Kijana raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 17, Dunia Tuhenya, amepigwa risasi na kuuawa siku ya Ijumaa jioni katika jiji la Newburg, jimbo la New York, Marekani, tukio lililozua huzuni kubwa...
Katika kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kikamilifu na wananchi wanapata huduma stahiki, Serikali imewataka watumishi wa umma kuhakikisha wanasimamia ipasavyo mapato ya ndani na...
Wakuu Salama..Mimi nimejikuta naenda umbali mrefu sana mara Kwa mara Hasa mijini na kazini Hadi wakati mwingine nawaza nami hata kuwa na ka Vitz ka cc 990 au ka IST au susuki swift..Kuna saa...
Imenishangaza mno!
Dada wa watu ambaye ni mhudumu wa Guest jirani na Kanisa amemwomba Mchungaji atoe ushuhuda ajabu wazee wa Kanisa wamekataa kata-kata!
Rais Samia ameongeza wanufaika wapya 100,000 wa mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) na ameongeza kiasi kipya cha TZS330bn kama msingi wa Dira2050.
Serikali Rais Samia ameendelea kuongeza bajeti ya...
Tatizo huwa ni nini hasa kwa wafuasi wa CDM kwamba ukiwauliza swali ili ujifunze unapewa matusi
Ukienda kinyume na maono yao unashambuliwa
NB mimi sio mfuasi wa chama chochote mimi ni mtu huru😅
Katika lugha ya Kiswahili na hata nyinginezo, ni kawaida kuanza majina ya watu binafsi au viumbe wa kipekee kwa herufi kubwa. Hii ni ishara ya heshima au utambulisho rasmi. Hata hivyo, linapokuja...
Mdada umeanzisha mahusiano huenda hata mzazi hakujui mwisho wa siku mkapigana mimba na mtu wako, iweje muanze kusumbua wazazi kuleta watoto wenu kijijini mkizaa huko bakini nae hukuhuku.
Mtoto...
Elon Musk is now officially worth $405.6 billion, projected to become the world’s first trillionaire by 2027.
Becoming the second wealthiest man in Africans history and worldwide.
He is original...
Hizi IQ tests zimefanywa kwa upendeleo tu na kuziwekea nchi za kizungu namba kubwa kwenye IQ tests ili tuzidi kuwaona ni superior, hii ndio tabia za hawa watu weupe.
Vipimo vya IQ vilivuofanywa...
Katika kuhakikisha usalama wa vifaa vya android kuendelea kuwa imara Samsung imeakuja na mfumo wa kuzuia wezi wa simu kuweza kufuta Akaunti ya Google na kuiuza simu kwa mafundi.
Ripoti mpya...
wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya
NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga...
Hello wanajf,
Mtandao wa Tiktok ni mtandao unaokuja kwa Kasi Sana.
Mtandao huu unatengeneza addiction Fulani ambayo inamfanya mtu asichoke kabisa kuutumia.
Nilichokiona mpaka sasa ni kwamba...
Kuna dini hapa nyumbani Tanzania ni wamesoma sana wapo wengi katika Kila sehemu nyeti ya nchi hii, sekta zote Kila Mahalia wao wapo zaidi ya 75% lakini wana IQ ndogo mno.
Wao ndo chanzo cha kila...
Macho yako ni kama kamera, akili yako ni kama sensa ambayo kazi yake ni kutafsiri picha, na hisia zako ni kama jiko au shamba ambalo hutengeneza picha au mbegu pasipo kutoa hukumu yoyote kwa...
1. Tarehe ya kulipa mshahara angalia msululu wa watu kwenye ATM. Urefu wa mstari kama robo kilomita urefu..... Unaona kabisa kuwa hawa hata mia moja mfukoni hana , hawezi kusubiri kesho au...
Watu wanaoomba kazi kwa sasa ni wengi mno ila bado waajiri wana changamoto ya kupata wafanyakazi watakaoenda sawa na maono ya kampuni zao. Ni ngumu kupata kijana mchapakazi, mwaminifu na makini...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Tanzania inauhitaji mkubwa wa nyumba kutokana na kasi ya ukuaji wa miji nchini ambapo inakadiriwa kuwa na mahitaji ya nyumba 26,840,909 ifikapo 2050 ili kukidhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.