Maisha yamekuwa corrupted, njia zimekuwa reshaped, yani kila hatua ya uthubutu na ueledi unachoambulia kufuga ndevu na mzunguko wa kifedha ambao ukipata tsh 10,000 muda sio mrefu unarudi kuwa tsh...
Habari za wakati huu kwa wote mliopo sasa hivi ndani ya jukwaa,,
Ninaomba kwa wenye maarifa na uelewa kuhusu vigezo na taratibu za kupata mikopo ya benki na taasisis mabalimbali anielekeze...
Tafadhali naomba usikilize radio yetu hapa kisha add kama favorite Jesus News Radio
Leo nataka nikupe kisa cha kweli cha rafiki yangu wa O-level. Mwamba huyu aliyetoka familia ya kawaida kabisa...
Ajira portal na serikali yetu mfumo wa ajira ni mgumu sana kuutumia, yaani upo kama roboti hakuna integration na una kinda of conservative mind imagine.
Kwa mfano
1. Mtu amesoma kuanzia Form 1...
Wadau hamjamboni nyote?
Lengo langu ni kuwakumbusha kusoma kwa umakini maandiko matakatifu kwa habari za majini na namna walivyomkiri Yesu Kristo
Kwamba s majini walimtambua na walikiri kwa...
Kwa nchi zetu za kiafrika ni ngumu sana kupigania jambo hasa la kimfumo,likachukuliwa na likawa na nguvu ya kufanyiwa kazi,nje ya vyombo vya kimaamuzi kama bunge la JMT,
Napita zangu!
Jumamosi asubuhi iliyokuwa na jua kali ilileta wimbi la matumaini kwa mamia ya wahitimu wa vyuo vikuu wa Tanzania, wanafunzi wa ufundi, na wataalamu vijana waliokusanyika katika maktaba...
Kuhusu wale wanaofahamu utapeli wa mtandaoni.
Mtu akikutumia text msg "Umepokea sh. Million saba kutoka kwa Biko" Piga namba hii ili uchukue hizo hela,
Hii ina maana gani. Ukipiga hiyo namba...
Wakati zaidi ya vijana 1,000 wakiwa wamepitia kwenye mafunzo yake, mwanasarakasi Mkenya Mathias Kavita alipokumbuka uhusiano wake wa miaka 41 na China uliostawi kwa muda mrefu na kuvuka mipaka ya...
Wahaya(haya) ni kabila lenye mshikamano mkubwa sana katika nyaja mbalimbali hasa kitaaluma
Niliwahi kushuhudia hili wanachangishana pesa kusaidia ndugu waende kusoma chuo nje ya nchi .
Just why...
Straight to the point.
When we were growing up, tulizoea kuona Yale ma mende makubwa makubwa flani ambayo in those times we thought they were originated from the lavatories.
Ila kwa sasa kuna...
Mwalimu Enock Peter (32) wa Shule ya Msingi Potwe wilayani Muheza mkoani Tanga, amedaiwa kujinyonga kwa kutumia shuka nyumbani kwake, wakati Kesi yake dhidi ya anayedaiwa kuwa Mpenzi wake ikiwa...
Hii tv kiukweli nawapa big up ubora wa picha wa tv yenu ni nzuri sana
Tbc wameshindwa kwa ubora wa picha channel ten pia wameshindwa
Hongereni sana tv 1 quality ya picha ni nzuri sana
Pia...
Siku ya sabato mwanzilishi ni mungu mwenyewe kulingana na maandiko, na inatambulika na ushahidi wa maandiko upo.
Dhehebu la usabato mwanzilishi ni Ellen G White halitambuliki na biblia na hakuna...
Dodoma marathon iliyounganika pamoja na festival ya kuchoma nyama, inaleta mabadiliko chanya sana kibiashara na kiuchumi kwa mkoa wa Dodoma,
Je hii hawezi kuzunguka na mikoa mingine?
Nimeona...
Mkurugenzi Mtendaji wa ChatGPT na OpenAI, Sam Altman, amefichua kuwa mazungumzo ya watumiaji na zana hii maarufu ya AI hayalindwi kisheria kwa asilimia mia moja na yanaweza kutumika kama ushahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.