Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Hapa simaanishi kuwa wale wanaofanikiwa kupata elimu nje ya nchi wapewe Upendeleo. Nachomaanisha ni kuwa kwa vijana wanaofanikiwa kujiendeleza kielimu nje ya nchi hasa katika nchi...
3 Reactions
11 Replies
547 Views
Ni jambo la kusikitisha sana kuona jinsi Manispaa ya Kibaha inavyowakandamiza Wajasiriamali wadogo, akina mama ntilie, wauza nyanya, matunda, vitunguu, na bidhaa nyingine ndogondogo, wanaopanga...
0 Reactions
4 Replies
435 Views
Wanabodi. Kuna wizi wa pesa unafanywa na Vodacom kupitia huduma yao ya MPESA. Ukiwa unanunua LUKU, hela kwenye account yako inakatwa lakini TOKEN ya LUKU hupati. Ukijaribu kuwapigia "Customer...
0 Reactions
9 Replies
555 Views
Kuna hizi video zina trend Sana mitandaoni zimetengenzwa kwa AI me sio mtalaam Sana wa mambo ya computer ila Niko interested kujua hizi Sura za watu ni kwamba kweli ni Sura za watu zipo kiuhalisia...
3 Reactions
8 Replies
546 Views
Tanzania imeshika namba 5 Kwa Utalii Afrika mwaka 2024 kutoka namba 7 mwaka 2023. Mafanikio haya yametokana na juhudi za Serikali ya Samia kutangaza Utalii Kwa njia mbalimbali lakini njia...
2 Reactions
37 Replies
971 Views
Sera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi. Lengo la watalii Milioni 5 liliwekwa lifikiwe mwaka 2025...
3 Reactions
103 Replies
3K Views
Kipigo cha Wazaliwa wa Kwanza Kilichotokea Misri Je umewahi kutafakari kwa nini mapigo yote 9 aliyopigwa Farao bado moyo wake ulikuwa mgumu? Na kwa nini lile pigo la 10 la kufa wazaliwa wa kwanza...
0 Reactions
2 Replies
535 Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Jukwaa la Nne la Biashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (ACTIF) linapaswa kuja na majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji zinazoyakabili...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Albert Chalamila ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kuwaelimisha wajasiriamali wa mtandaoni kuhusu fursa zilizopo na namna wanavyoweza kushirikiana na...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Katika biblia, kuna habari ya wana Israel chini ya Musa waliokuwa wanaomba ruhusa kwa FARAO, ili waende nchi ya ahadi. FARAO alikataa pamoja na kupewa mapigo kadhaa lakini hakutoa ruhusa. ndipo...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Kichwa cha habari kinajotosheleza. Inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?
0 Reactions
11 Replies
547 Views
Salaam, Shalom! Tumia Damu ya Yesu illiyomwagika msalabani kufungua Kila kifungo Maishani, kijamii, kisiasa, kiuchumi ,kiimani nk nk. Damu ya Yesu ni funguo,/ Key, funguo hii ni Katika kweli na...
8 Reactions
55 Replies
2K Views
Rejea Kitabu cha Tobit. Huwezi zuia mahusiano baina ya Majini na na Wanadamu kwani ni viumbe wa Mwenyezi Mungu "Baada ya kula, wazazi wa Sara walimwongoza kijana Tobia...
-1 Reactions
4 Replies
387 Views
Nasikia raisi wa wadudu kafyekwa ( kachinjiwa mbali ) je ni kweli?
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo...
14 Reactions
117 Replies
4K Views
guest-1788672427
Hii imekaaje jamani... Leo usiku majira ya sa 8 kasoro niliamka na kutoka nje Kuna kitu nilisahau nilienda kuchukua hapo nje ( ndani ya fence) Nilivyofika kwenye varanda la nje sijui nini...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Kuondolewa kwa chudai ni kutokana na EU na UK kutaka age verification kwa watumiaji, hivyo wamepiga kufuli au censorship kwa mahudhui yote ya ngono. Majanja wa Ulaya na Uingereza wamekuwa...
12 Reactions
61 Replies
3K Views
Walimu na watumishi wa halmashauri ni miongoni mwa wafanyakazi wa serikali wenye hali ngumu sana. Ila nimejionea watumishi wa halmashauri wakisema kuwa huwa kuna mpango wanapewa mikopo isiyo na...
3 Reactions
68 Replies
3K Views
Kwa miaka mingi, MISA Tanzania imekuwa ngome ya uhuru wa vyombo vya habari na nguzo ya haki katika kusimamia misingi na maadili ya taaluma ya habari nchini. Imehudumia wanahabari kwa uaminifu...
0 Reactions
1 Replies
499 Views
Back
Top Bottom