpira nyakati za jioni nikaona wacha niwasapoti...
Habari za mda huu
Mara nyingi watu huwa wanajiuliza ni kwa nini Mwalimu au watu wanajifunza Saikolojia ya Mtoto ? zipo sababu mbalimbali lakini zifuatazo ni sababu za msingi kabisa kwa nini...
Mamlaka ya chakula na dawa nchini marekani ilipitisha njia mbalimbali zaidi ya 20 za uzazi wa mpango. Njia mbili tu zimethibitishwa kwa wanaume kuweza kuzuia mimba kwa wapenzi wao nazo ni kondomu...
Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia.
Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa.
Miaka hamsini...
Mimi ni mpenzi wa makala ama documentaries, leo wakati naangalia documentaries za The New Detective, nikakutana na stori ya Mtanzania Peter Kupaza ambae alimbaka na kumkata kata vipande dada yake...
Habari wana JFs,
Nina rafiki angu wa miaka mingi ambae tumekua karibu kama ndugu ameniomba ushauri kama mtu wake wa karibu, lakini nimepata mtihani kidogo katika kumpa majibu kutokana na uzito wa...
Mwenzenu Makutupora nimekuja kutoa shukurani!
Mwenzangu, wanajukwaa wenzangu!
Najua imepita muda tangu nitume ombi langu la msaada, lakini ninachoamini ni hiki: Asiyeweza kuwa mwingi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.